Samico Tanzania
JF-Expert Member
- Feb 6, 2022
- 791
- 1,852
Hii ni part 2 ya somo letu la ujue umeme katika mwili wa binadamu.
Siku ya kwanza nilielezea kwamba maisha ya mwili wa binadamu ni umeme!
Yaani kuoana ni umeme, kutembea ni umeme, kusali ni umeme n.k!
Na mzunguko huu wa umeme unatambulika na viumbe wote waliopo duniani!
Na ndiyo maana huwezi kutafunwa na funza ukiwa hai, ni kwa sababu hata funza wanajua kupima kama umeme upo au haupo kabla ya kushambulia!
Tukirudi kwenye somo letu!
Ishara ya msalaba sahihi ni nini?
Kwangu mimi ukiniuliza nitakujibu ni ishara ya msalaba sahihi ni hii
Unatakiwa kuchota umeme kutoka ulimwengu wa juu kabisa na kuufanya utumike kwenye ulimwengu wa chini wa maamuzi!
Katika mwili wa binadamu sehemu ya juu kabisa ni katika paji la uso, hapo ndipo unatakiwa kuuchota huo umeme na kuupeleka kwenye moyo ( kifuani) then kwenye maamuzi kwa maana ya kukusanya viganja vyote viwili pamoja. UKIWEZA KUFANYA HIVYO UNAKUWA Umeuzungusha umeme ili upate matokeo kwa ulichokiomba!
Inje ya huo utaratibu kama huwezi BASI INATAKIWA USIFANYE KABISA ISHARA YA MSALABA bali ishara hiyo ibakie katika IMANI tu INATOSHA SANA kukupatia matokeo kuliko kuifanya na uikosee halafu upoteze maana yote!
Hivi ndivyo Tunafanya wengi
Ishara hii ya msalaba wengi tunafanya hivi, tunagusa paji la uso kwa maana ya kuchota umeme (baba) then tuna ushusha chini kwenye moyo (mwana) kwa maana kuchakatwa halafu tuna kwenda bega la kulia na kukatiza kuelekea bega la kushoto (HII WAJUVI WALIIPACHIIKA MAKUSUDI KABISA Ili kukata ule umeme uliotoka juu utengane na moyo! Halafu baada ya hapo tunasubiri matokeo.
Kiukweli ukifanya hivyo unakuwa huna tofauti na asiyesali siku hiyo maana umesali vizuri then ukafuta mwishoni kwa kucancel!
Hii iliwekwa kitaalam sana na super power ili binadamu asipokee ingawa anaimani!
Yaani kiufundi ni sawa na kuunganisa waya wa taa kutoka kwenye chanzo cha umeme paji lako unapeleka katika moyo wako unaweka bulb ili ukuangazie halafu unapanda mabegani ukata waya then unawasha!
Hiyo taa itawakaje?
Si bora tu ukatumia taa ya solar moja kwa moja kama kuunganisha huo umeme hujui KWA MAANA YA KUACHA KABISA Kufanya ishara ya msalaba!
Ujue watu siyo kwamba hawana imani hapana lakini tatizo ni kanuni za kuuzungusha umeme ndo shida ili ukupatie matokeo!
Shetani hahitaji mbwembweza makelele ya sipika au maombi magumu bali ni kanuni tu za kuuzungusha umeme! Na ukijua anatoka fasta!
Nitaaanda makala ya kanuni ili tuwekane sawa vimakosa vidogo vidogo katika taratibu za kuuzungusha umeme katika mwili ili utoe matokeo kiroho!
Ishara za umeme katika mikono yako zinasema nini katika hitaji lako?
Ukichukua vidole vya mikono katika viganja vyako ukivihesabu utaona vipo vitano!
Hivyo vidole kila kimoja kinatoa umeme wenye hatima nzuri au mbaya!
Ndiyo maana kuna kanuni ukifuata halafu ukanyoosha mkono unaweza kukausha chochote kilichopo mbele yako hata kama ni mti ukakauka.
a). Kidole gumba ni kidole cha maamuzi, ni kidole cha umiliki, ni kidole cha uongozi ukikutana na chama chochote cha siasa kinatumia ishara ya dole gumba usifikirie wanajifurahisha!
b). Kidole cha pili na cha tatu hivi vidole naomba kuviacha kiporo kwa kutunza staha za watumiaji, lakini kama kuna chama chochote kinatumia hivi vidole maarufu vidole vya chadema! Vidole hivi havina matokeo ( hivi ni vidole vya kutawanya) yaani kiroho kama unataka uharibu kitu kiricho komaa kioze hivi ndo vidole vya kutumia kiroho.
Hivyo ingekuwa kuwashauri ni bora wasingetumia kabisa hivyo vidole, kama ni lazima sana kutumia vidole NI BORA WANGETUMIA KIDOLE GUMBA NA KIDOLE KIDOGO KABISA CHA MWISHO KWA PAMOJA hapo wangepata maana nzuri.
d) Kidole cha pete!
Hiki kidole kimeunganishwa na sehemu isiyofungamana na hasi au chanya (zero potentially) yaani hiki kidole ingekuwa ni gia za gari nguvu yake ni sawa na GIA YA NYUTRO (Neutral gear) kwa maana ukusukuma gari kwa mbele linakwenda na nyuma linaenda pia!
Waulizeni hata madakitali watawaambia hata kuchoma sindano huwa wanatumia hiko kwasababu kipo nutro!
Mtego ule ule uliofichwa kwenye msalaba, umekuja kufichwa tena hapo kwenye pete.
Wanandoa wanapofunga ndoa hiki kidole kwasababu kipo NUTRO eti ndipo pete ya agano ilipo!
Yaani sehemu ambapo shetani akiamua lolote linakuwa kama kumsukuma mlevi (neutral gear)
Kama huniamini basi chezesha vidole vyako hapo utaona vingine vyote unaweza kuvicontrol lakini utaona hiko kidole cha pete unavyopata tabu kukichezesha nyenyewe peke yake kama unavyoweza chezesha vingine peke yake. (Wewe unaooa KUNA HAJA GANI YA KUAPA?)
Natamani siku nikioa nimuombe padri sijui riturujia ya imani inaruhusu kuacha kuapa! Hiki ndicho kinanifanya nisifunge ndoa hadi pale kanisa likinipatia msaada wa kuruka hiki kipengele ( hata maandiko ya biblia yanapinga KUAPA, Mungu alikataza KUAPA!) alisema majibu yenu yawe ndiyo au hapana mkimaanisha.
e). Kidole cha mwisho(kidole kidogo)
Hiki ni kidole cha ufahamu, akili, utambuzi na maarifa! Pamoja na kwamba kinaonekana ni kidogo lakini hapo mambo yote ya hekima yanaamuliwa.
Tutaendelea kumegeana siri kadri muda unavyokwenda!
Naitwa fundi SAMICO fundi umeme na ujenzi ukiwa na kazi nicheki 0711756341
hata kama wamekuroga usijenge tunategua kwanza halafu tunaendelea na kazi!
Maisha ni mchezo wa kanuni