Ishara za Nyakati: Bendera ya CHADEMA yapepea kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro

CHA
CHADEMA kuendelea kulamba asali ya mama
 
Very trivial issue.
 
Enzi za Jiwe huyo aliyepandisha bendera angepewa kesi ya utakatishaji fedha au angepotezwa kama Ben Saanane.
 

Safi sana, spirit hiyo hiyo ndio CDM waitumie kujenga ofisi yenye hadhi ya chama hicho. Matusi ya rejareja kwa ofisi kuu iliyoko sasa hayavumiliki.
 
David ndo ajaye kupitia CDM?

Maana mgombea au mkt ndo alitakiwa aifikishe Bendera kileleni.
 
Kuna waajiriwa ktk siasa, ni KAZI kama KAZI zingine.
 
Kitendo cha bendera ya CHADEMA kupandishwa juu ya mlima ni dalili mbaya sana ya anguko lake kulingana na mambo ya kiroho yalivyo. Nabii Musa alipandishwa juu ya kilele cha mlima na kuonyeshwa nchi ya ahadi lakini akaambiwa utaishia kuiona tu hutakanyaga pale. Kwa CHADEMA hiyo ni ishara kwamba hawatakanyaga ikulu... wataishia kuiona wanapoenda kufanya maridhiano. CHADEMA wamfukuze kwenye chama chao huyo kada aliyefanya hicho kitendo kinachoashiria balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…