ISIS Msumbiji kwisha habari yao

ISIS Msumbiji kwisha habari yao

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
8,082
Reaction score
17,838
Zimbabwe imethibitisha kupeleka makomandoo wake Msumbiji kulisambaratisha kundi tishio la kigaidi. Hao Zimbabweans special force ni hatari katika mbinu za kimedani attacki, counter terror and offensive. ISIS Msumbiji kwishney.
1581066114-commandos.jpg
Coma11.jpg
Coma4.jpg
Coma13.jpg
images.jpeg
s3.jpg
Coma18.jpg


Saguda47
 
Gaidi unamkunjia ngumi!,gaidi ni wa kupelekea ICBM ikiwezekana.
Zimbambwe awawezi kuniangusha kwenye hii mechi,hawa wa Msumbiji ni wepesi sana,sema Covid-19 imefanyanya Dunia kua busy nayo na kuwapuuzia.
 
Gaidi unamkunjia ngumi!,gaidi ni wa kupelekea ICBM ikiwezekana.
Zimbambwe awawezi kuniangusha kwenye hii mechi,hawa wa Msumbiji ni wepesi sana,sema Covid-19 imefanyanya Dunia kua busy nayo na kuwapuuzia.
jeshi hata liwe strong vipi lakini kama kuna usaliti hakuna kazi itafanyika, nasikia wavaa kobazi wana watu wao ndani ya jeshi la msumbiji
 
Ngoja tuone,ila kama watawaweza wawasambaratishe wote

Ova
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Hao wavaa kobaz nasikia walikua wanakimbilia Tanzania,kibinyo wanachokipata cha kimya kimya kinawafanya warudi msumbiji na huko wanakutana muziki wa kimya kimya wa sadc,maji wataita mma wallah
 
Komando gani kavaa buti za mvua.
Unaonaje lakini kavaa buti za mvua na anapiga mawashi kama kavaa raba vile
Ni aina tu ya mazoezi ya makabiliano na mazingira yoyote hajavaa bahati mbaya na siyo kwamba kakosea
 
Hii mngeipeleka kwenye jukwaa la vichekesho.....
 
Back
Top Bottom