Isiolo Airport Launched Danganyika Republic Kujeni na Hate sasa

Siwezi kujibu cooked information.
Leta taarifa toka kwenye source za kuaminika siyo hizo zenu za kupika.
Kweli kabisa annael, hawa jamaa uwezo wao wa kitakwimu upo chini sana, Data nyingi zinapikwa huko. Binafsi I never trust anything from tje source with the link containing ( .ke. com)
wanafake hata maisha yao.
Mtu kama huyu unaona anarudi kwake Kibera kwa machale watu wasimwone,
Ukute akiwa maeneo anadai anaishi Karen wakati anaishi kibera.
 
Hiv kwanin wakenya wanapenda kujilinganisha na tz? Kila kitu wakifanya wanalinganisha na tz y? Kwanin wasilinganishe na nchi zingine uko kma Rwanda, Ethiopia, Uganda ...y us?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Annael na Geza Ulole ndio wanaopenda kilimganisha nchi yetu tukufu ya Kenya na Tanzania. Sijui kwa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…