Teh teh teh! Siku ukijaliwa kwenda kuwasabahi nyumbani Tarime, pita Butiama kwa Bi mkubwa Mama Maria Nyerere atakupa ushahidi.Sheikh Chamviga, umejitahidi.
Sasa Sheikh, tafadhali lete ushahidi kuwa (i) mzee Mohammed alishammnunulia Julius Nyerere mboga kwa tarajio lolote (ii) Julius Nyerere alishapata malazi nyumbani kwa mzee MS.
Lengo ni kuangalia kama Julius alimvunjia MS ahadi.
Maulana gombesugu.Ayatollah Chamviga,
Alayka Salaam,Al Habib Maulana.
Wallahi,kila nikusomapo bayana zako naburudika mno pasi kiasi na najifunza mangi mno toka kwako...Shukran Sheikh wangu.
Hiyo bayana yako ni njema mno na yoote ulonena nakubaliana nawe...maana nilishawahi kuyasikia takriban yoote toka kwa Wazee Wetu.
Huyo Sheikh Nurdin Hussein Al Sha'dhily,family yetu na yake ni watu wa karibu mno tangia kitambo. Pia alikua ni mtu wa karibu mno wa Marehemu Babu yangu upande wa kuumeni.
Nawajua wanae wengi mno ambao ni marafiki zangu;basi itakuwa unawafahamu pia kina Ummy,Ma'ruuf,Hussein,na yule Prof. wa Literature na wengineo wengi mno...nilikua Amerika miezi michache ilopita na nilikutana na yule Ma'ruuf.
Ile Qadiriya ya Al Shadhiliya pale kona ya Twiga na Sikukuu,napajua uzuri mno...na Imam wa ile Masjid alikua ni Sheikh Hashim Haji Abdallah,ambaye nae pia alipitiwa na ule "msukosuko wa Baba wa Taifa"!
Yule mke wake wa mwisho/mdogo wa Sheikh Nur'din, ni shogake mkubwa mno wa Bi Mkubwa wangu.
Pia majuzi nilichungulia mojawapo ya post/s zako hapa,nikaona umetaja kule Mgombezi!?
Lile shamba alifanziwa mpango kulipata na Alhaj Issa Mtambo Gonera kulipata,na akenda kimbilia kule kujistiri baada ya ile misukosuko ya Nyerere.
Lakini kumbuka yakuwa;hapo pana network kubwa mno na ya kiundani/extremely secretive,baina ya huyo Nyerere,Oscar Kambona,Alhaj Issa Mtambo,Alhaj Kitwana Kondo,Alhaj Ali Hassan Mwinyi,Ali Mwinyi Tambwe,Alhaj Umar Muhaj,Mapinduzi ya Zanzibar,kukamatwa kwa Masheikh wetu/Wazee Wetu na mangineyo mangi pita kiasi!?
Wakti ule msafara wa kwenda kumuona Gamal Abdil Nasser,ukiongozwa na Mufti Sheikh Hssan Bin Amir,ili kutembelea/kuzuru nchi kadhaa kuomba misaada,ushauri/utaalamu kwa ajili ya kuendeleza Ilm ya Waislam hapo East Afrika...yaani tayari Nyerere alishapanga maangamizi na kuweka Moles/informers wake takriban kwenye Embassies zetu kwenye nchi zile zoote ambazo ule msafara ungalipitia!? Kwi! Kwi! Kwi!
Wallahi,Nyerere alikua maluuni wa kutupwa...yaani alikua bingwa na alipewa kipaji cha kuwavuruga Waislam maskini! Kwi! Kwi! Kwi!
Hatuna haja/lazim ya kuweka hapa kila kitu,itakua si vyema...na natumai utanifahamu ndugu yangu.
Huko Lushoto,nakupenda mno...tuliwahi kuishi kwa miezi michache mno wakti fulani nikiwa mduchu na Mzee wangu alikuwa huko kishughuli....na nilikua sijui yakuwa Shariff Hussein bado yupo pale maskini.
Mimi ni mwenyeji kiasi changu mno pale Soni na miji/vijiji vingine vizungukavyo hiyo Lushoto,lakini Lushoto yenyewe, wenyeji wangu takriban woote wanaishi D'salaam.
Insha Allah,tutakutana penye majaaliwa na nitazidi kuelimika kwa Darsa zako.
Nafikri pia utakua unaifahamu hii njia ya kutoka Korogwe mpaka Mabokweni!? Kwi! Kwi! Kwi!....haya tuanze...Korogwe,Magoma,Bwiti,Mwele,Daluni,Maramba,Mabokweni!?
Sasa wale Maramba Jkt,mimi ninapakana nao na ninajishughulisha na shughuli za kilimo kiduchu cha Hiliki pale...ile ardhi tulikuwa nayo kitambo lakini ilikua haitumiki.
Ama kwa hakika nazipenda mno hizo sehemu maana ni very fertile na watu wake ni waungwana mno...japo ukifika siku ya mwanzo lazim wakukaribishe na "Zongo"!? Kwi! Kwi! Kwi!
