Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
pole Vin Diesel maji yakishamwagika hayazoleki.......rudi kwa mama wa watoto wako mbembeleze mwambie shetani alikupitia na sasa hivi huyo shetani umemfunga mnyororo funguo umetupa bahari ....usiwe na mawasiliano yoyote na sweetlady wala post zake usisome
pole Vin Diesel, ndio utu uzima huo! kilio chako natumaini kitasikika kwa huyo mlengwa, na usichoke kumbembeleza as watoto wa kike tunapenda kubembelezwa!
pole Vin Diesel, ndio utu uzima huo! kilio chako natumaini kitasikika kwa huyo mlengwa, na usichoke kumbembeleza as watoto wa kike tunapenda kubembelezwa!
Chezea Sweet wewe. toto la ukweli lile. saa hii yuko na my son anataka kumpora yale madola anayonipaga kila mwisho wa wiki.
sweetlady simtaki tena....mie nataka mama watoto wangu arudi JF na anirudie pia mkuu Mr Rocky...Mi wala sikusaidii. Si ulijifanya kidume unajua kuwavizia watoto wa kike kila uwaonapo
Bora aendelee kukupa za uso tuu hivyo hivyo
Na sweetlady nae atakupa za uso soon
Pole Vin Diesel