Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle


Jamani wana jamvi, hiyo kwenye nyekundu ndio historia kamili ya wazee wa Nguruvi3 na mchango wao katika kupambana na ukoloni.

Hiyo kwenye blue ni swali anatuuliza tumsaidie, mimi jibu langu; tuelezee tu inaleta maana kubwa sana ukituelezea hayo waliokuwa wakiyafanya bibi zako katika mchango wao wa kupambana na ukoloni, ungetuwekea basi na majina kidogo na sehemu "walivyoandaa vibuyu vya ndaza, kibandameno,mahiza au makande" na mwaka gani, na "safari" ilianzia wapi ikaishia wapi?

Halafu nakuuliza, huoni haya?
 
Last edited by a moderator:



Nguruvi3,

Nimekusoma na kama dasturi yako ati unajifanza victim sasa!?...wewe kweli maluuni!

Embu chungulia tena ile post yako ya awali uone Wazee Wetu umewaita ati ni washenzi na madhalim!?

Sasa kabla ya kukujibu kwa kituo...nataka hapa hapa jamvini ututajie jina la huyo Nyakanga wako wa Kibondei, alokukata/alokunyofoa hilo govi lako kama ulivyotwambia wewe mwenyewe kwenye post yako.

Khalaf pia,tufahamishe tena hapa hapa jamvini,je huyo Nyakanga wa Kibondei, hiyo nyangarika/govi lako,alikukata kwa chupa au alitumia kibanzi cha muarobaini!?

Maana mimi manyakanga wa Kibondei nawajua mno...na wengi wao ni marafiki zangu wa karibu! Kwi! Kwi! Kwi!

Khalafu,ukishajibu hayo ndo nitaanza kukuchambua kwanza kwa kabila lako loote la Wabondei,nikimaliza nakuingilia mapka uvunguni kwa wale Wazee wanafiki/wazandiki wa kibondei waliokua mahasimu na mafisadi kwenye kutafuta uhuru wetu.

Au pia nitaanzia na unyama na uzandiki wa Wabondei tangia enzi ya Mjarumani pale Tanga na Tanganyika yoote! Kwi! Kwi! Kwi!

Zungumza na misukule wenzio wa Chadema/kanisa Nguruvi3!...mimi nafahamu kwa undani ninachozungumza! Hiyo Tanga na Tanganyika/Zanzibar naijua kama kiganja changu,tena na family zoote/watu woote wenye maana na hishma zao!

Ahsanta.
 
Hadithi ya Mbuwane na ujio wake akiwa na mbwana wa Kijerumani yamo katika kitabu cha Mohamed Said.
Katika nyuzi hapo nyuma amekiri kuwa walikuwa madhalim, sasa kwanini mnanigeuzia kibao kwa maneno ya Mohamed?

Dahalim ni dhalim tu!
Nguruvi3.

Naona unahangaika unatafuta pakutokea kuwa na sumbra tulizana kunywa glasi moja ya juice ya miwa upunguze munkali, Mohamed Said. alikuwa anakujibu wewe, twende taratibu tusiwapoteze wasomaji wa huu mnakasha.

Ulianza wewe na kashfa zako kwa wazee wanaukumbi hebu someni wenyewe.
Baada ya kutoa hizi kashfa zako kuwaita wazee wetu Madhalim ndiyo Mohamed Said. akakujibu msome hapa chini.
Bwana Nguruvi,
Wewe babu zako hawakuwa MADHALIM kama babu zangu mimi.

Hebu ueleze ukumbi nini mchango wao katika kupambana na dhulma za wakoloni?
Nasubiri jibu.
Teh teh teh...wanaukumbi nadhani mmesoma Nguruvi3 anavyorusha ngumi hewani, halafu ukaja na majibu kuelezea historia ya wazee wako wakati wa ukoloni hapa chini.
Nguruvi3 hakuna anayekugeuzia kibao wewe ndiyo unataka kumgeuzia kibao Mohamed Said.
 
Last edited by a moderator:
Hadithi ya Mbuwane na ujio wake akiwa na mbwana wa Kijerumani yamo katika kitabu cha Mohamed Said.
Katika nyuzi hapo nyuma amekiri kuwa walikuwa madhalim, sasa kwanini mnanigeuzia kibao kwa maneno ya Mohamed?

Dahalim ni dhalim tu!





