Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Yaani nineona uoga mlio nao waziwazi [emoji3]
Kwann AU wasitume jeshi liwasafishe hao ISIS?Habari ya hivi punde kutoka kituo cha televisheni cha France24, Mungu ibariki Msumbiji, Mungu ibariki Afrika!
View attachment 1736060
Wajinga kama nyie vichwa vikubwa akili za kufikiria sifuri. Ukiona mtu kavaa kanzu kafuga ndevu usha connect dot kuwa ni uislamu ndio unaua watu.Bikira 72 zinatafutwa kwa kasi sana
TAKIBIIIR....!
Ile gesi Ile imeleta tafrani😁Ukisikia vita ya kiuchumi ndio hiyo sasa sio huku ukisema fulani kafa unaambiwa unaleta vita vya kiuchumi
Tema mate chiniwaje na bongo
Kumradhi.. ndg hebu andika upendavo bila kujumlisha au kujumisha Taifa au kabila lote....Hii miarabu inakera, Si jeshi la Msumbiji liende liwanyongelee mbali na vibaraka wao wa kiswahili. Wanataka kueneza ukafiri Msumbiji baada ya kushindwa Afrika Magharibi na Syria
Hahahaha kuna uzi wa kwanza kuhusu hii issue nilieleza vizuri lakini yaafa uelewa hakuna AU,UN wala serikali yetu haiwezi ingiliaKwann AU wasitume jeshi liwasafishe hao ISIS?
Mdanganye asiejua wala kuonaWajinga kama nyie vichwa vikubwa akili za kufikiria sifuri. Ukiona mtu kavaa kanzu kafuga ndevu usha connect dot kuwa ni uislamu ndio unaua watu.
Tena hao wanaoua wanaujua vizuri uislam na Qur'an kuliko wewe uliesoma madrasa kule mlamleni nyatanga A kwa ostadhi mbilisi.Wajinga kama nyie vichwa vikubwa akili za kufikiria sifuri. Ukiona mtu kavaa kanzu kafuga ndevu usha connect dot kuwa ni uislamu ndio unaua watu.
Unachoongea unakijua au weekend ndo imekolea...Hapakuwa na mabasha wa kuwafi... mbali? Hii siyo Bongo niijuayo. Basi nitakuja na vijana wangu kungoja waje tuwatie mimba mchana
Ni kitaya sio Kataya Mkuu [emoji38]Na walifika mpaka Kataya Tanzania.
Duuuuh!!Hahahaha kuna uzi wa kwanza kuhusu hii issue nilieleza vizuri lakini yaafa uelewa hakuna AU,UN wala serikali yetu haiwezi ingilia
Kuna unusual pattern ambayo ukiamua kuwa mfutiliaji utaelewa kinachoendelea ao isis ni cover tu makampuni yachote ges maisha yaendelee
Elewa tu kwamba watu wanakwepa kodi na usimamizi ili ges ibebwe free bila bugudha siku ukiona jeshi letu uko ujue ni kulinda hiyo migodi na hela inalipwa kabla ya operation kuanza
I mean what I am saying and I am saying what I mean. I am even ready to screw those fags shall I come across them. Naongea kikoloni kuonyesha msisitizo mwanangu kama watoto wa mjini wasemavyo japo mie mtu wa kijijini.Unachoongea unakijua au weekend ndo imekolea...