Baba Ndubwi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 1,223
- 1,992
Samsung S25 and smartphone boom mic.Wakuu swalamaa......
Nina mpango wa kuanza kutengeneza content (yaani kuwa content creator)mwishoni mwa mwaka huu 2025, yaani baada ya uchaguzi mkuu wa Tanzania.
Je;ni SIMU aina gani itanifaa(kupiga picha,sauti na video) katika ubora wa hali ya juu.
Kuhusu bajeti sio tatizo,maana nadunduliza muda ukifika nitakuwa nishajipata.
π
Dogo kitu hicho hapo Osmo gopro 700 USD Alibaba ama Temu.Wakuu swalamaa......
Nina mpango wa kuanza kutengeneza content (yaani kuwa content creator)mwishoni mwa mwaka huu 2025, yaani baada ya uchaguzi mkuu wa Tanzania.
Je;ni SIMU aina gani itanifaa(kupiga picha,sauti na video) katika ubora wa hali ya juu.
Kuhusu bajeti sio tatizo,maana nadunduliza muda ukifika nitakuwa nishajipata.
π
Mimi mwenyewe nataka nifanye kama jamaa ila content Moja nataka nitoe kwako tufanye mahojiano jinsi gani ulivyoanza kuvutia bange na experience yako kuhusu bange.Dogo kitu hicho hapo Osmo gopro 700 USD Alibaba ama Temu.
Utakuja kunishukuru.
View attachment 3266798
N de A
UumbwaaaMimi mwenyewe nataka nifanye kama jamaa ila content Moja nataka nitoe kwako tufanye mahojiano jinsi gani ulivyoanza kuvutia bange na experience yako kuhusu bange.
Stori yako itanipatia mipesa mingi nitaweka premium tunaaanza na safari yako kutoka porini huko , stori yako ya kutaka kujiua ,visa vya kujamba nk .Uumbwaaa
N de A
Nashukuru mkuu...Nunua camera,mics, simu sidhani kama ni shida ila Kama ndo huna uwezo wa kunua camera nunua izi simu zinazotoka toleo jipya π
Duh hii kitu sijawahi iona hii.Dogo kitu hicho hapo Osmo gopro 700 USD Alibaba ama Temu.
Utakuja kunishukuru.
View attachment 3266798
N de A
Shukrani boss....hii bei Kwa sasa hapa kwetu Tz inasimamia ngapi?Samsung S25 and smartphone boom mic.
ππππ€£Duh kumekuchaaMimi mwenyewe nataka nifanye kama jamaa ila content Moja nataka nitoe kwako tufanye mahojiano jinsi gani ulivyoanza kuvutia bange na experience yako kuhusu bange.