Ishi na mnafki kikauzu, vinginevyo utaumia tena.

Ishi na mnafki kikauzu, vinginevyo utaumia tena.

Kitendo Cha kusema umesamehe alafu Bado unakumbuka makosa bado haujasamehe

Kwenye maandiko Mungu anasema akitusamehe hakumbuki makosa yetu (Sikumbuki mistar lkn imeandikwa mahala )

Kwa hyo hata ss ikiwa tumeamua kuwasamehe wale waliotukosea bas tusahau na makosa yao na ndivyo Mungu anavyotaka
 
Ishi na mmafik;i kinafiki kama huwezi kaa mbali na wanafikii, unafiki ni jambo endelevu yaani mnatafuta ushindi kwa Muda mrefu ujao na sio malengo ya Muda mfupi ...,.. keep low key, play long game.,.
 
Back
Top Bottom