Ishu sio kufa, ishu nyumbani umejenga?

 
Sasa mtu ni waziri kwa nini asijenge? Membe lazima ajenge uwezo alikuwa nao.na kweli kajenga.

Lemutuz??? Ajenge ili iweje? Watoto walimkataa, hana mke hana ndugu ambae walikuwa bega kwa bega ajenge kwa lipi?

Baba yake lemutuz ni waziri mkuu kwake mlipaona palivyo kuzuri na atazikwa baba yake ajenge ili iweje?

Btw lemutuz ana nyumba.
 
Le Mutuz ana nyumba Kinyerezi, ila yeye ni mtu wa down town ndio maana alichukuwa apartment town.
 
Naona majamaa wanamsubiria. Hii nchi yaani dah. Tumefika mahali tunasubiriana kufa sasa ili watu wafanye sherehe ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ

View attachment 2624159
Watu hadi wanafunga, kuna mtindo bongo waliouanzisha ni wao; kwa hio hii inaitwa karma. Kwamba ukifa wanabinya mvinyo na sherehe kwa sana. Nimekaa pale nataradadi kuona mtu mubaya mwingine atakaevuta, mwaka bado mrefu sana huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