The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Tatizo nchi nyingi za kiafrica wanafikiria nzi anaweza kuzalisha asali(fidasi wa Japan anajiua,fisadi wa China ananyongwa,fisadi wa ulaya anafungwa).Fisadi wa Africa anagombea uongozi na anapewa.Hatari sanaNiliposikia pongezi toka kwa mgombea wa chama tawala aliyeshindwa uchaguzi mkuu wa kule Ghana akimpongeza mpinzani aliyeshinda ikanifanya nikumbuke kwamba Ghana iliwahi kuongozwa na kiongozi mashuhuri sana wa siasa za Afrika na ndio maana ya ustaarabu tunaoushushudia
Ndipo zikanijia kumbukumbu kwamba Africa ilijaaliwa kuwa na hawa vinara wawili ila bahati mbaya huyu wa kwetu aliiacha ccm waroho wa madaraka huijapata kutokea
Kusema kweli sina hakika kama kuna nchi yoyote hapa Africa inayotamani kuiga siasa za Tanzania labda kama ni kuiga ukandamizaji.
Naunga mkono hoja yako, hapa bila kupasuana hawa wajinga hawataki siasa za kistaarabuGhana wasingekuwa wa huo ustaaraabu wa leo bila Mapinduzi ya Kijeshi.
Same applies to Bongo. Tutakuja kufikia hivyo viwango pale tutakapopeana adabu kupitia Mapinduzi
Yale mapinduzi ya themanini na tatu yangefanikiwa ungekuta hatuna huu upuuziGhana wasingekuwa wa huo ustaaraabu wa leo bila Mapinduzi ya Kijeshi.
Same applies to Bongo. Tutakuja kufikia hivyo viwango pale tutakapopeana adabu kupitia Mapinduzi