Ishara 9 za kutambua kama mpenzi wako anaku-control

Mwanamke wa style iyo hafai na wala hana sifa ya kuwa mke/mchumba.
 
Hapo kwenye kunyimwa papuchi ndipo kitanzini, hili lilikuwa linatokea marakwa mara mwisho nikasmua kiume, siku kagoma nikamwambia hamia chumba cha watoto akahamia tukatoboa mwezi ila kila jumapili naoga navaa vizuri navaa nadhifu natoka narudi usiku nimeshiba huko nalala fofo, huku nyuma nikitoka yeye ni kulia tu, akilala na watoto akihakikisha wamelala ni kuhamia sebuleni na kulia tu
Baada ya hapo ikawaje mkuu?
 
ya tupe next episod uzi juu ya uzi
 
Back
Top Bottom