Ishawahi kukutokea hii:Kukutana macho na mrembo!!

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
6,663
Reaction score
7,785
Yaani kila ukiinua kichwa yumo anakuangalia tuu,ukisema upotezee ukirudi tena yumoo..wataalam wa mambo msaada hapa hii ina maana gani? Au nyie wadada kwa nini huwa mnatufanyia hivyo watoto wa wanawake wenzenu...
 
First seat nikiwa na popcorn zangu
20180817_150957.jpg
 
mawazo yako yanahitajika pia
Inategemea uko katika hali gani.
Sie wanawake huwa hatutabirikagi.
Ukiwa mbaya tutakutazama,
Ukiwa mchafu tutakutazama,
Ukiwa mzuri tutakutazama,
Ukiwa zoba tutakutazama,
Ukiwa na pesa tutakutazama,
Ukiwa apeche pia tutakutazama.....
Sasa wewe mkuu katika hayo majumuisho hapo juu, wewe ulikuwa kipengele gani wakati huyo mrembo anakutazama?
Mzuri, mchafu, mbaya,zoba, apeche au ulikuwa unakula sana bata karibu na alipo huyo mrembo?
 
😀😀😀😛😛😛aiseeee...
ngoja aje atueleze alikuwa kwenye hali gani naamini itarahisisha kupata jibu
 
Inategemea uko katika hali gani.
Sie wanawake huwa hatutabirikagi.
Ukiwa mbaya tutakutazama,
Ukiwa mchafu tutakutazama,
Ukiwa mzuri tutakutazama,
Ukiwa zoba tutakutazama,
Ukiwa na pesa tutakutazama,
Ukiwa apeche pia tutakutazama.....
Sasa wewe mkuu katika hayo majumuisho hapo juu, wewe ulikuwa kipengele gani wakati huyo mrembo anakutazama?
Mzuri, mchafu, mbaya,zoba, apeche au ulikuwa unakula sana bata karibu na alipo huyo mrembo?
ukiona mwanaume ni member na kapost thread Jf jua tu kwamba ni handsome, msafi, anamiliki gari, mjanja na mwenye pesa

mjibu mtoa mada swali lake ni muhimu, mnamkodolea mtu macho wakati mdomo wa kumfungukia mnao

but mtoa mada nae ajue kujiongoza..akiona mwanamke anamtolea macho muda wote ajue ndio hivyo anatongozwa hapo
 
Afadhali bro. umenisaidia mi hua sio mtu wa kujiharibia natokelezea hasa aisee!
20180824_06_17_02.jpg
 
Aisee nimekumbuka miaka fulani nilienda kijiji fulan kusalimia ndugu na jamaa ghafla pale kijjn akaja muhanshaaamy wa mjini yani tulikuwa tunapigana jicho kila mtu anamvizia mwenzie sijui tulikuwa tunapendana lakin tunaoneana aibu niliumia sana ile mdingi ghafla akanifata kabla sjaweka ukaribu na handsome

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi hiyo mara nyingi huwa inanitokeaga nikiwa swimmin point yani unakuta nikizama nikiibuka kadada hako kananingalia nikienda pembeni kupiga kinywaji kananiangalia basi tabu tupu tu... alafu wote wanaofanya hivyo huwa hapo swimmin point wapo na mabwana zao basi nashindwa hata kujiongeza kuwasogelea nakuchombeza maana sipendagi ugomvi mimi
 
dah kweli mkuu mazingira kama hayo inatokea sana
 
ukiona mwanaume ni member na kapost thread Jf jua tu kwamba ni handsome, msafi, anamiliki gari, mjanja na mwenye pesa

mjibu mtoa mada swali lake ni muhimu, mnamkodolea mtu macho wakati mdomo wa kumfungukia mnao

but mtoa mada nae ajue kujiongoza..akiona mwanamke anamtolea macho muda wote ajue ndio hivyo anatongozwa hapo
Heheheheh.....aliyekwambia haya yote yapo nani?
Jf ni kama chaka, kuna kuanzia tembo mpaka digidigi.
Shauri zako
 
Back
Top Bottom