The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,993
- 2,635
Nabii Tito, Mchungaji Mashimo, Gwajima tuliompeleka etc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Ulaya hamna manabii? Mbona hatuwasikii, maana huku kwetu wamekuwa wengi mno, kila mkoa sasa hivi kuna Nabii au Mtume.
Ukiona mkeo anabadili dhehebu mnalosali akaenda huko kesho yake vunja ndoa, maana kitakachofuata utapoteza heshima, atakutawala na hata kitandani atakuwa anakupangia siku ya kumgegeda, na mfumo wa maisha nyumbani utabadilikaBora mchawi ana huruma, mkeo akikwambia anakwenda kwa hawa manabii na mitume, kama ni issue ya ndoa lazma aliwe mzigo ndio ahudumiwe;
Hawa jamaa ni matapeli wamejificha kwenye kivuli cha udini.
Kwasababu USA wajinga ni wengi namaanisha watu waliosoma shule wakajielewa ni wachache sana, Evangelicals wa USA wengi wao wanamisimamo ya hovyo ndo maana hata ndoa zinavunjika sanaUlaya sio wengi sana,watu wanaoamini dini katika nchi nyingi za Ulaya wamepungua sana na wale wenye dini ni baridi sana.
Ila Marekani wapo wengi sana kama huku kwetu tu.
1. Wapo tayari kuungana katika kutetea kazi za usanii wanaoufanya ndani ya majengo ya makanisa. Lakini hakuna hata mmoja kati yao anayeweza kutawalika kwa mwingine! Kila mmoja anataka amtawale mwenzake.
2. Huwa wanafanya kazi zao kwa muundoo wa ku-copy & paste. Mfano wakiona kuna Nabii mwenzao ametoa Mapepo kwa kupuliza Upepo Mic na wengine watafanya hayo hayo!
3. Hawafanyi kazi ya Unabii bila Pesa Mkononi. Mhitaji akienda Awe na Pesa ya kumuona Nabii, Awe na Pesa ya kwenda Kusafishiwa Nyota, Pesa ya kutabiria! Unabii wao ni kwa ajili Maisha ya watu tu. Hawana Unabii kwa Taifa wala Ulimwengu kwa ujumla.
4. Ni waoga wa kufa kuliko raia (watu) wanaowahudumia. Imefikia wakati hata Ulinzi wa Nguvu za Mungu hawauamini! Wamekuwa na Walinzi wa Kimwili zaidi. Huwa wana VITISHO sana kwa watu wanaowakosoa kiutendani! Wapo tayari Kushambulia kwa maneno au kushambulia kwa Vitendo, Kupiga mtu, Kutishia watu maisha na hata kutoa kauli za kumuua mtu!
5. Wananena kwa Lugha kwa staili ya maneno yale yale ya KUKARIRI yasiyozidi Kumi (10), yaani Lugha yetu wanayonena haipanuki kimaneno, maneno ni yale yale yaliyopo Dsm, Mwanza, Dodona na Morogoro, hayazidi zaid ya hapo! Na hawajui maana ya yale maneno wanayotamka!
6. Wanaongoza KUSENGENYANA wao kwa wao, lakini wakikutana pamoja ni kama wana Umoja wa Kazi ya Mungu na kumbe ndani yao ipo shida kubwa! Wanapenda Sifa sana, Kusifiwa, Kunyenyekewa na Kuabudiwa kuliko hata Mungu mwenyeqe. Hupenda kila wanalolifanya waonekane na watu! Hata akimsaidia mtu msaada wa nauli ya daladala ya Tshs 1,000/= wanataka Wamchukue picha (Selfee). Wakienda huko Maporini (Mlimani) kwa ajili ya kile wanachokiita Maombi ya Mlimani ndiyo usiseme! Hakuna maombi huko ni Vurudu za picha na Clip za shot Video. Hakuna Mungu huko zaidi ya maingizo ya maombi!
7. Wanapenda kunyang'anyana Waumini ndani ya majengo ya Ibada na hasa pale wanapoalikana Kihuduma. Wanapotoka hapo walipoalikwa kuhudumu huchukua namba za simu za Waumini wa eneo husika ili kuwahamisha na hasa wale wenye kuonekana wana Kipato kifedha! Hupenda sifa zaidi hata Waandishi na Mafarisayo kuwawafikii Mitume na Manabii wa zama hizi kwa sifa. Hupenda mashindano ya kuvaa Masuti ya gharama, Hushindana kula vyakula ya bei mbaya na bila kujua hapo mtaani kwake anapohudumu kuna watu ni Maskini wa kutubwa na wanalala na njaa. Hupenda zaidi kujionyesha kwa watu na hasa pale wanaponunua Magari ya kutembelea.