Ahsanta.
Ayatollah Chamviga,
Alayka Salaam,Al Habib Maulana.
Wallahi,kila nikusomapo bayana zako naburudika mno pasi kiasi na najifunza mangi mno toka kwako...Shukran Sheikh wangu.
Hiyo bayana yako ni njema mno na yoote ulonena nakubaliana nawe...maana nilishawahi kuyasikia takriban yoote toka kwa Wazee Wetu.
Huyo Sheikh Nurdin Hussein Al Sha'dhily,family yetu na yake ni watu wa karibu mno tangia kitambo. Pia alikua ni mtu wa karibu mno wa Marehemu Babu yangu upande wa kuumeni.
Nawajua wanae wengi mno ambao ni marafiki zangu;basi itakuwa unawafahamu pia kina Ummy,Ma'ruuf,Hussein,na yule Prof. wa Literature na wengineo wengi mno...nilikua Amerika miezi michache ilopita na nilikutana na yule Ma'ruuf.
Ile Qadiriya ya Al Shadhiliya pale kona ya Twiga na Sikukuu,napajua uzuri mno...na Imam wa ile Masjid alikua ni Sheikh Hashim Haji Abdallah,ambaye nae pia alipitiwa na ule "msukosuko wa Baba wa Taifa"!
Yule mke wake wa mwisho/mdogo wa Sheikh Nur'din, ni shogake mkubwa mno wa Bi Mkubwa wangu.
Pia majuzi nilichungulia mojawapo ya post/s zako hapa,nikaona umetaja kule Mgombezi!?
Lile shamba alifanziwa mpango kulipata na Alhaj Issa Mtambo Gonera kulipata,na akenda kimbilia kule kujistiri baada ya ile misukosuko ya Nyerere.
Lakini kumbuka yakuwa;hapo pana network kubwa mno na ya kiundani/extremely secretive,baina ya huyo Nyerere,Oscar Kambona,Alhaj Issa Mtambo,Alhaj Kitwana Kondo,Alhaj Ali Hassan Mwinyi,Ali Mwinyi Tambwe,Alhaj Umar Muhaj,Mapinduzi ya Zanzibar,kukamatwa kwa Masheikh wetu/Wazee Wetu na mangineyo mangi pita kiasi!?
Wakti ule msafara wa kwenda kumuona Gamal Abdil Nasser,ukiongozwa na Mufti Sheikh Hssan Bin Amir,ili kutembelea/kuzuru nchi kadhaa kuomba misaada,ushauri/utaalamu kwa ajili ya kuendeleza Ilm ya Waislam hapo East Afrika...yaani tayari Nyerere alishapanga maangamizi na kuweka Moles/informers wake takriban kwenye Embassies zetu kwenye nchi zile zoote ambazo ule msafara ungalipitia!? Kwi! Kwi! Kwi!
Wallahi,Nyerere alikua maluuni wa kutupwa...yaani alikua bingwa na alipewa kipaji cha kuwavuruga Waislam maskini! Kwi! Kwi! Kwi!
Hatuna haja/lazim ya kuweka hapa kila kitu,itakua si vyema...na natumai utanifahamu ndugu yangu.
Huko Lushoto,nakupenda mno...tuliwahi kuishi kwa miezi michache mno wakti fulani nikiwa mduchu na Mzee wangu alikuwa huko kishughuli....na nilikua sijui yakuwa Shariff Hussein bado yupo pale maskini.
Mimi ni mwenyeji kiasi changu mno pale Soni na miji/vijiji vingine vizungukavyo hiyo Lushoto,lakini Lushoto yenyewe, wenyeji wangu takriban woote wanaishi D'salaam.
Insha Allah,tutakutana penye majaaliwa na nitazidi kuelimika kwa Darsa zako.
Nafikri pia utakua unaifahamu hii njia ya kutoka Korogwe mpaka Mabokweni!? Kwi! Kwi! Kwi!....haya tuanze...Korogwe,Magoma,Bwiti,Mwele,Daluni,Maramba,Mabokweni!?
Sasa wale Maramba Jkt,mimi ninapakana nao na ninajishughulisha na shughuli za kilimo kiduchu cha Hiliki pale...ile ardhi tulikuwa nayo kitambo lakini ilikua haitumiki.
Ama kwa hakika nazipenda mno hizo sehemu maana ni very fertile na watu wake ni waungwana mno...japo ukifika siku ya mwanzo lazim wakukaribishe na "Zongo"!? Kwi! Kwi! Kwi!
Ahsanta.
sheikh chamviga, umejitahidi.
Sasa sheikh, tafadhali lete ushahidi kuwa (i) mzee mohammed alishammnunulia julius nyerere mboga kwa tarajio lolote (ii) julius nyerere alishapata malazi nyumbani kwa mzee ms.
Lengo ni kuangalia kama julius alimvunjia ms ahadi.
chamviga,
mwangalie sheikh nurdin hussein hapo chini.
Hii ilikuwa 1955:
anced
[table="width: 660"]
[tr]
[td]''the transition from taa to tanu at the headquarters was smooth.
There were no problems of personality clashes at the headquarters apart from a small faction of radical muslims who were plotting to oust nyerere from party leadership for being a christian.
This was the second time the issue of religion had cropped up since nyerere assumed leadership of the movement for the first time in 1953.
A meeting was called to clarify the status of christianity in tanu and to establish a nationalist-secularist ideology as a way of preserving national unity.
This meeting was held in a house in pemba street and its resolution was supported by sheikh hassan bin amir, sheikh nurdin hussein from lindi and sheikh abdallah chaurembo of dar es salaam.
This meeting coined the name yuda which was to be the label of any member of tanu who discriminated his fellow african because of his faith. [1]
the name yuda coined by tanu had direct relationship with judas iscariot of the bible, the traitor who betrayed jesus for thirty pieces of silver.
The problems which tanu encountered were mainly from colonial government or those inspired by it using fellow africans as puppets to try to derail the movement.[/td]
[/tr]
[tr]
[td][/td]
[/tr]
[/table]
[1] see article by rajab diwani, 'tanu ilipambana na misukosuko mingi' uhuru 3rd july, 1974.
Sheikh Mohamed Said,
Amin kwa soote Insha Allah.
Sisi soote tupo kwa hishma na taadhima yako,pia twajifunza mno kwa haya maalumat yako.
Kwa niaba ya ndugu zangu soote hapa jamvini na wasomaji wengine,pia kwa niaba ya wale woote wapinzani wako wa jadi/"vigego"...nijaalia ruksa kukupa Shukran zetu za dhati kwako kwa hii Ilm adimu utoayo kwa faida ya Taifa letu changa na khasa kizazi kijacho.
Mola takuzidishia kwa yoote yalo mema,khususan sabra na ghu'sul khatma.
Ahsanta.
Kipata fursa pia tujuze sheikh Mohamed Said;je yule Bwana Idd Bin Khamis,alokua pale kona ya Udoe na Sikukuu,opposite na Sheikh Nurdin Hussein...nae alikua na shughuli zipi ndani ya ile TANU!?
Sheikh Mohamed Said.
Ukipata muda naomba unijuze habari za hawa mabwana Ally Said, Ally Maswanya, pamoja na Kitwana Luga, kuna mmoja alikuwa rafiki wa mzee wangu.
Namkumbuka Marehem Mzee Idd, nna kumbuka pia kuwa ilikuwa haipiti mwezi bila Marehem Brigedia Baruti Ramia kuja kumtembelea pale udoe. Siijuwi role yake kabla ya Uhuru ila nikimfaham.
Mwenyeezi Awarehem kwani wote hao wako mbele za haki sasa hivi.
Hajjat Faizafoxy,
Shukran nyingi kwa kunijuza yayo. Pia tunakusoma mno kwa bayana zako adimu na Ilm utoayo humu Jf.
Mola takulipa kwa yoote na kukuzidishai neema Insha Allah.
Ni kweli huyo BwanaIdd Bin Khamis unamjua uzuri. Alikua pia na mwanae wa kiume,msomi mzuri akiitwa Mzee Bin Idd Khamis,huyu nafikiri alisomea Jordan na Israel kipindi fulani.
Huyo Colonel "Baruti" Ramia,namfaham uzuri mno. Tulikua tukienda kumtembelea na Bwana mkubwa/Mzee wangu mara kadhaa wakti akiwa pale JWTZ/Ngerengere.
Huyo jina lake ni Yahya Bin Ramia...lakini si unakumbuka enzi ile ya Nyerere,kuna Waislam wengi walokua wasomi/Wanataalauma,iliwalazim kubadili majina kutia nakshi za Uafrika ili kuonekana ati ndo "mzalendo" zaidi na pia usionekane unaupenda Uislam au "Uarabu"!? Kwi! Kwi! Kwi!
Huyo Colonel Ramia,nakumbuka mara ya mwisho ndo alokua MP wa Bagamoyo kabla ya Muheshimiwa Al Rais Mrisho Kikwete hajachukua ule ubunge wa pale Bagamoyo.
Huyo Bwana,alipewa jina la great-grandfather wake yaani Sheikh Yahya Mohammed Ramia...mmojawapo wa wanaharakati/wanasiasa wakubwa na vinara mahiri wa siasa wakti huo wa mapambano. Pia ndie aliekua mmojawapo wa wafadhili wakubwa mno wa yule Nyerere binafsi.
Hawa ndo baadhi ya waliokua marafiki wa karibu mno kutoka ile Madrasat Al Hassanain/Islamic Seminary ilokua maarufu mno hapo Mzizima na ilotoa watoto wa mjini wengi waliokua wasomi...kina Mohammed Mwita/Chief Engineer Government Hanger,Prof. mansour Hussein,Dr Muhidin Hussein,Sheikh Yahya Hussein,SSP mwanakondo Aziz Ali then Businesswoman,Musadique Azzan aka Zungu Bussineman former Airman/Helicopter Pilot and Mechanic now Mp for Ilala,Brigadier Ahmed Takadir,Brigadier Simba Wazir,Bakari Himidi General Manager Kilombero Sugar Company na Bukoba Sugar Company,SSP Kitwana Luga Usalama wa Taifa then Bussineman,Colonel Dr.Keis Mtambo aliekua Personal Chief Medical Officer wa Nyerere kwa miaka kadhaa,Dr. Idris Msabaha MP/Principal Secretary Ministry of Foreign Affairs,Mohammed Azzan Bussineman,Abdallah Awadh Bussineman,Salum Hiriz Businessman,Mohammed Riyami Airforce Mechanic na wengineo wengi mno pasi!
Wengi wao maskini wamefariki vijana mno...Inna Lillahi Wa Illahi Ra'juun!
Hawa woote ni nduguze Sheikh Mohamed Said,na anawatambua uzuri mno kuliko mimi!
Hiyo Madrassa ilikua chini ya Uongozi wa Al Marhum Sheikh Hussein Bin Juma wa UTP na twin Brother wake Al Marhum Sheikh Hassan Bin Juma...ambae ndie aliekua Baba yake Mzazi Sheikh Yahya Hussein.
Kwenye mnakasha ulopita niliwahi kumuomba Sheikh Mohamed Said,atuwekee japo kiduchu hizo khabar za Madrassat Al Hassanain...labda safari hii akipata fursa atakumbuka na kutuwekea!?
Kama kuna lolote/chochote hapo nimepotoka,tafadhali usisite kunielekeza Dadangu...maana sisi soote tumo hapa kuelekezana.
Ahsanta.
Cc;Maulana Dr. Kahtaan,Shariff Ritz,Al Habiby Al Tayeb,Ulamaa Boko Haram,Ayatollah Chamviga
Sheikh Mohamed Said.
Ukipata muda naomba unijuze habari za hawa mabwana Ally Said, Ally Maswanya, pamoja na Kitwana Luga, kuna mmoja alikuwa rafiki wa mzee wangu.
Mkuu umejieleza vizuri sana, kinacho nishangaza mimi ni baadhi ya Wazalendo wenzetu kuchukulia kimzaa mzaa mambo ambayo yanaweza kabisa kusambalatisha Taifa letu - Katiba yetu inasema Serikali haina DINI, hapo hapo baadhi ya madhebu yanawekwa kwenye a hermitically sealed container wasifurukute - Serikali inafikia hatua ya ku-appoint viongozi wa dini!!! Ni mtu gani mwenye akili timamu anaweza kukubaliana na udikteita huu uliyo kubuhu - waislaam wakilalamika mnasema ni wabaya!!! Kama Serikali ya awamu ya kwanza iliweza kufanya vitu vya kukihuka haki za binadamu kwa kuingilia unnecessarily uendeshaji wa madhehebu hayo, mpaka Serikali inafikia kuchukua such drastic steps ili iwa-contain kwa nini tushangae anacho lalamikia MS, kusema kweli inaonekana wazi wazi kwamba operation hiyo haikuishia kuwachagulia viongozi wa dini tu, bali ilikwenda mbali zaidi kwa kufuta kutoka kwenye historia majina yanayo randana na dini yao, I have no doubt in my mind kwamba it was a well Organised scheme.Naona hapa baadhi ya Wazalendo wanatoa an impression kwamba MS anatetea Uislaam!! Hii si kweli na hilo wanalijua fika, MS anacho pigania hapa ni kuhusu kuandika historia ya kweli ya Taifa letu bila ya ku-arase majina ya wazalendo ambao Viongozi wetu walikuwa na bifu nao, na ukiangalia kwenye machapisho ya Mkuu MS utakuta ameweka majina ya wapiganaji wa dini zote mpaka ya wapagani, mbona suala zima liko wazi kabisa lakini members hilo hawalisemi. Watu wanazungumza mengi humu ya kupoteza lengo, lakini hakuna hata mmoja amawahi kuhoji ni kwa nini Serikali ya hawamu ya kwanza ilikuwa hell bent kusambaratisha organisations za kidini na za wafanyakazi zilizo play a big role kuwaodoa wakoloni wakishirikiana na chama cha TANU!! Sina shaka kwamba nguvu za makundi hayo yalionekana yatakuwa tishio kwa Serikali ya awamu ya kwanza siku za usoni - hii ndio ilikuwa sababu ya msingi ya Serikali kuanzisha BAKWATA na NUTA ili makundi ya awali yavunjwe nguvu - tuwe wakweli hapa. Naona ma-stalwart na mashabeki wa Serikali ya awamu ya kwanza wanajifanya kulisahau hilo na hawataki kuambiwa ukweli. Tukiwa wawazi tutalinusuru Taifa letu, kama Kambarage aliwahi kukili mwenyewe kwamba kuna baadhi ya vitu walifanya ambavyo vilikuwa havifahi - kwa nini wengi wetu tunakuwa na kigugumizi cha kukemea mambo ambayo haya tufahi, yanonekana wazi wazi yana kila dalili za kuvuruga Taifa letu - God forbid.Narudia kusema kwamba, tunacho sahau ni kwamba si rahisi kunyanyasa na kubeza beza kudi fulani la kidini 4ever, alafu mkategemea nyinyi mtabaki salama miaka yote - hilo amulioni!!! Ubishi bushi tu bila ya kutafakali mambo kiundani - hakuna anayejiuliza ni kitu gani kilifanya kundi la Boko-Haram kuhibuka North Nigeria au unafikiri Tanzania is an Island hawawezi kufanya kweli wakiamua - tunajitia ujuaji tu.JF ni barometer tosha ya kuonyesha mambo si shwali kidini-wise katika Taifa letu, jaribu kuangalia members wanavyo jibizana jibizana with emotions kuhusu mambo ya dini hata sehemu ambazo si mahali pake waitibukiza tu, kwa bahati mbaya sisi Wakristo ndio tunaongoza kubeza beza sana wenzetu, tunawasema mambo chungu mzima, kwani hata wakiswali mara elfu kumi kwa siku sisi inatuhusu nini - they know better wanacho kitaka katika maisha yao, Dini yao na Mungu wao.
