Isiolo Airport Launched Danganyika Republic Kujeni na Hate sasa

Acha maneno tuanze battle au mimi naanza
 
Kenya nyie kwenye airports hamuiwezi Tanzania tuna massive ongoing projects kwenye zaidi ya 10 airports countrywide.
 
Wacha ujinga wewe! Uhuru mpaka siku ya election ndo ana-launch new airport n fool u uko excited. Magufuli takes that as his daily coffee imagine 7 airports to 1 n u dare to brag overhere! Where was that idiot in the past 5 years? Nyie watu mnao ujinga mlichukua toka placenta za mama zenu!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania Airports
Songwe Int Airport (Mkoa wa Songwe)





 
Bukoba Airport (Mkoa wa Kagera)









 
Mwanza int. Air Port Construction inaendelea









 
Msalato Int. Airport (Dodoma). Under Construction






 
Abeid Amani Karume International Airport(Unguja)





 
The Kilimanjaro Int Airport


 
Wacha nikukosoe kiasi....tulinganishe viwanja ambavyo vimejengwa Kenya Na Tanzania.
Weka viwanja vya kenya hapa hapa acha maneno.
Nimeshakuwekea
1. Songwe int Airport
2. Bukoba Airport
3. Abed Karume Int Airport
4. Kilimanjaro int Airport

Leta majibu uweze kujibu hivyo vinne toka huko kwenu.

Vinavyoendelea kwenyeujenzi
1. Mwanza Int Airport
2. Msalato Int Airport
3. Tabora Airport
4. Kigoma Airport
5. Shinyanga Airport
6. Mtwara Airport
7. Tanga Airport
8. Mpanda Airport

Vingine vipo Tuanze na hapo kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…