Isidore Bakanja, Mtumwa aliyeuawa kisa Dini

Basi Nenda

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Posts
20,774
Reaction score
47,866
Huyu alikuwa kijana mdogo aliye zaliwa mnamo mwaka c. 1887 huko Congo (DRC ya leo)sehemu inaitwa Bondela wakati huo palijulikana Kama Congo Free state na kufariki 15 August 1909 huko Busira,Bakanja alitangazwa mwenye heri tarehe 24 April 1994 na papa John Paul wa pili.

Bakanja alikubali imani ya kikristo akiwa kijana mdogo mwenye umri wa Miaka 18 tu,lakini alifariki badae akiwa na umri unaokadiriwa kuwa ni Miaka 21-22 kutokana na majeraha aliyopata kutoka kwa wakoloni waliokuwa wamemkataza kuhubiri ila yeye alikaidi.

Kabla ya kifo chake, Bakandja aliombwa na Wamishionari kuwasamehe watesi wake na akasema amekwisha wasamehe na atawaombea huko Mbinguni

His feast day is 12 August on the Carmelite Calendar of Saints, and 15 August in the general Church calendar. Isidore Bakanja is considered a strong witness to the grace of reconciliation that can be experienced between peoples of different races.

Bakanja accepted the Christian faith at eighteen years of age through the ministry of Cistercian missionaries in what is today the Democratic Republic of the Congo (formerly known as the "Congo Free State" Belgian Congo). He was a very devout convert and catechist.

Bakanja had a great love for the Blessed Virgin Mary that he expressed through recitation of the Rosary and by being invested in the Brown Scapular of Our Lady of Mount Carmel. His employers had ordered him to cease sharing the Gospel as well as remove the scapular that he wore as a witness to his faith. Isidore's refusal to comply with the demands of his supervisor resulted in his being brutally beaten and chained.

As a result of the beating and persistent ill treatment he received, Bakanja's wounds became severely infected. As his condition worsened his supervisor sought to keep him from the view of the plantation's inspector. However, Bakanja was discovered and taken to the inspector's home for treatment. His condition had deteriorated so severely, however, that no further medical attention could help him.

At this point Isidore told the inspector "tell them that I am dying because I am a Christian." Missionaries in the area visited Isidore and urged him to forgive the supervisor. He assured them that he already had, declaring "When I am in heaven, I shall pray for him very much."

220px-Isidor_Bakanja.jpg
 
Huenda wimbo wa Fally ipupa-Bakanja idea ilikuwa Ni Maisha ya huyu mtu

Iseboya aliendelea na walinzi
Iseboya a lobi na bakandja

Walinifunga pingu
Bakandja kamata kwanga

Iseboya aliendelea na walinzi
Iseboya a lobi na bakandja

Walinifunga pingu
Bakandja kamata kwanga

Walinipiga hovyo
Bakandja bakandja kamata momgbele

Yeye kamwe bet juu yangu
Ha ha longange a beti nga

Mungu alikuwa Mkristo
Nzambe na yali mokristo

Sehemu pekee ambayo sikuifurahia ilikuwa ni kupalilia na kulima
Likambo ya nga na ye e ko suka be epayi ya nzakomba
 
Umenifunza jambo [emoji848]
 
Aisee
 
Huyu alikuwa kijana mdogo aliye zaliwa mnamo mwaka c. 1887 huko Congo (DRC ya leo)sehemu inaitwa Bondela wakati huo palijulikana Kama Congo Free state na kufariki 15 August 1909 huko Busira,Bakanja alitangazwa mwenye heri tarehe 24 April 1994 na papa John Paul wa pili.

Bakanja alikubali imani ya kikristo akiwa kijana mdogo mwenye umri wa Miaka 18 tu,lakini alifariki badae akiwa na umri unaokadiriwa kuwa ni Miaka 21-22 kutokana na majeraha aliyopata kutoka kwa wakoloni waliokuwa wamemkataza kuhubiri ila yeye alikaidi.

Kabla ya kifo chake, Bakandja aliombwa na Wamishionari kuwasamehe watesi wake na akasema amekwisha wasamehe na atawaombea huko Mbinguni

His feast day is 12 August on the Carmelite Calendar of Saints, and 15 August in the general Church calendar. Isidore Bakanja is considered a strong witness to the grace of reconciliation that can be experienced between peoples of different races.

Bakanja accepted the Christian faith at eighteen years of age through the ministry of Cistercian missionaries in what is today the Democratic Republic of the Congo (formerly known as the "Congo Free State" Belgian Congo). He was a very devout convert and catechist.

Bakanja had a great love for the Blessed Virgin Mary that he expressed through recitation of the Rosary and by being invested in the Brown Scapular of Our Lady of Mount Carmel. His employers had ordered him to cease sharing the Gospel as well as remove the scapular that he wore as a witness to his faith. Isidore's refusal to comply with the demands of his supervisor resulted in his being brutally beaten and chained.

As a result of the beating and persistent ill treatment he received, Bakanja's wounds became severely infected. As his condition worsened his supervisor sought to keep him from the view of the plantation's inspector. However, Bakanja was discovered and taken to the inspector's home for treatment. His condition had deteriorated so severely, however, that no further medical attention could help him.

At this point Isidore told the inspector "tell them that I am dying because I am a Christian." Missionaries in the area visited Isidore and urged him to forgive the supervisor. He assured them that he already had, declaring "When I am in heaven, I shall pray for him very much."

View attachment 2204681
Kanisa katoliki la mitume Boko moja hiyo
 
So wazungu wakamdunda then wazungu wengine wakamuomba awasamehe.
 
Niliona movie inayozungumzia maisha yake
Credit kwa Fr Julianus OSB(enzi hizo Abbey Ndanda)
 
Mwenye heri Isdore Bakanja Utuombee na uniombee mimi na familia yangu. Amina.👼
 
Back
Top Bottom