Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,817
- 10,667
😅 😅 😅 😅Moderators kwa ujumla.
Mtoto wa Nje ya NdoaHivi kwani alikua hana access ya mali za baba yake?
Yule mungu wenu wa Chato mbona amezikwa ndani ya nyumba?Kwani ukifa unazikwa ndani ya nyumba?
Membe mnatafuta njia ya kumpa ujiko lakini ukweli umeonekana,yeye aende tu na hayo ma visasi yake.
Kwa ujumla ni kwamba Membe hatasimama tena!
Kama alivyowahi kusema yeye mwenyewe kuhusu magufuli kutosimama tena!
Na hili liwe fundisho kwa wapika sumu mlioko humu JF, mjifunze kuelewa.
Ni kwa heshima kubwa aliyokuwa nayo.Yule mungu wenu wa Chato mbona amezikwa ndani ya nyumba?
Ooh sawa mkuu, ila si alikua anatambulika ndo kumaanisha mzee wake hakumbeba kwa lolote?Mtoto wa Nje ya Ndoa
wewe nawe umeganda na Dr. FD wengine huwaoni?Ila John Festo Dugange alipo anapumua nakumshukuru Mungu kuwatwaa Membe na Lemutuz wakati huu. Wabongo tunesgasau ishu yake ya ajali tumehamisha mawazo.