GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Lazima akupumbaze ili usijue kama anaenda kukusalitiMke akitaka kukucheat basi atakupa care nzur ambayo hujawi kuiona.....wew jua hapo kimenukaaaa mwaisaaa
Ni kwlLazima akupumbaze ili usijue kama anaenda kukusaliti
Kuna Kitu nimefanyiwa leo ( unusual treatment ) na Mpendwa Mmoja na kwa mbaali nimehisi ni kama vile kaamua Kunitengeneza ila anaenda kunipiga Tukio mahala.Jamani amkeni inaonekana mr GENTAMYCINE, ameshapigwa na kitu kizito.
Wewe Jamaa hakyanani kama huvuti Bange / Bangi sijui. Huwa una Vituko mno na huwa Nacheka sana.Pia ushirikina unatoa majibu ya haraka..
Shikamoo Mkuu. Ngoja arejee atanikoma leo. Na naenda kutumia hizi hizi Mbinu zako Mkuu japo nahisi leo kuna Mwamba 'ananitandikia' huko Waliko.Ziko nyingi ngumu kuzidadavua..kama ukimuuliza kuhusu kitu alafu akanode head upande wa kulia ujue subconscious mind yake inajaribu kugenerate kitu (majibu)ambacho hakikuepo...wengine wanacheka ili kupoteza uzito wa swali..sasa kwenye kucheka eye wrinkles usipoziona ujue she is trying to hide something...pia ukimuuliza swali mdomo wake utajibu haraka..lakini body language yake especially vidole havitakua comfortable...ziko nyingi..hii ni field inayojitegemea hivo kwa haraka ni izo
Mkuu yaani Nimecheka mpaka basi.Alichinja kuku kanipikia Rost kumbe alienda kuchepuka uzuri nilifaidi kuku tu nikaachana naye
Mimi ni nani nisipigwe Matukio? Tena napigwa sana tu ila huwa Navumilia ila leo limenifika.Ila wanawake hawana huruma asee, hadi Popoma nae anaipigwa matukio?
Hii unamnusisha ugoro..alafu anakua kachuchumaa..lazima zitoke..akiwa amefanya na zisipotoka nipigwe banKuna Kitu nimefanyiwa leo ( unusual treatment ) na Mpendwa Mmoja na kwa mbaali nimehisi ni kama vile kaamua Kunitengeneza ila anaenda kunipiga Tukio mahala.
Kuna Mbinu ya Kienyeji ( ya Wakongwe ) nimepewa kuwa akirudi nimfanyie ambush ya kumwambia 'achuchumae' ili nione kama Mzigo utatoka kutoka Ikuluni mwake na nikiona hivyo jua kuna Mwenzangu leo Kaitandika vilivyo.
Namsubiri arejee japo Moyo unauma.
Sure mkuu..yani wengine hawajui izi tricks za kisaikolojia..ramli inasaidia kwa harakaWewe Jamaa hakyanani kama huvuti Bange / Bangi sijui. Huwa una Vituko mno na huwa Nacheka sana.