Mayor of kingstown
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,898
- 4,156
Hahahahaa we jamaa huwa unanifurahisha sanaMazungumzo aliyofanya Diamond na Rickross kwa zaidi ya saa moja yalizaa matunda na Diamond kukubali mtoto,ilibidi Rickross atumie nguvu za ziada kumbembeleza rafiki yake huyo mkubwa faida na hasara za kukataa watoto nakumuomba kama itatokea Diamond kuhitaji msaada basi asiache kumcheki.
Baada ya mazungumzo hayo Rickross alimpigia simu Mobeto nakumwambia awe na amani ameishamliza kusort out mambo kabla ya kumpigia simu Zari kumuandaa kisaikolojia.
Chanzo kimenyetisha
Mbuzi mwenyewe amekataa kamba 😀Mkuu hii kamba ya kufungia mbuzi
hakika chai tena ya rangiChai hii [emoji38][emoji38][emoji38]
labda iwe hiviLe mutuz ndio Rick Ross
[emoji23][emoji23][emoji23]au atakuwa yule baunsa lake ndo jamaa kadhani domo yupo na Rick Ross,Le mutuz kawa Rickross?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85]Mazungumzo aliyofanya Diamond na Rickross kwa zaidi ya saa moja yalizaa matunda na Diamond kukubali mtoto,ilibidi Rickross atumie nguvu za ziada kumbembeleza rafiki yake huyo mkubwa faida na hasara za kukataa watoto nakumuomba kama itatokea Diamond kuhitaji msaada basi asiache kumcheki.
Baada ya mazungumzo hayo Rickross alimpigia simu Mobeto nakumwambia awe na amani ameishamliza kusort out mambo kabla ya kumpigia simu Zari kumuandaa kisaikolojia.
Chanzo kimenyetisha