Shariff Ritz,
Nakuwekea kitu vipi Said Ally Mswanya alivyoingia katika siasa Tabora na utamuona mwisho
kabisa ya maelezo yangu kama nilivyoeleza katika kitabu changu.
Hii ilikuwa 1955/56:
[TABLE="width: 660"]
[TR]
[TD]German Pacha, TAA secretary in Western Province, was among the Associations delegation which on 29 th October, 1953 went to Government House to see Governor Edward Twining to discuss Government Circular No. 5 banning civil servants from politics.
The following year TAA was transformed into TANU and Pacha was among the founding members.
Pacha began to campaign for TANU soon after his return from the founding conference.
Being a graduate of Kipalapala Pastoral Centre, he had easy access to Parish halls of rural Tabora in which he held some of the early TANU campaign meetings.
This created a conflict between Pacha and TANU Muslim leadership in Tabora. [1]
Missionaries were known to be colonial agents and anti-Islam. The Muslim leadership in Tabora therefore withdrew its support for Pacha and for a period of time TANU in Western Province stalled.
TANU did not, as a result, make inroads into Tabora as was expected.
The zeal which had characterised politics in Tabora from 1945 seemed to have waned with the emergence of the new political party.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]The initiative to inject life into TANU came a year later in 1955 from the Young New Strong Football Club-an old established soccer club which was popular in the township.
Among the members of the club were some of the founding members of the African Association, Fundi Mhindi and Maulid Kivuruga.
The Chairman of the club was Juma Mrisho, a star footballer; Shaaban Mohamed Silabu and Bilali Rehani Waikela were secretary and assistant secretary respectively.
This leadership met in the house of Abeid Kazimoto, employed by the Medical Department, to discuss how to invigorate the Party.
It was now clear that Pacha, being a Christian and belonging to the Lulwa tribe from Mpanda, failed to win the confidence of the proud Manyemas of Tabora.
After all, Manyemas are known for their quarrelsome character.
At that time TANU had to be accepted by Muslims in urban centres before it could spread to other areas.
Manyemas like other urbanised Muslims in town centres were a very strong political force which could not be easily ignored.
What faced Pacha was similar to what Nyerere had faced after defeating Abdulwahid in the 1953 TAA election.
Muslims withdrew their support from the Association for similar reasons.
The club leadership decided to invite Julius Nyerere and Bibi Titi Mohamed to Tabora to discuss the problem.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]In 1955 the two came to Tabora and a meeting was held at the club house.
In attendance were Pacha, Juma Mrisho, Shaaban Mohamed Silabu, Bilali Rehani Waikela, Mohamed Mataka, then Muezzin of Masjid Nur-the mosque frequented by Manyemas, Hassan Mohamed Ikunji, Ramadhani Mussa Wajaku, Swedi Mambosasa, Said Ali Kiruwi and Hamisi Khalfan.
The club leadership told Nyerere and Bibi Titi that the football club was seeking affiliation with TANU in order to start a membership drive.
They were told further that since the club enjoyed support of the people in Tabora and had maximum publicity this could be used to the benefit of the Party.
Nyerere was also informed that the club would like to integrate within TANU the three women only societies, the lelemama and taarab groups-Nujum ul Azhar, Waradatil Hubb and Egyptian Club.
Nyerere and Titi agreed to these suggestions and that night, flanked by the club leadership, Nyerere spoke to the crowd which had gathered outside the clubhouse, on the future Tanganyika.
Nyerere had come back to Tabora, where part of his political carrier had begun eight years before. Conspicuously absent in all these negotiations, in which local alliances were being forged and the struggle for Tanganyika was being planned, were the educated Makerere intellectuals of the St. Marys School.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]A Muganda woman by the name Nyange bint Chande, a member of one of the lelemama groups in Tabora, offered her house as the first TANU office in Western Province.
Elections were held and Shaban Marijani Shaban and Idd Said Ludete were elected TANU District Chairman and Secretary respectively.
Bilali Rehani Waikela became committee member. The first TANU membership cards were sold at the market place by one Amani Idd and Pacha, the Tabora TANU Provincial Secretary, who had a small business there. Amani Idd was later joined in this work by Dharura bint Abdulrahman.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]No sooner had the Party began to gain strength then a conflict erupted between the provincial and district office.
By the end of 1956, TANU branches were opened in all eight districts of Western province with the initiative of the TANU district office in Tabora.
In 1957 the Manyema leadership at the district office complained that the provincial office was dormant and called for elections to elect a new provincial secretary and chairman and oust Pacha from leadership.
At provincial level TANU did not in fact have an office of its own.
Although there was some truth in the allegations levelled against him, Pacha took all these new developments as an excuse and as a deliberate effort to drive him out of power.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mzee Fundi Mhindi, a veteran politician, founder member of the African Association in 1945 and TANU in Western Province in 1955 and now chairman of Tabora TANU Elders Council was sent to TANU headquarters in Dar es Salaam to discuss the problem of provincial elections.
Mzee Fundi Mhindi held discussions with Nyerere and John Rupia.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]TANU headquarters decided to send Peter Mhando (younger brother of Stephen Mhando) to Tabora to make an on-the-spot investigation and file back a report which would form the basis of a lasting solution to problems afflicting TANU in Tabora.
Peter Mhando, who was in his late twenties working with other youths at the district office (Waikela, Ramadhani Abdallah Singo, Abdullah Said Kassongo and others), completed a report and sent it to the headquarters in Dar es Salaam.
This was to be Mhandos last assignment, as he died of diabetes soon after filing that report to Nyerere.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]TANU headquarters reacted to Mhandos report by sending Said Ali Maswanya to Tabora from Shinyanga to become provincial secretary in place of Pacha.
In his report to TANU headquarters Peter Mhando recommended that the next TANU annual conference should be held in Tabora so as to give more strength to the party in Western Province.
This is how Tabora came to host that important meeting.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
***
Nyerere took the opportunity of his presence in Tabora to solve the leadership crisis which had
occupied TANU in Tabora for a long time. Since his return from the TANU founding conference in
Dar es Salaam in July, 1954, Pacha had not called for a meeting to elect office bearers as required
by the constitution.
The provincial office in Tabora was functioning without a chairman and the tenure of the incumbent
secretary Pacha had lapsed four years back.
Nyerere presided over the long overdue provincial elections, and Said Ali Maswanya was elected chairman
and Kassela Bantu defeated Pacha to become Tabora TANU provincial secretary. Before leaving Tabora
Nyerere held a public meeting at the Tabora Central Market to announcethe conference resolutions.
***
It is from these developments that we can now start tracing and analysing how the government finally moved
to subvert Muslim unity through campaigns of intrigue, sabotage, bribery and misinformation against the EAMWS
leadership, which it perceived as a threat to its own political domination over the Muslim majority.
The governmentwas now literally in Christian hands. Apart from Zanzibaris in the union government-A.M. Maalim,
Minister of Commerce and Industry; Aboud Jumbe, Minister of State; A.M. Babu, Minister of Lands, Settlement and
Water development; Hasnu Makame, Minister of Information and Tourism; Nyereres right-hand man, First-Vice
President Rashid Mfaume Kawawa, the only Muslim minister from the Mainland in the fifteen-man cabinet was
Said Ali Maswanya, Minister of Minister of Home Affairs.
How could such a situation have arisen? The answer to this question lies in the past history of Tanzania when the
first missionaries arrived to civilise the black continent.
Shariff Ritz,
Huyo ndiyo Said Ali Maswanya.
Alitokea Shinyanga akenda Tabora na mwisho Dar es Salaam.
Amekufa akiijua vyema historia ya TANU na yote yaliyotokea baada ya uhuru.
[1] Kumbukumbu za Uenezi wa TAA/TANU Western Province. Pachas Papers.
Sheikh Mohamed Said.
Ukipata muda naomba unijuze habari za hawa mabwana Ally Said, Ally Maswanya, pamoja na Kitwana Luga, kuna mmoja alikuwa rafiki wa mzee wangu.
Maulana gombesugu.Shariff Ritz,
Jumma Al Kareem!
Unajua mara kadhaa kuna baadhi ya watu/family huwa unazitaja,ambazo nami pia wanajuana na family yetu...ndipo ninapokhis mimi nawe pia lazim itakua tunafahamiana!? Duh! Kwi! Kwi! Kwi!
Labda Sheikh Mohamed Said kabla hajakupatia jawaba lake,nipa fursa nami nikwambie japo kiduchu.
Huyo Bwana Kitwana Luga ulomuulizia,nakhis ndo huyo huyo ambaye nami alikua pia akijuana mno na Mzee wangu.
Huyo Bwana mimi khabar zake nalizipata kupitia kwa Al Marhum Sheikh Qassim Bin Jumaa.
Kitwana Luga...Baba yake Mzazi ni Al marhum Bwana Abdallah Juma Luga alikua pia ni mfanyibiashara mwenye kujikimu na pia alikua na ardhi kubwa pale Tungi na Kibada/Kigamboni.
