Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bima inasaidia sana. Dada yangu NHIF walimlipia matibabu zaidi ya Milioni 170.Nawaza ningewezaje kumudu gharama za matibabu ikiwa bima ya afya isingekuwepo, mwezi Sasa tangu nimuhifadhi Mama yangu katika nyumba yake ya milele Ila kila ninapozunguka swali ninalojiuliza ningewezaje kumudu gharama ya kumtibu Kama isingekuwa NHIF.
Nikifikiria gharama ambazo zimetumika wakati wa matibabu Kuna nyakati naogopa kwamba imewezekanaje? Nikilijgamisha na michango ambayo nimechangia tangu nianze utumishi wa imma haifanani kabisa na huduma aliyoipata, pengine itachukua miaka mingi Sana na pengine nitastaff utumishi huu bila kufikisha kiwango Cha gharama zilizotumika.
Nikianza tangu mwaka 2015 Mama yangu alipoanza kuumwa na kuanza kuhudhuria katika hospital mbalimbali za rufaa nchini, kupima vipimo vya gharama kubwa na kupata dawa.
Iliniogopesha pale ambapo alianza kuhudhuria clinic ya dialysis, ambayo Hadi umauti amehudhuria kwa kipindi Cha miaka miwili na alipaswa kuhudhuria Mara tatu kwa wiki, na gharama zote hizo bima ilicover.. 🙌
Duh akiwa anaumwa nini?Bima inasaidia sana. Dada yangu NHIF walimlipia matibabu zaidi ya Milioni 170.
Hawa watu hawana hata uwezo wa kusoma na kuelewa ni tabu tupu, wengi ndo vijana wa UVCCW.Ndio maana nimekwambia bila kuwa na bima ya afya ulimwengu wa kwanza ni tabu sana sasa usichokielewa ni nini hapo?
Achana juma na rozi, viatu vilikuwa vikubwa kwakePia sahivi kuna maboresho mengi kwenye hizi bima kuna walaka umetolewa juzi juzi kuna dawa nyingi zimeingia ni kazi nzuri ya Ummy Ally mwalimu waziri wetu wa afya
Saratani. Kila baada ya wiki 3 dawa za 9MDuh akiwa anaumwa nini?
Samahani kwa hili swali. Alipona?Bima inasaidia sana. Dada yangu NHIF walimlipia matibabu zaidi ya Milioni 170.
NdiyoSamahani kwa hili swali. Alipona?
Nakushukuru. Na Mungu akupatie hiki unachotamkia wengine kabla mwaka huu haujaisha.UKIMWI
Ndio boss. Mwaka wa 6 huu tangu atibiwe. Anaendelea na mishe zake kama kawaida.Samahani kwa hili swali. Alipona?
Bima ililetwa kwa lengo hilo hapo.Nawaza ningewezaje kumudu gharama za matibabu ikiwa bima ya afya isingekuwepo, mwezi Sasa tangu nimuhifadhi Mama yangu katika nyumba yake ya milele Ila kila ninapozunguka swali ninalojiuliza ningewezaje kumudu gharama ya kumtibu Kama isingekuwa NHIF.
Nikifikiria gharama ambazo zimetumika wakati wa matibabu Kuna nyakati naogopa kwamba imewezekanaje? Nikilijgamisha na michango ambayo nimechangia tangu nianze utumishi wa imma haifanani kabisa na huduma aliyoipata, pengine itachukua miaka mingi Sana na pengine nitastaff utumishi huu bila kufikisha kiwango Cha gharama zilizotumika.
Nikianza tangu mwaka 2015 Mama yangu alipoanza kuumwa na kuanza kuhudhuria katika hospital mbalimbali za rufaa nchini, kupima vipimo vya gharama kubwa na kupata dawa.
Iliniogopesha pale ambapo alianza kuhudhuria clinic ya dialysis, ambayo Hadi umauti amehudhuria kwa kipindi Cha miaka miwili na alipaswa kuhudhuria Mara tatu kwa wiki, na gharama zote hizo bima ilicover.. 🙌
Ni habari njema. Maana case za kansa ninaowasikia hufariki wakiendelea na matibabu ikaanza kunifanya ni matibabu ya kansa ni kutimiza tu wajibuNdio boss. Mwaka wa 6 huu tangu atibiwe. Anaendelea na mishe zake kama kawaida.
Ni kweli mkuu. Wapo wengi wanapona ila story yao haisikiki sana kama mtu akifariki. Nimekutana na watu wana maiaka zaidi ya 15 tangu waponeNi habari njema. Maana case za kansa ninaowasikia hufariki wakiendelea na matibabu ikaanza kunifanya ni matibabu ya kansa ni kutimiza tu wajibu
Serikali ningependa ufanye kampeni kama wanavyofanya kansa ya matiti. Watu wapimwe mass testing kujua kama Wana dalili za kansa au la. Watu wengi wenye kansa za aina tofauti na hiyo ya matiti hujulikana wakiwa katika hali mbaya ambapo gharama na kubwa na hata wakiziingia kupindua meza unakuwa ngumu.Ni kweli mkuu. Wapo wengi wanapona ila story yao haisikiki sana kama mtu akifariki. Nimekutana na watu wana maiaka zaidi ya 15 tangu wapone
Kwa uhakika NHIF ni moja ya Mashirika adimu sana hapa nchini ambayo yanatimiza wajibu wao kwa Umma kama sheria ya kuundwa kwake ilivyoainisha. Wengi wetu sasa tungekuwa upande wa pili kama huduma hii isingekuwepo. Wastaafu wengi kimbilio letu ni huko. Nawahimiza waajiri na pia waajiriwa kwamba wahakikishe wamejiunga na utaratibu huu ambao huwahakikishia matibabu wakati wanapokuwa wagonjwa. Si tu wao bali pia na familia zao na wategemezi wengine kama ilivyoanishwa katika mkataba. Hongereni sana NHIF.Nawaza ningewezaje kumudu gharama za matibabu ikiwa bima ya afya isingekuwepo, mwezi Sasa tangu nimuhifadhi Mama yangu katika nyumba yake ya milele Ila kila ninapozunguka swali ninalojiuliza ningewezaje kumudu gharama ya kumtibu Kama isingekuwa NHIF.
Nikifikiria gharama ambazo zimetumika wakati wa matibabu Kuna nyakati naogopa kwamba imewezekanaje? Nikilijgamisha na michango ambayo nimechangia tangu nianze utumishi wa imma haifanani kabisa na huduma aliyoipata, pengine itachukua miaka mingi Sana na pengine nitastaff utumishi huu bila kufikisha kiwango Cha gharama zilizotumika.
Nikianza tangu mwaka 2015 Mama yangu alipoanza kuumwa na kuanza kuhudhuria katika hospital mbalimbali za rufaa nchini, kupima vipimo vya gharama kubwa na kupata dawa.
Iliniogopesha pale ambapo alianza kuhudhuria clinic ya dialysis, ambayo Hadi umauti amehudhuria kwa kipindi Cha miaka miwili na alipaswa kuhudhuria Mara tatu kwa wiki, na gharama zote hizo bima ilicover.. 🙌
Saratani. Kila baada ya wiki 3 dawa za 9M
Halafu bado mtu anakufa! 🙄