Isingekuwa Mbowe CHADEMA kingekuwa madarakani tangu 2015

Yaani huyo Mzee nilishaona tu chadema chini yake ilikuwa ni kama maiti inayotembea alihujumu sana chama huyo dingi.chama kilikuwa kinamuhitaji lisu kitambo sana aisee mbowe alikuwa anatumiws na ccm
 
Kahujumu maridhiano mengi kwa faida binafsi akishirikiana na aliyekuwa Mkurugenzi wa chama Jon Mrema na wenzake waliokimbilia CHAUMMA.

Kwenye uchaguzi wa 2015, ulikuwa ni mpango wa Mbowe kumweka Lowassa kugombea urais dakika za mwisho bila mchakato wowote ili kuzima nguvu ya Dr. Slaa aliyokuwa nayo.

Kavujisha siri za chama nyingi sana kwa maslahi yake vinginevyo leo Chadema kingekuwa chama tawala.

Kwangu January 21, 2025 ni siku ya ukombozi kwa CHADEMA. CCM iliumia sana Mbowe kushindwa uchaguzi na Lissu kuwa mwenyekiti.

Lissu aliongoza Chadema kwa takribani miezi 2 tu akiwa uraiani kabla ya kukamatwa na hadi leo anakiongoza chama akiwa mahabusu.
yaani mwanzilishi wa chama unasema asingekua yeye tena 🤣 🤣 ,
 
Hata wabwiya unga wengi wakishajidunga na hanjamu ikishakolea wanajiona wapo Ulaya,kumbe wapo hapahapa , na si ajabu wapo Tandika kwa Maguruwe.
 
we kwel mbega, unajua katoka na chadema wap mpaka umekuja kuiskia juzi
Tuondolee matako Yako mànene hapa kwahiyo kutoka kwake na chadema mbali ndo atuletee usenge senge wake.chadema sio ya mbowe hata yeye aliikuta ingekuwa ni hivyo Basi hata wakina mtei wasingekiacha chama alafu inabidi uelewe ww bongo lala chadema ipo moyoni mwa watu wengi sio moyoni Kwa mbowe pekee.watu wanajitoa kukipambania chama,watu wamemwaga damu zao,watu wamekuwa walemavu wa maisha,watu hawajulikani walipo mpaka Sasa sababu ya chadema alafu huyo mbowe anajiangalia yeye tu.Lisu ametuonesha jinsi upinzani unavyotakiwa kuwa no haki no maridhiano Sasa singekuwa enzi za mbowe hapa ungelikuta liko ikulu Sasa hivi linakunywa kahawa ya maziwa na Samia Sasa hivi
 
Kahujumu maridhiano mengi kwa faida binafsi akishirikiana na aliyekuwa Mkurugenzi wa chama Jon Mrema na wenzake waliokimbilia CHAUMMA.

Kwenye uchaguzi wa 2015, ulikuwa ni mpango wa Mbowe kumweka Lowassa kugombea urais dakika za mwisho bila mchakato wowote ili kuzima nguvu ya Dr. Slaa aliyokuwa nayo.

Kavujisha siri za chama nyingi sana kwa maslahi yake vinginevyo leo Chadema kingekuwa chama tawala.

Kwangu January 21, 2025 ni siku ya ukombozi kwa CHADEMA. CCM iliumia sana Mbowe kushindwa uchaguzi na Lissu kuwa mwenyekiti.

Lissu aliongoza Chadema kwa takribani miezi 2 tu akiwa uraiani kabla ya kukamatwa na hadi leo anakiongoza chama akiwa mahabusu.
Mbowwe TISS
 
Tuondolee matako Yako mànene hapa kwahiyo kutoka kwake na chadema mbali ndo atuletee usenge senge wake.chadema sio ya mbowe hata yeye aliikuta ingekuwa ni hivyo Basi hata wakina mtei wasingekiacha chama alafu inabidi uelewe ww bongo lala chadema ipo moyoni mwa watu wengi sio moyoni Kwa mbowe pekee.watu wanajitoa kukipambania chama,watu wamemwaga damu zao,watu wamekuwa walemavu wa maisha,watu hawajulikani walipo mpaka Sasa sababu ya chadema alafu huyo mbowe anajiangalia yeye tu.Lisu ametuonesha jinsi upinzani unavyotakiwa kuwa no haki no maridhiano Sasa singekuwa enzi za mbowe hapa ungelikuta liko ikulu Sasa hivi linakunywa kahawa ya maziwa na Samia Sasa hivi
ukiwa maskini shida sana, sku izi vyama vinakaa moyon kumbe! endelea ivo ivo utalia vya kutosha, sasa mkafanyie mikutano yenu ukonga si mnaona siasa za fujo ndoa siasa saf 🤣 🤣
 
Wewe utakuwa na kamasi kwenye fuvu lako, ni bora babako angepiga nyeto tu kuliko kumbebesha mamako mzigo tumboni for damn 9 months!
 
