U Unknown23 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2018 Posts 231 Reaction score 440 Feb 9, 2024 #2 Upo sahihi sana
Miguel Alvarez JF-Expert Member Joined May 28, 2019 Posts 3,349 Reaction score 6,423 Feb 9, 2024 #3 Kitendo Cha kusema umesamehe alafu Bado unakumbuka makosa bado haujasamehe Kwenye maandiko Mungu anasema akitusamehe hakumbuki makosa yetu (Sikumbuki mistar lkn imeandikwa mahala ) Kwa hyo hata ss ikiwa tumeamua kuwasamehe wale waliotukosea bas tusahau na makosa yao na ndivyo Mungu anavyotaka
Kitendo Cha kusema umesamehe alafu Bado unakumbuka makosa bado haujasamehe Kwenye maandiko Mungu anasema akitusamehe hakumbuki makosa yetu (Sikumbuki mistar lkn imeandikwa mahala ) Kwa hyo hata ss ikiwa tumeamua kuwasamehe wale waliotukosea bas tusahau na makosa yao na ndivyo Mungu anavyotaka
pleo JF-Expert Member Joined Jun 20, 2013 Posts 3,611 Reaction score 3,049 Feb 9, 2024 #4 Ishi na mmafik;i kinafiki kama huwezi kaa mbali na wanafikii, unafiki ni jambo endelevu yaani mnatafuta ushindi kwa Muda mrefu ujao na sio malengo ya Muda mfupi ...,.. keep low key, play long game.,.
Ishi na mmafik;i kinafiki kama huwezi kaa mbali na wanafikii, unafiki ni jambo endelevu yaani mnatafuta ushindi kwa Muda mrefu ujao na sio malengo ya Muda mfupi ...,.. keep low key, play long game.,.