Isingekuwa mfuko wa bima ya afya (NHIF) ningefanya nini?

Joined
Jan 22, 2014
Posts
33
Reaction score
83
Nawaza ningewezaje kumudu gharama za matibabu ikiwa bima ya afya isingekuwepo, mwezi Sasa tangu nimuhifadhi Mama yangu katika nyumba yake ya milele Ila kila ninapozunguka swali ninalojiuliza ningewezaje kumudu gharama ya kumtibu Kama isingekuwa NHIF.

Nikifikiria gharama ambazo zimetumika wakati wa matibabu Kuna nyakati naogopa kwamba imewezekanaje? Nikilijgamisha na michango ambayo nimechangia tangu nianze utumishi wa imma haifanani kabisa na huduma aliyoipata, pengine itachukua miaka mingi Sana na pengine nitastaff utumishi huu bila kufikisha kiwango Cha gharama zilizotumika.

Nikianza tangu mwaka 2015 Mama yangu alipoanza kuumwa na kuanza kuhudhuria katika hospital mbalimbali za rufaa nchini, kupima vipimo vya gharama kubwa na kupata dawa.

Iliniogopesha pale ambapo alianza kuhudhuria clinic ya dialysis, ambayo Hadi umauti amehudhuria kwa kipindi Cha miaka miwili na alipaswa kuhudhuria Mara tatu kwa wiki, na gharama zote hizo bima ilicover.. 🙌
 
Dialysis iko ndani ya bima ya afya? Kama Ndiyo serikali hongera zao.
 
Iliniogopesha pale ambapo alianza kuhudhuria clinic ya dialysis, ambayo Hadi umauti amehudhuria kwa kipindi Cha miaka miwili na alipaswa kuhudhuria Mara tatu kwa wiki, na gharama zote hizo bima ilicover.. [emoji119]
Bima nimasaada sana, kwangu mimi imekua msaada maana ilimsaidia baba mkwe sana, bima yangu iliweza kuongeza dependant mpaka baba mkwe na ilimsaidia maana alikua anaumwa sana na ili cover kwa vitu vingi sana ingawa alikuja kuondoka kwasababu ya cancer
 
Hivi wana cover hadi cancer?
 
Hivi wana cover hadi cancer?
Pia sahivi kuna maboresho mengi kwenye hizi bima kuna walaka umetolewa juzi juzi kuna dawa nyingi zimeingia ni kazi nzuri ya Ummy Ally mwalimu waziri wetu wa afya
 
vipimo, dawa etc mimi yangu ina cover, unajua inategemea wewe bima yako ipo chini ya utumishi gani kwa wale waajiriwa,
Huko nyumbani mambo yameendelea, huku dunia ya kwanza bila bima ni changamoto sana.
 
Bima nimasaada sana, kwangu mimi imekua msaada maana ilimsaidia baba mkwe sana, bima yangu iliweza kuongeza dependant mpaka baba mkwe na ilimsaidia maana alikua anaumwa sana na ili cover kwa vitu vingi sana ingawa alikuja kuondoka kwasababu ya cancer
Oh!!! pole sana Mkuu

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom