Isiye waterfalls: Sehemu mpya ya kitalii Moshi

Isiye waterfalls: Sehemu mpya ya kitalii Moshi

Ilikuepo tu sema kugundua sasa,kwani hata Materuni haikuepo miaka ya 1700?? Shida kujua kama hii kitu ni fursa
Nendeni marangu
pale karibu na chuo cha ualimu kuna maporomoko kuna mti anayaendesha utalii anapiga pesa hasa
 
Prof Mkenda alipokuwa katibu mkuu wa wizara, Alitakiwa kuliona hilo kwa haraka. Ila kwa mazingira ya siasa ya sasa hivi macho yote yamelenga kitovu.
 
Prof Mkenda alipokuwa katibu mkuu wa wizara, Alitakiwa kuliona hilo kwa haraka. Ila kwa mazingira ya siasa ya sasa hivi macho yote yamelenga kitovu.
Kabisa, itakuwa ngumu sana kujulikana na kuendelezwa
 
inahitaji maboresho mbalimbali ili watalii watapofika waweze
Maporomoko haya yanaurefu wa mita ngapi mkuu? maana si kila maporomoko yanaweza kuwa kivutio. Kasi, wingi wa maji na urefu ndivyo huzingatiwa zaidi.
 
Attachments

  • IMG_20220611_114549_933.jpg
    IMG_20220611_114549_933.jpg
    530.1 KB · Views: 6
Back
Top Bottom