..umesema kweli,bt natumai ungelitueleza jinsi gani tuwaache hawa wengi wa kitaa,kwani nao pamoja na kujua kuwa siye ni ma-play boy bt bado nao wanang'ang'ania kuonja mitaimbo yetu,kiukweli wangu hakuna kitu kinaitwa USTAARABU kwani ustaarabu wa kale ulipotea majira ya NUHU,kwa kizazi hiki labda tutajitahidi kuongeza hekima,busara,adabu,ukarimu,wema na mengineyo kama hayo,bt da problem z how to make it happen,coz ukifuatilia sana wengi bado tunasukumwa na mtindo wa maisha tuloiga toka kwa wazazi/jamii ituzungukayo,then tukiingia kwenye ulimwengu wa wenye maarifa tunatia sumu hii ambayo matokeo yake yanakukera this time,bt thnx me kwa upande wangu nakiri ntabadirika,tena siku si nyingi..