ukiwa maskini shida sana, sku izi vyama vinakaa moyon kumbe! endelea ivo ivo utalia vya kutosha, sasa mkafanyie mikutano yenu ukonga si mnaona siasa za fujo ndoa siasa saf

ukiwa maskini shida sana, sku izi vyama vinakaa moyon kumbe! endelea ivo ivo utalia vya kutosha, sasa mkafanyie mikutano yenu ukonga si mnaona siasa za fujo ndoa siasa saf 🤣 🤣
Ww bongo lala tulia dawa ipenye hutaki kufanya kazi unasubiria Hela za bure za çcm😂😂🤣nani maskini Sasa hapo ?ukweli huko hivyo kibaraka wenu mbowe alikuwa anacheza na mioyo ya watu maskini wa fikra wewe
 
ahaa kumbe, sasa mtajua ela mtatoa wap si mlikua mnaona anacheza pale chadema! mtachanga mpaka vidole viote sugu na mikutano mkafanyie pale ukonga
 
Kweli ww jamaa bongo lala🛌🛌🛌Haina shida ila siku yenu ipo
 
Unajua mahesabu wewe, zaidi ya asilimia 60 ni vijana, haya waliopiga kura ni vikongwe.
Kijana kwa CCM(uvccm) ni chini ya miaka 35,sina hakika vijana kwako ni umri gani na sina hakika takwimu za vijana nchini zikoje,ila CCM Wana vijana
 
Kwenye uchaguzi wa 2015, ulikuwa ni mpango wa Mbowe kumweka Lowassa kugombea urais dakika za mwisho bila mchakato wowote ili kuzima nguvu ya Dr. Slaa aliyokuwa nayo.
  1. Kwanza ni kweli 2015, Chadema ilikuwa iingie Ikulu kwasababu njia ilikuwa nyeupe, kufuatia CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!
  2. Hili tulilisema sana, njia ya Chadema 2015 ilikuwa nyeupe tatizo Chadema hawajajipanga, tukawashauri sana wajipange wapi na wajipange vipi Yametimia!, CCM Imechokwa!, CHADEMA Njia Nyeupe 2015!-Jipangeni!
  3. Ila sii kweli Mbowe alipanga Lowassa ndie awe mgombea Urais wa Chadema. Bali tuliwaangazia mwanga GE2015 - Licha ya kukubalika, Jina la Lowassa halitafika hata CC!
  4. Na tukasisitiza GE2015 - Edward Lowassa sio lazima yeye tu ndiye awe Rais wetu 2015, Rais wetu wa 2015 ni...
  5. Ugombea wa Lowassa just happened tuu, na akina sisi tukamchagiza Mwamba wa Kaskazi asikubali GE2015 - Kukatwa kwa Lowassa, ni mwisho wa ile safari, au ni mwanzo wa Safari Halisi ya Matumaini?
  6. Tukaifungua macho Chadema jinsi Lowassa alivyo fursa,Ujio wa Lowassa CHADEMA: Kuna kundi wamesusa, wanapanga kurejea CCM!
  7. Mshenga akapeleka posa, mchumba akakubali kuolewa, Lowassa akatua Chadema! CHADEMA ni hadithi ya mgeni njoo mwenyeji apone au akome?! Majirani mnakasirika nini?!
  8. Si kweli kuwa Dr Slaa alikuwa na nguvu yoyote kwa 2015, alikuwa hana mpango wa kugombea uraisi, alikatazwa na mtu na kwasababu alikuwa amekufa ameoza, akakubali Urais 2015 tusimlaumu Zitto: Nani anaujua Msimamo wa Dr. Slaa?
  9. Ujio wa Lowassa Chadema lilikuwa ni bonge la fursa but very unfortunately, Chadema wakashindwa kuitumia effectively GE2015 - Mabadiliko Chanya ya Ujio wa Lowassa: CHADEMA Kuhama Ufipa!, Kuwa Makao Yake, Kituo cha TV na Redio!
  10. Hata hivyo Ujio wa Lowassa Chadema umeinyanyua sana toka wabunge 22 mwaka 2010 hadi wabunge 70 2015!.
  11. Kilichofanya Chadema wakashindwa kuingia Ikulu 2015 ni hizihttps://www.jamiiforums.com/threads/chadema-hamkujipanga-hamjajipanga-hamjipangi-na-hamtajipanga-2015-ni-ccm-tena.624364/
  12. GE2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...
  13. GE2015 - CHADEMA ikipewa Nchi, Oktoba 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala wa Kidikteta? Nauliza Tuu!
  14. Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?
  15. Nailaumu CHADEMA kuwa hawajui wanataka nini
  16. CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za msingi. Adui wenu mkuu sio CCM! Lazima mbadilike
  17. Ikithibitika CHADEMA ilihusika na uvunjifu wa amani, then inapaswa kufutwa kwa mujibu wa katiba!
  18. Tuhuma Hii: CHADEMA kuendeshwa kwa Katiba "Fake" ikithibitishwa, CHADEMA inaweza kufutwa
P
 
Back
Top Bottom