Na ustashangaa adhabu ndogo watapewa man city isio endana na mkasa wao
View attachment 3681927
View attachment 3681929
Yaani jamaa wanawalipa sponsors kwenye makaratasi ionekane wame sponsoe pesa ndefu,Wamedanganya dunia nzima kuwa Haland kanunuliwa kwa Paund 60m.
Ila kiuhalisia majamaa walitoa paund 200+m kwa dortmund na wakataka iwe siri baina yao.
Wamecheza rafu nying sana hawa majamaa.
Na kipindi hiko chelkenge walimtaka kwa 120+m + kutoa wachezaji wawili & mmoja 😂Wamedanganya dunia nzima kuwa Haland kanunuliwa kwa Paund 60m.
Ila kiuhalisia majamaa walitoa paund 200+m kwa dortmund na wakataka iwe siri baina yao.
Wamecheza rafu nying sana hawa majamaa.
Alishapita kote huko, ikaonekana story ya Man City ndio yenye uzito zaidi, wale jamaa wa gazeti la Ujerumani ndio wakaibeba wakaiweka hadharaniHuyu dogo aende pale Laliga akafanye udukuzi kwa Barcelona atufunulie tusioyajua kuhusu Negreira.
In thata aspect hata BVB watakuwa nakesi ya kujibu kwa kudanganya mapato na matumiziWamedanganya dunia nzima kuwa Haland kanunuliwa kwa Paund 60m.
Ila kiuhalisia majamaa walitoa paund 200+m kwa dortmund na wakataka iwe siri baina yao.
Wamecheza rafu nying sana hawa majamaa.
Remember thata time Halland alikuwa chini ya Mino Raiola kama sijakosea jina lake, jamaa alikuwa mtata sana.Na kipindi hiko chelkenge walimtaka kwa 120+m + kutoa wachezaji wawili & mmoja 😂
Goti wako wa kuchovya hatomsahau huyo bwana mdogo.Huyu dogo aende pale Laliga akafanye udukuzi kwa Barcelona atufunulie tusioyajua kuhusu Negreira.
Saizi swala limefika kwenye meza ya UEFA wenyewe.Alishapita kote huko, ikaonekana story ya Man City ndio yenye uzito zaidi, wale jamaa wa gazeti la Ujerumani ndio wakaibeba wakaiweka hadharani
Anyway lets wait & see.Saizi swala limefika kwenye meza ya UEFA wenyewe.
Tuone na hapo wanachomakaje.
Proper Money Laundering hiiWamedanganya dunia nzima kuwa Haland kanunuliwa kwa Paund 60m.
Ila kiuhalisia majamaa walitoa paund 200+m kwa dortmund na wakataka iwe siri baina yao.
Wamecheza rafu nying sana hawa majamaa.
Wamedanganya dunia nzima kuwa Haland kanunuliwa kwa Paund 60m.
Ila kiuhalisia majamaa walitoa paund 200+m kwa dortmund na wakataka iwe siri baina yao.
Wamecheza rafu nying sana hawa majamaa.
Man City wanajua kabisa hata kama wakikata rufaa hawatatoboa, wameamua kukata rufaa ili muda uende tu.
Wanajua hiyo rufaa inaweza chukua miaka mitatu au zaidi mpaka kutolewa maamuzi.
Lakini unapokutwa na hatia kwenye makosa 114 kati ya makosa 115 uliyoshtakiwa nayo, chance ya kushinda rufaa kwa makosa yote ni ndogo sana.
Wanajua walikosea ndio maana taarifa ya premier league kwanba city walikuwa wakiwakimbia hawakutoa ushirikiano.
Messi hivi alikuwepo kwenye ile mechi ya final ya world cup ya mwaka huu?Goti wako wa kuchovya hatomsahau huyo bwana mdogo.
Alikuwepo ndiyo na alicheza dakika 120Messi hivi alikuwepo kwenye ile mechi ya final ya world cup ya mwaka huu?