Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Wakuu kwenye matatizo ya kisaikolojia kuna ishu inaitwa anxiety na panic attack. Mara nyingi huenda pamoja.
Anxiety ni hali ya kuwa na wasiwasi au uwoga uliopitiliza, usioendana na hatari. Sometimes bila sababu yeyote. Hii inaweza kupelekea mtu ukashindwa kufunction. Inaweza kutokea mtu ukiweka kwenye stessful situation kama kuongea mbele za watu.
Panic attack ni pale uoga huu huambatana na dalili kama kutokwa jasho kwa wingi na mapigo ya moyo kwenda mbio. Mtu anaweza dhani anakufa kwa shambulio la moyo kumbe ni Panic Attack.
Kuna vidonge fulani watu huwa wanatumia kabla ya kuongea mbele za watu. Hivyo huwa vinashusha ukali au uwezekano wa panic attack.
Ishu yake wataalamu wangeiangalia upya badala ya kudhani kuwa ni mzembe.