Enzi ya Wakoloni huyo Bwana Abdallah Juma Luga,pia alikua ni Akida wa kukusanya mapato/kodi kwenye maeneo yake. Nafikiri Wakoloni walipenda pia kutumia Wazee Wetu mashuhuri kuendeleza zile dhuluma zao!
Huyu Bwana pamoja na hayo,pia alikua ni rafikize wakubwa mno Shariff Abdallah Al Attas,John Rupia tangia utotoni...walipokua wakubwa Bwana Abdallah Juma Luga na Shariff Abdallah Al Attas wao walioa nyumba moja!
Kwa hiyo kwa upande mwingine nasikia yule Kitwana Luga,pia Shariff Abdallah Al Attas alikua ni Uncle yake...yaani amemuolea Mamiye mdogo.
Walikua wakicheza football enzi hizo pale Ferry/Magogoni...lakini tatizo enzi hizo vijana wengi walikua hataki/hawamkubali ati kucheza mpira na John Rupia maskini kutokana alikua mgeni hapo mjini/hawamjui na wengine wakidai sababu ya dini/Ukristo wake!?
Ndipo yule Bwana Abdallah Luga,kwa kuwa alikua pia na umbo kubwa,akaamrisha yakuwa lazim kila mtu amkubali John Rupia kucheza nae na kuanzia siku hiyo awe kama mwenzao/ndugu yao!
Mapenzi/hishma baina ya John Rupia,Shariff Abdallah Al Attas na Abdallah Juma Luga,yaliendelea kushamiri mno mpaka kwenye families zao,khasa watoto wao.
Ndo maana utaona yule Kitwana Luga nae alikua ni rafikize wa karibu mno,kina Paul Rupia na nduguye Mpuya Rupia...maana alicheza nao tangia wadogo.
Bwana Abdallah Juma Luga,alikua pia ni mmojawapo ya Waasisi wa mwanzo ya TAA na pia alikua kipenzi na sahib mkubwa wa karibu wa Bwana Aziz Bin Ali...baba yao kina IGP Hamza Aziz na Bwana Dossa Aziz.
Bakht mbaya huyo Bwana Abdallah Juma Luga alifariki miaka michache kabla ile TANU haijazaliwa...maziko yake inasemekana yalikua makubwa mno wakti/zama hizo na kuhudhuriwa na umma halaiki na takriban Wazee Wetu woote waliokua mashuhuri zama hizo.
Tukirejea kwa mwanae,huyo Kitwana Luga...yasemekana alisomea pale H.H The Agakhan High School aka Tambaza.
Baada ya hapo alipelekwa nje ya nchi kuendelea na masomo yake...yasemekana Egypt,Israel na Jarumani.
Sasa kumbuka pia huyo huyo, Kitwana Abdallah Luga ulomuulizia...Dada yake wa mwanzo kuzaliwa ndie Mamiye Sheikh Yahya Hussein,Dada yake wa mwisho ndo pia alokua Mke wa Alhaj Issa Mtambo Gonera...ambae pia baadae alikuja kuolewa na Alhaj Kitwana Kondo na kuzaa nae mtoto mmoja nafikiri!?
Wakti ule msafara wa Waislam ulioongozwa na Mufti Sheikh Hassan Bin Amir unafika pale Cairo,Balozi alikua Bwana Abdallah Suweid.
Kumbuka Bwana Abdallah Suweid alikua na mwanae akiitwa Dr. Suweid. Huyo Dr. Suweid baade ndie aliewahi kuwa Mume wa Fatma Ali Hassan Mwinyi!?
Kitwana Abdallah Juma Luga,Mola amrahamu...kabla ya kuondoka kwenda masomoni,tayari alikua ni askari wa Usalama wa Taifa.
Ndo maana hata wanafunzi wenzie wengi pale Cairo walishindwa kutambua kwanini alikua very close na watu wengi mno wa mataifa mbalimbali ghafla,na pia mara kadhaa akionekana na watu mashuhuri kutoka Tanganyika waliokuja kutembelea pale...kwa mfano Bwana Abdilwahid Sykes,Abdilrahman Babu na Abbas Sykes,Oscar Kambona na wengineo.
Yale maangamizi ya Nyerere dhidi ya ule msafara wa Mufti Sheikh Hassan Bin Amir na harakati za Waislam,yalikua yakijulikana na watu wachache mno mmojawapo ni Balozi Suweid Abdallah na Kitwana Luga...ambao woote hawakupendezwa asilan na unyama ule wa Nyerere.
Kitwana Luga,ndie mtu wa mwanzo kuwastua na kuwapa khabar Waislam kuhusu ule msafara/harakati yakuwa wawe waangalifu,maana kuna "nguvu za kiza" zinawatazama kwenye hizo nchi zoote watakazopitia.
Zaidi ya hapo Kitwana Abdallah Luga,akatuma telegrams Zanzibar kwa Sheikh Abdallah Saleh Farsy...ambae nae alikua akimjua Kitwana Abdallah Luga kupitia kwa Sheikh Hussein Juma wa UTP.
