Ishu ya Ngorongoro, Spika Tulia ana bahati sana yupo kwenye Bunge ambalo halina wapinzani

system hacker

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2022
Posts
426
Reaction score
709
Imagine ishu ya ngorongoro; halafu ndani ya Bunge yupo:

1. Tundu Lissu
2. John Mnyika
3. Godbless Lema
4. Peter Msigwa
5. John Heche
6. Sugu
7. Freeman Mbowe
8. Ezekiel Wenje
9. Halima Mdee (enzi hizo akiwa Chadema)
10. Ester Bulaya (akiwa Chadema)

Halafu, anakuwa na flanks toka kwa Ole Sendeka na wabunge wengine jamii ya kifugaji

Orodha inaendelea.

Silaha kubwa ya Tulia ingekuwa ni kuzima mic na kuwatoa nje. Halafu, angekuwa anapanic balaa.

Bunge lingekuwa very amazing to watch.

Now, Tulia anachukua points kiulaniiiii, anamtesa Ole Sendeka halafu Ole hana hata back up maskini. Hahahahaha

Mijadala mikali km hii tungemkumbuka sana Anna Makinda alikuwa one of my best speaker ever!

Wamasai hameni imeisha hiyo!
 
Tukiacha ushabiki hao wote wasingelifua dafu mbele ya Tulia Akson hakika ! Linapokuja swala la kujenga hoja na kuzidadavua kisheria na kimantiki bila tashitwitwi Tulia Akson ni moto wa kuotea mbali sana kwa hiyo labda wangefanikiwa ni kutoka nje lakini si kujenga hoja za kisheria mbele ya Nguli Tulia na hapo mpambano wa kufa mtu ungekuwa kati ya Tulia na Lissu hao wengine uwezo wao mbele ya Tulia ni mdogo sana!
 
Imagine ishu ya ngorongoro; halafu ndani ya Bunge yupo:

1. Tundu Lissu
2. John Mnyika
3. Godbless Lema
4. Peter Msigwa
5. John Heche
6. Sugu
7. Freeman Mbowe
8. Ezekiel Wenje
9. Halima Mdee (enzi hizo akiwa Chadema)
10. Ester Bulaya (akiwa Chadema)

Halafu, anakuwa na flanks toka kwa Ole Sendeka na wabunge wengine jamii ya kifugaji

Orodha inaendelea.

Silaha kubwa ya Tulia ingekuwa ni kuzima mic na kuwatoa nje. Halafu, angekuwa anapanic balaa.

Bunge lingekuwa very amazing to watch.

Now, Tulia anachukua points kiulaniiiii, anamtesa Ole Sendeka halafu Ole hana hata back up maskini. Hahahahaha

Mijadala mikali km hii tungemkumbuka sana Anna Makinda alikuwa one of my best speaker ever!

Wamasai hameni imeisha hiyo!
Sahivi ni baraza kuu la CCM wala hakuna bunge
 
Imagine ishu ya ngorongoro; halafu ndani ya Bunge yupo:

1. Tundu Lissu
2. John Mnyika
3. Godbless Lema

Wamasai hameni imeisha hiyo!
Kwa kweli Anna Makinda ni kiongozi,alifanya makubwa kwa taifa letu,uzalendo wake labda ni sawa Abdulkarim Karimjee.Mama yule sikumwelewa wakati anateuliwa kugombea uspika ,nilikuwa kumwelewa vema baadaye.Aliweza kudeal na akina mkuu wa wilaya ya Bukoba na wengine bila ubaguzi,ilidi aendelee tu kuwa spika tusingekutana na jamaa aliyemsingizia Yesu kuwa na mke wake wakakosa chumba gest.
 
Imagine ishu ya ngorongoro; halafu ndani ya Bunge yupo:

1. Tundu Lissu
2. John Mnyika
3. Godbless Lema
4. Peter Msigwa
5. John Heche
6. Sugu
7. Freeman Mbowe
8. Ezekiel Wenje
9. Halima Mdee (enzi hizo akiwa Chadema)
10. Ester Bulaya (akiwa Chadema)

Halafu, anakuwa na flanks toka kwa Ole Sendeka na wabunge wengine jamii ya kifugaji

Orodha inaendelea.

Silaha kubwa ya Tulia ingekuwa ni kuzima mic na kuwatoa nje. Halafu, angekuwa anapanic balaa.

Bunge lingekuwa very amazing to watch.

Now, Tulia anachukua points kiulaniiiii, anamtesa Ole Sendeka halafu Ole hana hata back up maskini. Hahahahaha

Mijadala mikali km hii tungemkumbuka sana Anna Makinda alikuwa one of my best speaker ever!

Wamasai hameni imeisha hiyo!
Huyu mama anangekewa tangu enzi za JPM. Kulikoni?
 
Ashukuru Mungu amebaki na vibonde tu.

Bunge lingesimama na Kassimu Majaliwa angekuja kuunda Tume maalum
 
Now, Tulia anachukua points kiulaniiiii, anamtesa Ole Sendeka halafu Ole hana hata back up maskini. Hahahahaha
🤣🤣🤣pale unaposikia mdogo wako shuleni amekuwa wa kwanza. Ukimuuliza kapata maksi ngapi anakwambia 60%. Unajua kabisa ni darasa la slow learners lakini anaonekana ni kichwa kwa kuwa wakwanza
 
Back
Top Bottom