Isingekuwa Rickross kuongea na Diamond jana,jamaa angemkataa mtoto

[emoji23]mkuu umexahau mengine ngoja mi nitoe remix...kabla ya Rick Ross. Diamond Ali ongea na yuda kidogo akamwambia hathari za usariti zkoje nd baadae mengne yaka fuata
 
Mazungumzo aliyofanya Diamond na Rickross kwa zaidi ya saa moja yalizaa matunda na Diamond kukubali mtoto,ilibidi Rickross atumie nguvu za ziada kumbembeleza rafiki yake huyo mkubwa faida na hasara za kukataa watoto nakumuomba kama itatokea Diamond kuhitaji msaada basi asiache kumcheki.
Baada ya mazungumzo hayo Rickross alimpigia simu Mobeto nakumwambia awe na amani ameishamliza kusort out mambo kabla ya kumpigia simu Zari kumuandaa kisaikolojia.
Chanzo kimenyetisha
Hahahahaa we jamaa huwa unanifurahisha sana
 
story za huyu jamaa pamoja na gentmyzine sijawahi ziamini hata siku moja, zimejaa masihara
 
Hilo rungu nimelikwepa,liwapate wajinga
 
Niache ubungo maji bhaana[emoji125] ubungo stendi wanipeleka nkafanye nin[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mazungumzo aliyofanya Diamond na Rickross kwa zaidi ya saa moja yalizaa matunda na Diamond kukubali mtoto,ilibidi Rickross atumie nguvu za ziada kumbembeleza rafiki yake huyo mkubwa faida na hasara za kukataa watoto nakumuomba kama itatokea Diamond kuhitaji msaada basi asiache kumcheki.
Baada ya mazungumzo hayo Rickross alimpigia simu Mobeto nakumwambia awe na amani ameishamliza kusort out mambo kabla ya kumpigia simu Zari kumuandaa kisaikolojia.
Chanzo kimenyetisha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85]
 
Back
Top Bottom