The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Niliposikia pongezi toka kwa mgombea wa chama tawala aliyeshindwa uchaguzi mkuu wa kule Ghana akimpongeza mpinzani aliyeshinda ikanifanya nikumbuke kwamba Ghana iliwahi kuongozwa na kiongozi mashuhuri sana wa siasa za Afrika na ndio maana ya ustaarabu tunaoushushudia
Ndipo zikanijia kumbukumbu kwamba Africa ilijaaliwa kuwa na hawa vinara wawili ila bahati mbaya huyu wa kwetu aliiacha ccm waroho wa madaraka huijapata kutokea
Kusema kweli sina hakika kama kuna nchi yoyote hapa Africa inayotamani kuiga siasa za Tanzania labda kama ni kuiga ukandamizaji.