Ishara gani za Kisaikolojia ukiziona zinamaanisha leo Mkeo / Mpenzi wako anaenda kukusaliti kwa Mwanaume mwingine?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kazi yangu Kubwa leo katika Uzi huu ni Kusoma tu Comments zenu ili nizichakate na nikizielewa na kuziamini Mwanadamu wa Kike ambaye niko nae akirejea Kesho Asubuhi apande Basi la Kimbinyiko arejee mazima Kwao.
 
Ziko nyingi ngumu kuzidadavua..kama ukimuuliza kuhusu kitu alafu akanode head upande wa kulia ujue subconscious mind yake inajaribu kugenerate kitu (majibu)ambacho hakikuepo...wengine wanacheka ili kupoteza uzito wa swali..sasa kwenye kucheka eye wrinkles usipoziona ujue she is trying to hide something...pia ukimuuliza swali mdomo wake utajibu haraka..lakini body language yake especially vidole havitakua comfortable...ziko nyingi..hii ni field inayojitegemea hivo kwa haraka ni izo
 
Jamani amkeni inaonekana mr GENTAMYCINE, ameshapigwa na kitu kizito.
Kuna Kitu nimefanyiwa leo ( unusual treatment ) na Mpendwa Mmoja na kwa mbaali nimehisi ni kama vile kaamua Kunitengeneza ila anaenda kunipiga Tukio mahala.

Kuna Mbinu ya Kienyeji ( ya Wakongwe ) nimepewa kuwa akirudi nimfanyie ambush ya kumwambia 'achuchumae' ili nione kama Mzigo utatoka kutoka Ikuluni mwake na nikiona hivyo jua kuna Mwenzangu leo Kaitandika vilivyo.

Namsubiri arejee japo Moyo unauma.
 
Ziko nyingi ngumu kuzidadavua..kama ukimuuliza kuhusu kitu alafu akanode head upande wa kulia ujue subconscious mind yake inajaribu kugenerate kitu (majibu)ambacho hakikuepo...wengine wanacheka ili kupoteza uzito wa swali..sasa kwenye kucheka eye wrinkles usipoziona ujue she is trying to hide something...pia ukimuuliza swali mdomo wake utajibu haraka..lakini body language yake especially vidole havitakua comfortable...ziko nyingi..hii ni field inayojitegemea hivo kwa haraka ni izo
Shikamoo Mkuu. Ngoja arejee atanikoma leo. Na naenda kutumia hizi hizi Mbinu zako Mkuu japo nahisi leo kuna Mwamba 'ananitandikia' huko Waliko.
 
Kuna Kitu nimefanyiwa leo ( unusual treatment ) na Mpendwa Mmoja na kwa mbaali nimehisi ni kama vile kaamua Kunitengeneza ila anaenda kunipiga Tukio mahala.

Kuna Mbinu ya Kienyeji ( ya Wakongwe ) nimepewa kuwa akirudi nimfanyie ambush ya kumwambia 'achuchumae' ili nione kama Mzigo utatoka kutoka Ikuluni mwake na nikiona hivyo jua kuna Mwenzangu leo Kaitandika vilivyo.

Namsubiri arejee japo Moyo unauma.
Hii unamnusisha ugoro..alafu anakua kachuchumaa..lazima zitoke..akiwa amefanya na zisipotoka nipigwe ban
 
Back
Top Bottom