Baba Ndubwi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 1,223
- 1,992
Wakuu swalamaa......
Nina mpango wa kuanza kutengeneza content (yaani kuwa content creator)mwishoni mwa mwaka huu 2025, yaani baada ya uchaguzi mkuu wa Tanzania.
Je;ni SIMU aina gani itanifaa(kupiga picha,sauti na video) katika ubora wa hali ya juu.
Kuhusu bajeti sio tatizo,maana nadunduliza muda ukifika nitakuwa nishajipata.
🙏