Isha Mashauzi aibukia kwenye Bongo Flava

Isha Mashauzi aibukia kwenye Bongo Flava

proxy

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
1,479
Reaction score
1,348

Msanii wa muziki miondoko ya taarabu nchini Isha Mashauzi ameamua kuanza kuimba muziki wa dansi pamoja na Bongo Flava ili kukonga nyoyo za mashabiki wake kutoka kila upande.

Akizungumza na eNews ya EATV Mashauzi amesema ameshafanya video ya wimbo unaokwenda kwa jina la ‘Jiamini” na umepokelewa vizuri sana na mashabiki kutokana na idadi ya watu ambao wamemtafuta na kumpongeza kwa uamuzi wake huo wa kuleta ladha tofauti na siyo kujikita kwenye taarabu tuu.

“Kwa sasa nimeachia video mpya ya wimbo unaoitwa ‘Jiamini’ wimbo ambao upo katika miondoko ya dansi na tayari nimeona mwitikio wake kutoka kwa mashabiki baada ya kuiachia nimepewa pongezi nyingi na ninawaahidi kwaqmba bado nitatoa ngoma kali na hivi karibuni nitaachia ngoma ya Bongo Flava inayoitwa ‘Nibembeleze” Amesema Mashauzi

“Sitaki nimlazimishe mtu kusikiliza taarabu wakati hataki ndiyo maana nimeamua niimbe pia upande mwingine ili niweze kuwapata mashabiki wa pande zote”- Amesema Isha Mashauzi

Aidha msanii huyo amesema kwa sasa hana mume bali ana mtoto mmoja wa kumzaa na wengine wa ndugu zake jambo ambalo watu wengi hawalifahamu.
 
Anahangaika ila yote ni.mkono kuingia kinywani
 
Kitu gani huwa linakufurahisha mpaka ulitamani 'lijimama' hilo????
Mwili unatamanisha kulibambia yan na yale mashauzi yake kama jina lake linavosema ndo kabisaa ...liko sexy yam yam yam
 
Mwili unatamanisha kulibambia yan na yale mashauzi yake kama jina lake linavosema ndo kabisaa ...liko sexy yam yam yam
Hahahahahaha weww ndio wale mnaopenda machibonge
 
Hahahahahaha weww ndio wale mnaopenda machibonge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha tu na zile boobs zake daaaah yan yule lazima nmpate tu ntampiga mashine usiku kucha ...isha jamani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha tu na zile boobs zake daaaah yan yule lazima nmpate tu ntampiga mashine usiku kucha ...isha jamani
Hahaaahahaaha umenichekesha haah
 
mhhhh taarab siku hizi anaboronga sema njaa tu baada ya kushindwa taarab kahamia bongo fleva
angebak huko ajipange vizur sasa ndo anapotea zaidi
 
Back
Top Bottom