Pia Kitwana Abdallah Luga,alituma Telegram nyingine kwa Uncle wake Shariff Abdallah Al Attas....ambae nae kutokana na influence na connections zake kwenye harakati za siasa wakti ule, khabar zikawafikia watu fulani muhimu,akiwemo Bwana Ali Sykes,Abdilwahid Sykes na Viongozi,Wazee Wetu/Masheikh zetu wengine waliokua vinara wa zile jumuia za Waislam.
Wakti Kitwana Luga aliporejea Tanganyika pia alifanikiwa kurejea na baadhi ya nyaraka muhimu kutoka pale Embassy Cairo na kuthibitisha kwa Wazee Wetu ile mipango/maangamizi yoote ya Nyerere dhidi yao!
Khabar inasemekana zilianza ku-leak kiduchu...maana Nyerere alikhis yakuwa Wazee Wetu,wanaanza kuwa "wajanja",kila mitego aliokua akiwawekea walikua hawanasi tena!? Kwi! Kwi! Kwi!
Ndipo Nyerere akaamuru Balozi Suweid aondolewe pale Cairo na kumweka Salim Ahmed Salim...na post ile ile ya Cairo pia iliwahi kuchukuliwa na Alhaj Ali Mwinyi.
Kitwana Luga baada ya kurejea Tanzania,alipelekwa post yake ya mwanzo kule Mbamba Bay....ati kupigana na makaburu wa South Afrika!? Kwi! Kwi! Kwi!
Bwana Ramadhan Aziz,aliekua nduguye IGP Hamza Aziz....alioa kwa Sheikh Hussein Juma wa UTP.
Nafikiri mpaka hapo bado tuko pamoja na bado unaifuatilia hiyo social/family network,Shariff Ritz!? Kwi! Kwi! Kwi!
IGP Hamza Aziz,akaamuru Kitwana Luga aletwe police kama kule Usalama wa Taifa ati Nyerere "hamuamini" tena...lakini nafikri Nyerere tayari alishabonyezwa yakuwa wale watu walikua na family connection fulani!?
Ndipo akarejea tena Police...lakini Nyerere aliposikia hizo khabar,akaamrisha Kitwana Luga apelekwe TAZAMA Pipelines,kuwa Director of Security Operations!? Kwi! Kwi! Kwi!
Yaani kilitengenezwa Cheo makhusus ili yule Bwana awepo mbali na files za Serikali tu! Kwi! Kwi! Kwi!
Baada ya IGP Hamza Aziz kuondoka madarakani,mara Nyerere akamchongea Kitwana Luga kesi ya kinafiki...iliyokhusu corruption kubwa na kuhusisha wale Al Abry family wa Iringa. Kulikua hakuna ushahidi wowote,hiyo kesi ilitupwa na Kitwana Luga akarejeshwa Usalama HQ na kuwa Desk Officer tu!
Mara za mwisho tulikutana nae kitambo Kilimanjaro Hotel nikiwa na Mzee wangu...inasemekana rafikiye mkubwa Salim Ahmed Salim alipokuwa Prime Minister ndo alompatia post "pahala fulani".
Huyu jamaa alikua na network kali mno...yaani alikua karibu mno na vijana/watoto wenzie woote wa mjini na pia Wazee Wetu.
Alikua ni mtu maarufu na mwenye marafiki wengi,lakini pia alikua karibu mno na both Wolter/Harith Mwapachus,Mwandoro,Hassan Diria,Kitwana Kondo,Alhaj Ali Mwinyi,Salum Hiriz,both Ali/Abass Sykes,Mbwana Bakari,Ibun Bin Saleh family,Mzee Salum Shamte,Mzee Mangara Tabu,Shariff Abdilkadir Juneid,Colonel Dr. Keis Mtambo,Sheikh Aboud Maalim,Brigadier Yusuf Himid,Lawrence Gama,Abdallah Fadhil Batenga,Zakaria maftah,Prof. Idris Mtulia,Prof Kigongo Fimbo Mnyonge,Prof. Mmari,Prof.Kaisi na wengineo wengi mno.
Nakumbuka tulihudhuria msiba/maziko yake na Mzee wangu...yaani palikua na watu/jamaa wengi mno...na rafikiye kipenzi maskini Dr. Salim Ahmed Salim alikuwepo pale akitokea Addis Ababa OAU,siku hiyo nilimuona pia Al Marhum Bwana Ali Sykes na wengineo lukuki.
Huyu Bwana alifariki akiwa labda si mkubwa asilan.
Miaka kadhaa ilopita nilikua pale Stavangar/Norway,nilikutana na mmojawapo ya watoto wa kike wa Bwana Kitwana Luga, alikua pale akisoma/anaishi....lakini nimepoteza contact nae,Wallahi!?
Tafadhali,tusasambure au kurekebisha kwa pamoja,mie nimeweka kiduchu tu kwa niyajuayo...ili kumkumbuka mmojawapo wa hawa ma-unsung hero wetu mwingine sisi Waislam.
Ahsanta.