N Nyumisi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2010 Posts 13,495 Reaction score 19,352 Oct 11, 2021 #21 Hapo kwenye kuonwa ndo penye mtihani, maana yamejimulikia uchawi wa mwenge ili yawe yanaonekana yenyewe tu....
Hapo kwenye kuonwa ndo penye mtihani, maana yamejimulikia uchawi wa mwenge ili yawe yanaonekana yenyewe tu....
crocodile JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 3,860 Reaction score 2,957 Oct 11, 2021 #22 singojr said: Kwahiyo unaona kutumia hela kujenga madarasa ni upotevu wa hela? Huduma ya Elimu na Afya ndo msingi wa maendeleo utajenga hizo barabara bila kuwa na elimu? Click to expand... Hivi Watu wanapokuwa wanapinga ujenzi wa barabara na miundo mbinu mingine ni wako serious au wanatania tu kuchangamsha baraza?!
singojr said: Kwahiyo unaona kutumia hela kujenga madarasa ni upotevu wa hela? Huduma ya Elimu na Afya ndo msingi wa maendeleo utajenga hizo barabara bila kuwa na elimu? Click to expand... Hivi Watu wanapokuwa wanapinga ujenzi wa barabara na miundo mbinu mingine ni wako serious au wanatania tu kuchangamsha baraza?!
TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 15,266 Reaction score 25,555 Oct 12, 2021 #23 Na bado, ngoja twende tu.