KENPAULITE
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,511
- 3,313
Uliza, huo unyama wamefanyia ndani ya Tanzania?. Ndio sababu watanzania wanapoishi nje ya Tanzania wanakuwa hawana uhakika na maisha yao.ISIS Terrorists in Mozambique Behead and Kill 11 Tanzanian Civilians
The Islamic States terrorists organization’s branch in Mozambique, (an offshoot of Islamic States in Central Africa, ISCAP), conducted a border attack targeting unarmed Tanzanian civilians at Quionga village beheading and killing 11, S.I intelligence...intelligencebriefs.com
Majirani hii vita mtaezana nayo and you have been laughing at us?
Uliza, huo unyama wamefanyia ndani ya Tanzania?. Ndio sababu watanzania wanapoishi nje ya Tanzania wanakuwa hawana uhakika na maisha yao.
Kwani Mtwara haiko Tz?Uliza, huo unyama wamefanyia ndani ya Tanzania?. Ndio sababu watanzania wanapoishi nje ya Tanzania wanakuwa hawana uhakika na maisha yao.
Tell them to come, we are waiting for them. Remember those who are killing people in Mozambique they started in Kibiti- Tanzania, what they get was what caused them to shift to Mozambique.Usijipige kifua sana boss, if it occured that terrorists were to target dar, im not sure you will be very successful as you complain, kumbuka hao mazombie wamekuja kufa as well
Msijisahaulishe kwamba hawa jamaa walianzia Kibiti hapa Tanzania, tulipowashinda ndio wamekimbilia Msumbiji, hata hiki kitendo cha kuwauwa watanzania ndani ya Msumbiji ni kama kulipiza kisasa kwa kipigo walichopata wakiwa Kibiti. Kiusalama vyombo vyetu vipo vizuri sana, lazima mkubaliane na huo ukweli.Tanzanians forget how the US has been struggling against this zombies, im now believing the terror warning the US issued, hii vita haikosangi many casualties majirani, pray hard you dont encounter it
The target was?Usijipige kifua sana boss, if it occured that terrorists were to target dar, im not sure you will be very successful as you complain, kumbuka hao mazombie wamekuja kufa as well
nani kakwambia wameuwawa mtwara?Kwani Mtwara haiko Tz?
Ina maana hata hukusoma vizuri kujua mauaji yamefanyika wapi?. Ni sawa na watanzania kuuliwa hapo Kajiado, ni ndani ya Msumbiji karibu na mpaka wa Tanzania.Kwani Mtwara haiko Tz?
Hii ni noma sana, Watanzania hupenda kukejeli KDF kwenye vita dhidi ya haya mazombi ya kidini, wanasahau vita vya hawa sio kama vile vya watoto wa M23.
Haya mazombi huwa yamelewa udini kiasi cha kuwa tayari kufa, yaani akipona kufa anajutia sana, sasa mtu kama huyo huwa hamna mbinu maalum ya kupambana naye, unapigana naye kwa kubahatisha tu.
Jamaa wakivamia kambi, hutanguliza wachache wanaojilipua kwa kutumia vilipuzi vyenye uwezo wa kulipua chochote ndani kama mita 300, hapo kama hamjajipanga mnapoteana, kisha wanavamia kama mashetani.....
Marekani na Urusi wamepambana nao miaka nenda miaka rudi bila kufaulu.
Kwani Mtwara haiko Tz?
Ina maana hata hukusoma vizuri kujua mauaji yamefanyika wapi?. Ni sawa na watanzania kuuliwa hapo Kajiado, ni ndani ya Msumbiji karibu na mpaka wa Tanzania.
Dont think prayers help that muchTanzanians forget how the US has been struggling against this zombies, im now believing the terror warning the US issued, hii vita haikosangi many casualties majirani, pray hard you dont encounter it
Mbona hueleweki?, Masaki ya PILI iliyoko Tanzania ni ipi mpaka Ubalozi wa Marekani hapa Tanzania utoe tahafhari ya shambulio?Wakati mwingine tusidharau maneno ya Wamarekani tena walisema Masaki Jeshi letu likadai Masaki ya Dar es salaam. Kumbe masikini Wamarekani hawajui kama kuna Masaki mbili lie ya kusini mwa Tanzania. Jeshi lingekuwa sikivu tungeokoa maisha ya ndugu zetu
Wakati mwingine tusidharau maneno ya Wamarekani tena walisema Masaki Jeshi letu likadai Masaki ya Dar es salaam. Kumbe masikini Wamarekani hawajui kama kuna Masaki mbili lie ya kusini mwa Tanzania. Jeshi lingekuwa sikivu tungeokoa maisha ya ndugu zetu