othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Safar hii putin kayakanyaga, kidonda cha ukraine hakijapoa, wanamletea sebene jingine syria, mpaka ateme bungo.
Beberu linahesabu kali sn.
Beberu linahesabu kali sn.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Russia iko wapi soon utaone Su-35 zikimwaga watu.Assad aondoke, ndie anayefuga mashia hapo Syria.
Assad sio msuni ni Allawite ni dehebu ndani ya ShiaMbona Asad mwenyewe ni Sunni.
Majenerali wa USA walushasena kuwa russia haijatumia hata robo ya nguvu zake za kijeshi huko ukraineSafar hii putin kayakanyaga, kidonda cha ukraine hakijapoa, wanamletea sebene jingine syria, mpaka ateme bungo.
Beberu linahesabu kali sn.
Wapalestina ndio huanzisha vita , wanaonewa kvpWazayuni wameamua vita mashariki ya kati walitegemea kuwaonea wapalestina kila siku wakae kimya sasa watu kuanza kuwatetea wao hawataki sasa hizi zile nchi zote wanafiki watajulikana hapo middle east
Kumhadaa km Ghafaf na SadamMajenerali wa USA walushasena kuwa russia haijatumia hata robo ya nguvu zake za kijeshi huko ukraine
Satire tu hizoMajenerali wa USA walushasena kuwa russia haijatumia hata robo ya nguvu zake za kijeshi huko ukraine
Nani kakudanganya.Mbona Asad mwenyewe ni Sunni.
Russia huyu ambaye kila mara anatishia watu na nyuklia ana nguvu gani hiyo aliyobaki nayo.Majenerali wa USA walushasena kuwa russia haijatumia hata robo ya nguvu zake za kijeshi huko ukraine
Umetisha. Almanusra nipaliwe na mate.Labda wakamtoe yule Assad aliekuwa CAG