Ishi kifukara, uende peponi!

Ishi kifukara, uende peponi!

Hapana acha upotoshaji,kwa sisi wakristo tuna ongozwa na neno...

Mithali 8:18
Inasema"Utajiri na heshima ziko kwangu,Naam, utajiri udumuo na haki pia.

Mithali 10:22
Inasema"Baraka za bwana hutajirisha,Wala hachanganyi huzuni nayo.
Na Kuna mistari mingi inaongelea baraka na utajiri

Sasa mleta mada utasema vipi matajiri hatuendi mbinguni wakati Utajiri katupa Bwana?
By the way umaskini Ni dhambi,umaskini unaleta mauaji,unyang'anyi,udangaji,husda,roho mbaya Kama na mengine mengi, tujitahidi tusiwe maskini jamani
 
Back
Top Bottom