ISIS Terrorists Behead and Kill 11 Tanzanians.

Hata kama ni msumbiji, huoni ni watz wameuliwa? Ama u cant read in between the lines?

Hapo ni mambo mawili tofauti. Watanzania kuuawa Tanzania na kuuawa msumbiji.
Lkn cha msingi hapo ni kutoa Tahadhari kwa Tanzania nationals to take precautions while in Mozambique.
 
Its just the beginning hata hawajafika level ya Mungiki au ata pokot bandits.
.Kumbuka hawajaanza kutumia bunduki ,sucide bombers ama IEDs na pia hawajaanza ku fanya massive radicalization among the Muslim youths in Tanzania.
Anyway wacha tuone how the situation will be handled differently.
Hawa watu walianza amboni tanga wakafeli, wakaenda kibiti pwan wakafeli, wakakimbilia huko Mozambique.. na ndiko waliko fanya haya mauaj sio hapa

Hatukatai n wakatili but ni ngumu sana wao kufanya hayo mambo hapa, ngumu sana
 
Kama Kenya wana kiingereza kibovu sijui cha Tanzania kitaitwaje. Wale wananchi wameuliwa pale mtwara na magaidi ?Au kuna mtwara ya Mozambique na tzedi?

Unaona sasa jinsi msivyojua kiingereza.
Haya nioneshe kwenye article wspi wamesema watu wameuawa Tanzania.

The killings took place at Quionga, a farming and fishing village in the Coastal Palma prefecture of Mozambique along River Ruvuma and just 13 kilometers to Tanzania’s frontier, on Wednesday 26th June 2019. The militants burnt down houses and looted shops. Intelligence reports warn that there is a major cell across the Ruvuma River and that the attackers were planning to cross the channel and join them, an indicator the group wants to deploy cells beyond the Cabo Delgado prefecture. If the cells successfully join the Tanzanian based cells, the threat in the region will multiply.
 
Siku ya kwanza kuchungulia jukwaa la siasa ili kuthibitisha haya. Nimeona Uzi umefunguliwa huko ,kuna magaidi wameua watzedi huko mtwara.
Pumzikeni kwa amani
 
Huwezi linganisha vyombo vya ulinzi vya Tanzania na nchi nyingine yoyote ile hapa Africa, watanzania watauliwa wakiwa nje ya Tanzania, sio ndani ya nchi yetu, magaidi wanatujua vizuri sana, ndio sababu hawawezi kutujaribu
Naona albino huaga wanawindwa congo!!sasawa...

Ccm hoyeeee...
 
Siku ya kwanza kuchungulia jukwaa la siasa ili kuthibitisha haya. Nimeona Uzi umefunguliwa huko ,kuna magaidi wameua watzedi huko mtwara.
Pumzikeni kwa amani

Ukishindwa kuelewa, nikutafsirie

The killings took place at Quionga, a farming and fishing village in the Coastal Palma prefecture of Mozambique along River Ruvuma and just 13 kilometers to Tanzania’s frontier, on Wednesday 26th June 2019. The militants burnt down houses and looted shops. Intelligence reports warn that there is a major cell across the Ruvuma River and that the attackers were planning to cross the channel and join them, an indicator the group wants to deploy cells beyond the Cabo Delgado prefecture. If the cells successfully join the Tanzanian based cells, the threat in the region will multiply.
 
Hawa watu walianza amboni tanga wakafeli, wakaenda kibiti pwan wakafeli, wakakimbilia huko Mozambique.. na ndiko waliko fanya haya mauaj sio hapa

Hatukatai n wakatili but ni ngumu sana wao kufanya hayo mambo hapa, ngumu sana

Hivi tunaomba idhini tu kwa bwana Nyusi ili tuvuke kuwashughulikia.
 
Shida kuanzia muandishi wa article mpaka kwa wasomaji. Muandishi kaandika

ISIS Terrorists in Mozambique Behead and Kill 11 Tanzanian Civilians

it should be

ISIS Terrorists Behead 11 Tanzanians in Mozambique.

aliyeandika article hii, lazima atakuwa ni mkenya. Maana ndiyo wenye kiingereza kibovu.
Bwahahaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...wacha ma feelings bana...tangu lini tanzania ikawa na wanahabari shupavu
 
Naona albini huaga wanawindwa congo!!sasawa...

Ccm hoyeeee...
Uhuru na Rutto wamefadhili sana terrorists na kuwauwa wapinzani wao huku wakisingizia ni terrorists attacks. Sasa wamekorofishana naona terrorists wametumwa kwenda kumuua Rutto.
 
Bwahahaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...wacha ma feelings bana...tangu lini tanzania ikawa na wanahabari shupavu

Teh teh
You must be suffering from psychological bias known as stereotyping and generalizing.
Vitu vinabadirika kwa kasi bro.
 
Uhuru na Rutto wamefadhili sana terrorists na kuwauwa wapinzani wao huku wakisingizia ni terrorists attacks. Sasa wamekorofishana naona terrorists wametumwa kwenda kumuua Rutto.
Kw faida gani haswa
 
Kdf kwena Somalia na kufail miserably, is a making of jubilee ama?
Uachege ujinga siku nyingine.
Mi hta sijakuelewa unaongea nn...
Lkn nata mwenzio anijibu swali langu..manake kila kitu kwenu ni juhudi ya ccm...kenya ya 80s(nyayo era)
 
Kakojoe ulale. Maana kumbe tunaongea na a boy who want to go to bed.
Bye.
 
sasa nishapiga vitu vyangu. niko level. sasaaaa. hawa niaje ndio wameingia Tanzania au? kumbuka everyone has a weakness. sasa hawa dawa ipo. we uliandika huu uzi. utapata majibu. si mazombie? tutawapa mimba.
 
kuna video moja nimeifuta kitambo. hawa wendawazimu walishasemaga hawana tatizo na Tanzania. kuna ingine wakasema wataanzia zanzibar. sijui makorokocho gani. ila subirini muone. we know how to break hawa wendawazimu. kumbukeni tanzania hakuna ukabila wala matabaka. watu wanaongea na hakuna siri. yaani watanzania tutashirikiana na tutawafanya mbaya hawa mazombie. hawatoamini
 
Mkuu..we kalale tu..manake unajipigisha kelele bure hapa
 
Back
Top Bottom