mawazo yako yanahitajika piaFirst seat nikiwa na popcorn zangu
View attachment 845444
Inategemea uko katika hali gani.mawazo yako yanahitajika pia
ππππππaiseeee...Inategemea uko katika hali gani.
Sie wanawake huwa hatutabirikagi.
Ukiwa mbaya tutakutazama,
Ukiwa mchafu tutakutazama,
Ukiwa mzuri tutakutazama,
Ukiwa zoba tutakutazama,
Ukiwa na pesa tutakutazama,
Ukiwa apeche pia tutakutazama.....
Sasa wewe mkuu katika hayo majumuisho hapo juu, wewe ulikuwa kipengele gani wakati huyo mrembo anakutazama?
Mzuri, mchafu, mbaya,zoba, apeche au ulikuwa unakula sana bata karibu na alipo huyo mrembo?
ukiona mwanaume ni member na kapost thread Jf jua tu kwamba ni handsome, msafi, anamiliki gari, mjanja na mwenye pesaInategemea uko katika hali gani.
Sie wanawake huwa hatutabirikagi.
Ukiwa mbaya tutakutazama,
Ukiwa mchafu tutakutazama,
Ukiwa mzuri tutakutazama,
Ukiwa zoba tutakutazama,
Ukiwa na pesa tutakutazama,
Ukiwa apeche pia tutakutazama.....
Sasa wewe mkuu katika hayo majumuisho hapo juu, wewe ulikuwa kipengele gani wakati huyo mrembo anakutazama?
Mzuri, mchafu, mbaya,zoba, apeche au ulikuwa unakula sana bata karibu na alipo huyo mrembo?
Afadhali bro. umenisaidia mi hua sio mtu wa kujiharibia natokelezea hasa aisee!ukiona mwanaume ni member na kapost thread Jf jua tu kwamba ni handsome, msafi, anamiliki gari, mjanja na mwenye pesa
mjibu mtoa mada swali lake ni muhimu, mnamkodolea mtu macho wakati mdomo wa kumfungukia mnao
but mtoa mada nae ajue kujiongoza..akiona mwanamke anamtolea macho muda wote ajue ndio hivyo anatongozwa hapo
dah kweli mkuu mazingira kama hayo inatokea sanamimi hiyo mara nyingi huwa inanitokeaga nikiwa swimmin point yani unakuta nikizama nikiibuka kadada hako kananingalia nikienda pembeni kupiga kinywaji kananiangalia basi tabu tupu tu... alafu wote wanaofanya hivyo huwa hapo swimmin point wapo na mabwana zao basi nashindwa hata kujiongeza kuwasogelea nakuchombeza maana sipendagi ugomvi mimi
noma sana mkuudah kweli mkuu mazingira kama hayo inatokea sana
Ndo namsubiri hapaππππππaiseeee...
ngoja aje atueleze alikuwa kwenye hali gani naamini itarahisisha kupata jibu
Heheheheh.....aliyekwambia haya yote yapo nani?ukiona mwanaume ni member na kapost thread Jf jua tu kwamba ni handsome, msafi, anamiliki gari, mjanja na mwenye pesa