Ishara 10 za manabii na mitume feki waliotapakaa Tanzania

Ulaya sio wengi sana,watu wanaoamini dini katika nchi nyingi za Ulaya wamepungua sana na wale wenye dini ni baridi sana.
Ila Marekani wapo wengi sana kama huku kwetu tu.
Hivi Ulaya hamna manabii? Mbona hatuwasikii, maana huku kwetu wamekuwa wengi mno, kila mkoa sasa hivi kuna Nabii au Mtume.
 
Bora mchawi ana huruma, mkeo akikwambia anakwenda kwa hawa manabii na mitume, kama ni issue ya ndoa lazma aliwe mzigo ndio ahudumiwe;
Hawa jamaa ni matapeli wamejificha kwenye kivuli cha udini.
Ukiona mkeo anabadili dhehebu mnalosali akaenda huko kesho yake vunja ndoa, maana kitakachofuata utapoteza heshima, atakutawala na hata kitandani atakuwa anakupangia siku ya kumgegeda, na mfumo wa maisha nyumbani utabadilika
 
Ulaya sio wengi sana,watu wanaoamini dini katika nchi nyingi za Ulaya wamepungua sana na wale wenye dini ni baridi sana.
Ila Marekani wapo wengi sana kama huku kwetu tu.
Kwasababu USA wajinga ni wengi namaanisha watu waliosoma shule wakajielewa ni wachache sana, Evangelicals wa USA wengi wao wanamisimamo ya hovyo ndo maana hata ndoa zinavunjika sana
 
Wakishachuma ni watu wa matanuzi sana mpaka wakati mwingine hujisahau na kuwa kama sisi akina kalunguyeye tusiojua maandiko
 
Wakishachuma ni watu wa matanuzi sana mpaka wakati mwingine hujisahau na kuwa kama sisi akina kalunguyeye tusiojua maandiko
umeona eeh, wanakwambia wanaenda Israel kuchukua mafuta ya olive kumbe wanakwenda dubai kutafuna kondoo ya Bwana.
 
Ukiona mkeo anabadili dhehebu mnalosali akaenda huko kesho yake vunja ndoa, maana kitakachofuata utapoteza heshima, atakutawala na hata kitandani atakuwa anakupangia siku ya kumgegeda, na mfumo wa maisha nyumbani utabadilika
Mkuu, wewe ni zaidi ya professa, hii kitu ni kweli kabisa , yaani hujaacha kitu ;nina cases nyingi sana za namna hii.
Wanaume wanashtaki anakwambai mkewe Kukuvulia chupi ni mpaka apate mafunuo.
kila wiki yupo kwenye mfungo na hataki dushe.
 
amen, be blessed, hii ni kweli kabisa.
 
Mkuu, wewe ni zaidi ya professa, hii kitu ni kweli kabisa , yaani hujaacha kitu ;nina cases nyingi sana za namna hii.
Wanaume wanashtaki anakwambai mkewe Kukuvulia chupi ni mpaka apate mafunuo.
kila wiki yupo kwenye mfungo na hataki dushe.
Hata mm kuna jamaa zangu Fulani yaliwafika nashukuru mmoja alikuwa ngangari hadi mkewe akanyooka na kuacha kwenda huko, hao manabii nazani wanadawa ambazo wakiwanyunyizia hao mabinti/wanawake
 
Ndio hapo tunasema mambo ya dini ni ya kipuuzi.
Alafu bora Waislam, michango yao ni ya ujenzi wa msikiti, kukarabati msikiti.
Na Waislam wanaamini nabii / mtume wa mwisho ni Muhammad.
Hivyo ukiwaletea ngonjera zako sijui mimi nabii mara mimi mtume, sio hawatakupa pesa tu, hata kukuuwa watakuuwa.

Lakini nyie wa kristo utakuta mtu mpuuzi tu (nabii muongo) anawatapeli watu na vitambi vyao na kichwani ana makablasha kibao ya elim aliyo ipata Oxford University.

Acheni ujinga nyinyi ndio munawalea hao.
 
Ni sawa... Tumepewa akili tupime hizo nabii... Lakini kuhukumu sio kazi yetu. Ukiona mafundisho yake hayakufai kaa pembeni. Kuna mwingine kwa mafundisho hayo dhaifu atapata hapo neno litakalomgeuza na kumnusuru na jehenamu !!!
ACHA UONGO WEWE!
AU NAWE NI NABII AU MTUME?
LAZIMA TUWASEME HAWA. WANAPOTEZA MNO ROHO ZA WATU.
 
Wanavaa mapete makubwa makubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…