Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,347
Isiolo iko upande gani wa Kenya? Nimevutiwa sana na majengo...
nyanda za kaskaziniIsiolo iko upande gani wa Kenya? Nimevutiwa sana na majengo...
North East of NairobiIsiolo iko upande gani wa Kenya? Nimevutiwa sana na majengo...
Sawa mtao basi ....mm mshamba hapa next?We mlugaluga jifunze Kiswahili kwanza, ukiandika "kujeni" kwa watu tunaojua Kiswahili hiyo ni dalili ya ushamba.
Sawa mtao basi ....mm mshamba hapa next?
Mkikosa hoja mnaanza kuingilia Kiswahili
Sent using Jamii Forums mobile app
The Airport and Runway Cost 2.5bn kshs about 25mn$
Below Kenyan Ghels Relax at the airport
The Terminal A
Uhuru was Handy in Launching it
So my Question to any Sane Kenyan
How did a bridge in Nyanza Cost 1.2bn kshs and an airport in Isiolo/Meru region Cost 2.5bn kshs Yet somehow ...that bridge was really shitty government project!? .....sio kwa ubaya but why should i trust this government again kama kwa strongholds watakuwa wanaleta A Game alafu kwetu wengine tunawekewa grade F contractors ??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sasa unajidai kushindana na projects za kenya? Wabongo aliyewaroga kafa.Viwanja vyote vitakuwa vinafanya 24/7 Nakwaajili yakupokea pia ndege kubwa. Kwa Leo kafungua miradi mitatu (3) mkubwa tofauti kwa mkoa wa Singinda na bado ziara inaendelea akitokea Kigoma.
Naaa been here since 2010...Tuanzishe battle ya viwanja vinavyo jengwa Kenya na Tanzania.
We Njuguna.
Kiswahili nayo ni hoja, ingekuwa si hoja usingekitumia.
Na zaidi ya Kiswahili, hoja muhimu zaidi hapa ni kufundishanayeyote anapokosea chochote.
Ila wewe mlugaluga hilo hulioni, kwa sababu unaona mtu akikukosoa Kikswahili kakosa hoja.
Hujajibu nilichokuandikia na unachoniandikia sijakuuliza.Naaa been here since 2010...
I have learnt my lesson
When Tanzania will no longer be an LCD You come tuanze ubishi....otherwise angalia stickies na threads za 2011 through 2015 dec and partly 2016 I was doing that Daily until i learnt that geza will never win a debate and Tanzania will not surpass kenya during my life time
Now Go Lie to urself somewhere else mnajenga viwanja ili mpeperushe Kites?????
Sent using Jamii Forums mobile app