8. Wengi wao wana vinywa Vilivyojaa matusi na maneno Makali ambayo huwezi kumdhania. Wapo tayari kurusha picha za NGONO au mtu anayekata mauno! Halafu utamsikia mrushaji akisema "JAMANI ANGALIENI HAPA NDIPO DUNIA ILIPOFIKIA" na kumbe yeye ndiye anayependa mambo hayo na yamejaa kwa simu yake! Ukiwa nao na kuwaangalia ni Dakika 10 wanaweza kujifanya wapo Kiroho, lakini dakika chache wanakuwa watu wa Kimwili. Na wapo tayari kwenda kwa WAGANGA WA KIENYEJI ili kukuza Kundi la Watu.
9. Mahubiri yao Mitume na Manabii yameegemea zaidi kwenye AGANO LA KALE na hasa Vitabu vya MALAKI (Fungu la Kumi), ZABURI (Misingi ikiharibika), Urejesho wa nyota, Mafanikio wakimnukuu Ibrahimu Baba wa Imani. Bila kujua kwamba Ibrahimu yeye alishakuwa na mali nyingi kwa sababu ya Juhudi zake. Bali Mungu alichokifanya pale ni kumuongezea tu. Zaidi ya hapo hakuna mahubiri zaidi! Labda hapo yatafuata mahubiri ya Kichwani ya Kufoka (Kukoroma) pasipo na maandiko!
10. Wengi wao hawajui nini maana ya Utume Ki-Biblia wala hawajui maana ya Unabii Ki-Biblia. Hata ukimuuliza juu ya Yesu anaweza hata kukujibu kwamba Yesu siyo Mungu! Ndiyo maana kwa hapa Tanzania Mitume wengi na Manabii ndiyo wamekuwa ni Wachungaji wa Kanisa.
umeona eeh, wanakwambia wanaenda Israel kuchukua mafuta ya olive kumbe wanakwenda dubai kutafuna kondoo ya Bwana.Wakishachuma ni watu wa matanuzi sana mpaka wakati mwingine hujisahau na kuwa kama sisi akina kalunguyeye tusiojua maandiko
Mkuu, wewe ni zaidi ya professa, hii kitu ni kweli kabisa , yaani hujaacha kitu ;nina cases nyingi sana za namna hii.Ukiona mkeo anabadili dhehebu mnalosali akaenda huko kesho yake vunja ndoa, maana kitakachofuata utapoteza heshima, atakutawala na hata kitandani atakuwa anakupangia siku ya kumgegeda, na mfumo wa maisha nyumbani utabadilika
amen, be blessed, hii ni kweli kabisa.Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa, Nyakati za leo hakuna nabii, tangu ujio wa Yesu, mabii walikuwa wanatumika katika jambo fulani kama misingi ama tamaduni vimeharibiwa na watawala, hapo ndipo manabii walikuwa wanakuja, kazi yao kuu ni kutabiri yajayo, kuonya, nakutoa adhabu moja kwa moja ambayo Mungu amezungumza nao, siku hizi kunawanafunzi wa Yesu tunawaita " second disciples" Neno nabii ni neno zito sana, nabii akikutizama lazima utetemeke manake nikama umekutana na malaika, hao ambao wapo leo ni matapeli wanafanya biashara
Hata mm kuna jamaa zangu Fulani yaliwafika nashukuru mmoja alikuwa ngangari hadi mkewe akanyooka na kuacha kwenda huko, hao manabii nazani wanadawa ambazo wakiwanyunyizia hao mabinti/wanawakeMkuu, wewe ni zaidi ya professa, hii kitu ni kweli kabisa , yaani hujaacha kitu ;nina cases nyingi sana za namna hii.
Wanaume wanashtaki anakwambai mkewe Kukuvulia chupi ni mpaka apate mafunuo.
kila wiki yupo kwenye mfungo na hataki dushe.
ACHA UONGO WEWE!Ni sawa... Tumepewa akili tupime hizo nabii... Lakini kuhukumu sio kazi yetu. Ukiona mafundisho yake hayakufai kaa pembeni. Kuna mwingine kwa mafundisho hayo dhaifu atapata hapo neno litakalomgeuza na kumnusuru na jehenamu !!!
Wanavaa mapete makubwa makubwa1. Wapo tayari kuungana katika kutetea kazi za usanii wanaoufanya ndani ya majengo ya makanisa. Lakini hakuna hata mmoja kati yao anayeweza kutawalika kwa mwingine! Kila mmoja anataka amtawale mwenzake.