ISIS Terrorists Behead and Kill 11 Tanzanians.

ISIS Terrorists Behead and Kill 11 Tanzanians.

Prove to me that your intelligence is high because I don't deal with empty words.
keep on dreaming my friend. the level of intelligence in Tanzania is way too high my friend. just wait and see.
 
Msijisahaulishe kwamba hawa jamaa walianzia Kibiti hapa Tanzania, tulipowashinda ndio wamekimbilia Msumbiji, hata hiki kitendo cha kuwauwa watanzania ndani ya Msumbiji ni kama kulipiza kisasa kwa kipigo walichopata wakiwa Kibiti. Kiusalama vyombo vyetu vipo vizuri sana, lazima mkubaliane na huo ukweli.
HIVIII!!! pale kibiti hamkufanikiwa kuwaua/kamata hata mmoja?
 
Prove to me that your intelligence is high because I don't deal with empty words.
why waste my time proving to you our intelligence? just stay with your ignorance. unless otherwise you want to learn more. as you can see those attacks happened in mozambique. we dont have juridiction there. but now we are working on solving the problem. if those attacks are to haooen in the mainland we have a way of dealing with those bastards. they have tried several times in vain. so just chillax.
 
HIVIII!!! pale kibiti hamkufanikiwa kuwaua/kamata hata mmoja?
si ulisikia kibiti walivyotulizwa. kwanini washenzi uwakamate? washenzi ni kuwakata moto tuu. na huku sio kama kenya mnatangaza. huku huwa wanatulizwa kimya kimya.
 
Can I bring the list of countries with best security in Africa unionyeshe Tz hata kama iko top 10?
why waste my time proving to you our intelligence? just stay with your ignorance. unless otherwise you want to learn more. as you can see those attacks happened in mozambique. we dont have juridiction there. but now we are working on solving the problem. if those attacks are to haooen in the mainland we have a way of dealing with those bastards. they have tried several times in vain. so just chillax.
 
si ulisikia kibiti walivyotulizwa. kwanini washenzi uwakamate? washenzi ni kuwakata moto tuu. na huku sio kama kenya mnatangaza. huku huwa wanatulizwa kimya kimya.
mnatuliza kimyakimyaaa!! afu wanaibuka upyaaa wanakula vichwa 11😡😎😎
 
Naona Leo wakenya nao mmefurahi kusikia watz wameuliwa sisi tukifurahi mnatuita magaidi ngoja al- shababi wawa wawa jambishe tena huko Kenya tuone polisi wenu wanavyo zikimbia siraha zao kuokoa maisha yao hadi magwanda wanayavua wanakimbia na boksa ili wasitambulike
Those are your words boss, sisi tunaomba msiipate hio laana
 
Nakuhakikishia TZ hamna kitu, mapolisi yamekalia kuimba nyimbo za CCM, Ngoja waje ili tutest mitambo maana the only intelligency in relation to peace and security our police get is when CHADEMA is about to have a gathering
Usijipige kifua sana boss, if it occured that terrorists were to target dar, im not sure you will be very successful as you complain, kumbuka hao mazombie wamekuja kufa as well
 
I’ve been reading this thread na inasikitisha to see with what has happened somepeople have personalized it into Kenya vs TZ or kiingereza kibovu, and mambo mengine ya mzaha. Jamani kama ni kweli ni ugaidi basi lisiwe jambo la kubezana. Ugaidi is real. Na kama they are driven with some kind of ideology ama long term grievances, basi wataumiza watu and destabilize the country, and it may go beyond Mtwara. Na wote ni waathirika whether it happens within our borders or not. Lazima tuwe vigilant and work together to strengthen ourselves badala ya kunyosheana vidole.
 
Nakuhakikishia TZ hamna kitu, mapolisi yamekalia kuimba nyimbo za CCM, Ngoja waje ili tutest mitambo maana the only intelligency in relation to peace and security our police get is when CHADEMA is about to have a gathering
kumekucha
 
i like your thinkin,kuna wanaccm hapa wanajigamba ,Americans themselves wametolewa jasho na hawa mazombie, sasa what about tanzania,another bigger threat is that half of the population are muslims the other half christians, nikweli hamna ukabila, but usisahau dini pia watu hutofautiana
 
joto la jiwe niiona ripoti Hii kitambo Sana na nikangoja upost vile ulipost ya Garissa kwa mihemko, lakini wapi ulinyamaza Kama maji ya mtungi. Huu ni mwanzo tu. kumbuka Southern Tz ni masikini Sana na imetelekezwa for long Kama vile Northern Kenya ilikuwa miaka ya hapo awali na ni rahisi Sana vijana wa huko kuwa radicalized kuipiga Serikali ambayo imewanyanyasa kwa muda mrefu.

