Isingekuwa kuwa wewe sweetlady


Kwanini amsingizie shetani! Aseme tu alipagawa na sweetlady alivyo mashaalah! Acha wapukutike nibaki mwenyewe!
 
Last edited by a moderator:

nakusaidia kwa kumchukua sweetlady ili akirudi mkeo upate utulivu. Ila inakubidi uvumilie kipindi hiki cha mpito! Upweke kaziii!!?
 
Last edited by a moderator:
Kwanini amsingizie shetani! Aseme tu alipagawa na sweetlady alivyo mashaalah! Acha wapukutike nibaki mwenyewe!

Ha ha ha...ila sweetlady msweet kweli kweli...uongo mbaya
 
Last edited by a moderator:
nakusaidia kwa kumchukua sweetlady ili akirudi mkeo upate utulivu. Ila inakubidi uvumilie kipindi hiki cha mpito! Upweke kaziii!!?

Mke wangu aliaga kwa kishindo kweli kweli.....
 

Japo mi si nduguyo!
But as my fellow member nitakusaidia kukubembelezea huyo my wako ikiwa utamuainisha ni nani !
Na huyu SL ni shemeji yangu ntasemanae .
 
Last edited by a moderator:
Japo mi si nduguyo!
But as my fellow member nitakusaidia kukubembelezea huyo my wako ikiwa utamuainisha ni nani !
Na huyu SL ni shemeji yangu ntasemanae .

wewe ni ndugu yangu pia kaka...sema kuachwa kumenichanganya sana
 
Mkuu Erickb52 umesahau kuna raia aliaga hapa tena kwa kuanzisha thread?
wewe unadhani chanzo ni nani kama sio rafiki yake wa karibu?

yaani exshem sitakaa nikusamehe. Kumbe wewe ndo uliemponza. Ngoja nimpigie nimuambie asikubali kabisaa. Sikupendi kama nini sijui, kama ccm!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Reactions: Paw
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…