YEHODAYA JF-Expert Member Joined Aug 9, 2015 Posts 36,902 Reaction score 52,001 Jan 24, 2021 #21 Kibosho1 said: Ilikuepo tu sema kugundua sasa,kwani hata Materuni haikuepo miaka ya 1700?? Shida kujua kama hii kitu ni fursa Click to expand... Nendeni marangu pale karibu na chuo cha ualimu kuna maporomoko kuna mti anayaendesha utalii anapiga pesa hasa
Kibosho1 said: Ilikuepo tu sema kugundua sasa,kwani hata Materuni haikuepo miaka ya 1700?? Shida kujua kama hii kitu ni fursa Click to expand... Nendeni marangu pale karibu na chuo cha ualimu kuna maporomoko kuna mti anayaendesha utalii anapiga pesa hasa
Nyengo3 JF-Expert Member Joined Jan 17, 2020 Posts 523 Reaction score 1,307 Jan 24, 2021 #22 Prof Mkenda alipokuwa katibu mkuu wa wizara, Alitakiwa kuliona hilo kwa haraka. Ila kwa mazingira ya siasa ya sasa hivi macho yote yamelenga kitovu.
Prof Mkenda alipokuwa katibu mkuu wa wizara, Alitakiwa kuliona hilo kwa haraka. Ila kwa mazingira ya siasa ya sasa hivi macho yote yamelenga kitovu.
Kibosho1 JF-Expert Member Joined Dec 12, 2017 Posts 2,621 Reaction score 4,293 Jan 24, 2021 Thread starter #23 Nyengo3 said: Prof Mkenda alipokuwa katibu mkuu wa wizara, Alitakiwa kuliona hilo kwa haraka. Ila kwa mazingira ya siasa ya sasa hivi macho yote yamelenga kitovu. Click to expand... Kabisa, itakuwa ngumu sana kujulikana na kuendelezwa
Nyengo3 said: Prof Mkenda alipokuwa katibu mkuu wa wizara, Alitakiwa kuliona hilo kwa haraka. Ila kwa mazingira ya siasa ya sasa hivi macho yote yamelenga kitovu. Click to expand... Kabisa, itakuwa ngumu sana kujulikana na kuendelezwa
Malikale Member Joined Jul 5, 2020 Posts 5 Reaction score 1 Jun 12, 2022 #24 Kibosho1 said: inahitaji maboresho mbalimbali ili watalii watapofika waweze Click to expand... Maporomoko haya yanaurefu wa mita ngapi mkuu? maana si kila maporomoko yanaweza kuwa kivutio. Kasi, wingi wa maji na urefu ndivyo huzingatiwa zaidi. Attachments IMG_20220611_114549_933.jpg 530.1 KB · Views: 6
Kibosho1 said: inahitaji maboresho mbalimbali ili watalii watapofika waweze Click to expand... Maporomoko haya yanaurefu wa mita ngapi mkuu? maana si kila maporomoko yanaweza kuwa kivutio. Kasi, wingi wa maji na urefu ndivyo huzingatiwa zaidi.