Nguruvi3,

Ukichelewa kutufahamisha alokunyofoa govi lako hapa...sisi itabidi tuingie upande wa "Baba Wa Taifa"!? Kwi! Kwi! Kwi!

Si unajua Mwalimu alikua yale mambo flani ivi hajaondoa kwa miaka mingi mpaka Wazee Wetu wakampeleka kufanyiwa pale Tuangoma kwa Marehemu Mzee Mbonde Bin Shaaban!? kwi! Kwi! Kwi!

Huyo Mzee wa Kingindo,ndo alokua Nyakanga wa Mwalimu Nyerere,na pesa ya shughuli hiyo ililipwa na Sheikh Abdallah Bin Kau Bin Kunyamale! Kwi! Kwi! Kw!

Mimi binafsi ninayo picha ya Sheikh Abdallah Kau,kapiga na yule Nyerere!...kama Sheikh Mohamed Said ataihitaji nitampatia aweke kwenye toleo lijalo la kitabu chetu!? Kwi!" Kwi ! Kwi!

Ahsanta.
 
Al-Habib gombesugu.

Walaahi wamenivunja mbavu na hizi habari Manyakanga wa Kibondei, teh teh teh! nimepokea PM nyingi kutoka kwa jamaa wanataka jina la Manyakanga, ngoja tumsubiri Nguruvi3.
 
Last edited by a moderator:
Waungwana, lahaulaa
Angalieni kauli zenu, inasomeshwa 'hisia' hapa na vema adab na heshma zikatawala.
Kwa maneno yenu ya kashfa kwa watu waliotangulia mbele ya haki na wazee wetu huwa inatia uvivu kujadili hisia za mzee Said.Tutashindwa na kukaa pembeni umri hauturuhusu kufika huko. Inasikitisha sana, jaribuni kutanguliza heshma! Mzee Said wapi hekma zako?

FF, Ukumbi unahitaji faida na wala si kutaja majina ya maajuza.
Nikikumbia bibi Mwatumu ndiye alikuwa anaandaa Kibandameno au mrabai maarufu mzee Sufiani alitengeneza vibuyu vya ndaza itasiaidia nini

Ritz Mbuwane alikuwa na Von Letow Vobek kwenda kupambana na Watanganyika kama Mkwawa.Mohamed katuletea ushahidi wa akina Mwekapopo Muyukwa kutoka Congo kuja kuwaua WatanganyikaHayo yote yamefanyika kwa kusaidia udhalim wa mkoloni na waliofanya ni Madhaalim wakubwa, kama si laana naomba nifahamishwe ni kitu gani!

Leo bila soni haya na kwa ushui kabisa mnataka barbara iitwe Mbuwane!
Barabara ipewe jina la dhalim kwasbabu alikuwa na watoto waliochanga kununua kadi za TANU.

Waungwana kweli tumekosa mashujaa hadi tuwatunukie hishma madhalim.
 
Ikiwa haina budi muktadhal lhal kuliongelea jambo basi neno laini ni bora kutumika. Nimetumia jando na pengine mtu angesema Sunna. Maneno mengine yana karha katika jamii.

Ama baada ya hayo sunna(nisahihishwe) ni jambo lililo jema kulitenda lakini halina madhara kama halikutendeka. Na wala sunna haiondoi heshma au utu wa mtu.
Ukiongea ubaya halafu ukajinasibisha na imani hapo unaleta dhalili.

Mshanifahamu, ehee sasa tuongelee hist ya MS na akina Mbuwane, mambo yao mema na udhalimu wa kupindukia ili tusije sahau hisia zetu na vizazi vya sasa vielewe.
 

Nguruvi,
Unataka kujua habari za ''akina Mbuwane.''

Wewe si wa kwanza.
Kulikuwa na mradi wa Oxford University Press New York na Harvard.

Mradi huu ulipewa jina Dictionary of African Biographies (DAB).

Mimi niliombwa kuandika kuhusu ''akina Mbuwane.''
Soma hapa chini nilichoandika:

KLEIST SYKES 1894 – 1949

The history the Sykes family begins at a village called Kwa Likunyi in Inhambane
in the then Portuguese Mozambique about a hundred years ago where Sykes
Mbuwane the father of Kleist Sykes came from.

Sykes Mbuwane landed in Pangani a port along the Indian Ocean in Tanganyika in
the company of a Zulu mercenary force led by their chief called Mohosh.

At that time Pangani was a very important port and township under the Sultanate
in Zanzibar.

