Broadcast
Member
- Jun 19, 2022
- 76
- 285
Samahanini wana jamvi
Siku ya valentine day Masanja mkandamizaji alikua akihojiwa kwenye kipindi cha leo tena..
Nilimsikia akisema inawezekana Yy ndo alikua chanzo cha matatzo ya mke wake na akasema inawezekana yy amewahi kutenda dhambi nyingi aliyofanya mke wake
Nikabaki najiuliza kumbe hii ishu ya mchungaji ilikua ni kweli na ilitokea kweli ila aliamua kufunika kombe