Joto la jiwe shida yako kubwa ni kuwa huna uwezo wa kuona future, umeingia na Chuki dhidi ya waKenya ukaisahau Nchi yako, CCM imekuingia Hadi kwa mifupa Hadi huwezi kuona upungufu wa Serikali dhaifu infact judging by the comments of other Tanzanians in The Jukwaa la Siasa ni evident you are amongst the few "elite" ambao hawaoni Nchi yenu heading in the wrong direction.
 
Prove to me using relevant sources that your security is better in Africa. Tanzania will forever remain good and steady in words but when it comes to actual business they are as weak as glass.
Kitendo cha Tanzania kubaki kuwa na amani ya hali ya juu katikati ya msitu WA fujo na ukosefu wa usalama ni dalili tosha kwamba vyombo vyetu ni imara.

Kenya nchi moja tu ya Somalia kati ya nchi zinazowazunguka, ilipoingia katika machafuko, mumeshindwa kuidhibiti hiyo hali, matokeo yake mkajiingia kwa kushindwa kuwa na intelligence nzuri katika vyombo vyenu kujua kwamba kwa kwenda Somalia hali ya amani ingezidi kuchafuka hapo Kenya.

Mara nyingi sana kumejitokeza vitendo vya kigaidi hapa Tanzania, kuanzia katika mapango ya Ambani, Kibiti, Mwanza na kule Arusha, lakini POLISI na JWTZ haraka Sana wameweza kudhibiti hiyo hali kwa ufanisi mkubwa sana, kabla havijawa " out of control".

Mfano mzuri no jinsi walivyodhibiti ujambazi hapa nchini. Kuanzia miaka ya 1998, baadhi ya majambazi toka Kenya walijaribu kuja Tanzania kufanya ujambazi, nadhani kilichowakuta bado tunakumbuka, au watu waliokuwa wanajishughulisha kuwauwa albinos, kilichowakuta tunafahamu vizuri, siku hizi ni historia kuhusu mauaji ya albino.
 
The guy thinks terrorists are foreigners, he thinks nyumba kumi will solve their problems, ngoja apate ni cousin yake ndio anajilipua
 
Kitendo cha Tanzania kubaki kuwa na amani ya hali ya juu katikati ya msitu WA fujo na ukosefu wa usalama ni dalili tosha kwamba vyombo vyetu ni imara.

Kenya nchi moja tu ya Somalia kati ya nchi zinazowazunguka, ilipoingia katika machafuko, mumeshindwa kuidhibiti hiyo hali, matokeo yake mkajiingia kwa kushindwa kuwa na intelligence nzuri katika vyombo vyenu kujua kwamba kwa kwenda Somalia hali ya amani ingezidi kuchafuka hapo Kenya.

Mara nyingi sana kumejitokeza vitendo vya kigaidi hapa Tanzania, kuanzia katika mapango ya Ambani, Kibiti, Mwanza na kule Arusha, lakini POLISI na JWTZ haraka Sana wameweza kudhibiti hiyo hali kwa ufanisi mkubwa sana, kabla havijawa " out of control".

Mfano mzuri no jinsi walivyodhibiti ujambazi hapa nchini. Kuanzia miaka ya 1998, baadhi ya majambazi toka Kenya walijaribu kuja Tanzania kufanya ujambazi, nadhani kilichowakuta bado tunakumbuka, au watu waliokuwa wanajishughulisha kuwauwa albinos, kilichowakuta tunafahamu vizuri, siku hizi ni historia kuhusu mauaji ya albino.
Those are your words you lazy witch. I have asked to prove it for me using a credible evidence.
 
kuna video moja niliiona sema nimeipoteza. nikiioata nitarisha hapa. jinsi police kenya wanavyokimbia kwa uoga. nilicheka sana
 
Back
Top Bottom