Ishu ya Masanja ilikua ni kweli?

Broadcast

Member
Joined
Jun 19, 2022
Posts
76
Reaction score
285
Samahanini wana jamvi

Siku ya valentine day Masanja mkandamizaji alikua akihojiwa kwenye kipindi cha leo tena..

Nilimsikia akisema inawezekana Yy ndo alikua chanzo cha matatzo ya mke wake na akasema inawezekana yy amewahi kutenda dhambi nyingi aliyofanya mke wake

Nikabaki najiuliza kumbe hii ishu ya mchungaji ilikua ni kweli na ilitokea kweli ila aliamua kufunika kombe
 
Siku hyo nilimsikiliza na kwa jinsi alivyokuwa anazungumza ilionekana anakiri kabisa kuwa alichapiwa

Kuna wakati alisema hata msukuma wake afanye nini kamwe hawezi kuachana nae akatoa na mfano wa joseph ambavyo hakumuacha bikra maria pamoja na kupata ujauzito usiokuwa wake
 
Jaribu na wewe bahati yako katibu alishafungua njia halafu utupe mrejesho.
 

Mkandamizaji alijizimisha data ,naona katibu alijiua maana alishaona boss kashastuka mzigo wake anakula "sa itakuaje?" akaona bora ajitundike.
 
Usifurahie matatizo ya wengine, haujui yaliyo mbele yako. Unaweza kuja kuibiwa mkeo na ukapewa na kipigo juu au kufungwa jela kabisa.

Yeye mkandamizaji mgoni wake amejitia kitanzi mwenyewe, what better revenge that that? Your enemy is dead, you are alive!
 
Unauhakika amejitia kitanzi ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…