Waswahili wana tabu sana
yaani mnataka msiba usafirishwe na pesa hamna
na mnataka mtu mwingine agharamie hizo safari
halafu alipokataa kawa mbaya sasa?
seriously?
Hakukuwa na anaenda salimia maana gari walio kodi ilikuwa ni kuzika jioni asubuhi wanageza na gari hiyohiyo kwenye huwo msiba zaidi tuliona nguvu kati ya wasanii na familiaMusoma mbali, watu wanakaa Dar miaka 15 bila kwenda kutembelea ndugu zao kwahiyo walivyosikia msiba unasafirishwa Kila mtu akafunga mizigo akajua lift ya kwenda Rorya. Wakurya tabu Sana.
[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]Poleni sana kwa msiba Mungu awape wepesi wafiwa
Ah! Wapi?Isha aliona mbali kua msiba ukienda Musoma hautofana kama ukibaki Dar maana selfie za msibani zinategemea mazingira pia alafu kilio cha Musoma na Dar tofauti hata michango inatofautiana.
Wazaramo kwao musoma?ndo wazaramo hao kaka . wakiamua kukinukisha hakuna wa kupinga
Wazaramo kwao musoma?ndo wazaramo hao kaka . wakiamua kukinukisha hakuna wa kupinga
Wazaramo kwao musoma?