Sykes Mbuwane was in the mercenary force of Zulu warriors recruited by
Harmine von Wissman.

Germans had a military camp at Pangani, which today is a small coastal town
few miles from Tanga, but in those days it was an important town in the
Germany administration.

Wissman also recruited a mercenary force of Nubians from Sudan to assist the
government in this campaign.

It was from this Germany camp in Pangani that Sykes Mbuwane and fellow
mercenaries under the command of von Wissman set out to pacify Tanganyika
which was resisting Germany colonialism.

In the quest to create a German colony in East Africa, and faced with opposition
from Arabs along the coast and resistance from African chiefs in the interior,
the Imperial Chancellor Otto von Bismarck chose Harmine von Wissman [1]
to quell resistance and restoreorder in Tanganyika.

This was just after the Berlin Conference of 1884 in which Africa was partitioned
between imperial powers in Europe.

This caused resistance and from 1888-89 the people of Tanganyika rose up in
arms to defend their freedom.


Wissman with the support of the Zulu warriors and Nubi soldiers from Sudan
and in keeping with the agreement of the Berlin Conference, lead the suppression
against Abushiri and Chief Mkwawa who were resisting German rule in their
respective dominions.

Abushiri was later captured and hanged in Bagamoyo in December 1889.

From 1891 – 1894 after the defeat of Abushiri Germans unleashed the mercenary
force of Zulus and Nubians against Chief Mkwawa of the Wahehe.

In July 1894 Mkwawa rather then be captured, killed himself. [2]
Sykes Mbuwane died crossing River Ruaha returning from the campaign against
Chief Mkwawa.

He had seen cows crossing and he thought the water was shallow.

Measuring himself up the Zulu warrior and others attempted to cross the river
and were swept away and drowned.

Kleist Sykes was born in Pangani in 1894 during this turmoil. Kleist Sykes always
considered himself an aristocrat of sorts and had his own exceptional way of
carrying himself.

He behaved and even dressed differently in comparison to other Africans.

He was always immaculately dressed and all his existing photographs show
him in suit and tie.

He was very conscious of his Zulu origins and loved and longed for the country
which he never set foot on.

Kleist considered himself a modern man, a man of the times.

Kleist had six years of education in a German school and after completion of
school he joined the Germany armed forces on 13 November, 1906 when he
was a mere twelve years old boy. He was first employed as a signal apprentice.

After three months in the signals he was transferred to the Second Battalion
as a junior clerk at Military Headquarters in Dar es Salaam.

He remained at the Military Headquarters until 1914 when the First World War
broke out.

A few months before the war Germany appointed von Lettow-Vorbeck as
Supreme Commander of German Defence Forces in Tanganyika and Kleist served
as an orderly to von Lettow-Vorbeck.

These were the formative years of Kleist's life and character.

Kleist's War Diaries provide a personal account of Germany and British campaigns
in Tanganyika during the war fought from 1914 - 1918.

The diaries also give in detail the experience of African askaris in the battles
which they fought for the Germans against the British.

Through these writings one also learns the hatred which Arabs had for the
Germans.

Kleist fought his first battle against Arabs who were allies of the British at a
place called Mwele Juu near Tanga.
The history of Kleist Sykes is the history of the beginning of political development
of modern Tanganyika then under colonialism.

During the British colonialism Kleistscaled many heights which directly benefited his
immediate family members and the country.

Kleist gave all his children comfortable life style, good education, status, and social
position and introduced them into colonial politics, business and public service.

All his sons came to take leading roles in the struggle for Tanganyika's independence.

Abdulwahid was in 1948 at the tender age of 24 years the first secretary general of
Dar es Salaam Dockworkers Union, two years later he became secretary of Tanganyika
African Association (TAA) in 1950, secretary and acting president in 1951 and TAA
president in 1952.

In 1954 he was with his young brother Ally and Julius Nyerere among the seventeen
founder members of the Tanganyika African National Union (TANU) which captured
state power from the British in 1961.

Ally Sykes was elected secretary of Tanganyika Government Servants Association
(TAGSA) in 1951.

Ally Sykes was returned to office as secretary four times.
This record was unprecedented.

He was the only secretary under TAGSA since its inception in 1927 to have
been returned to the post in each election four times.

Abbas Sykes the youngest of the Sykes brothers was in 1953 among the
TAA delegation which toured the country in a nationwide campaign seeking
financial support to enable TAA send Julius Nyerere to the United Nations to
present and establish Tanganyika's case as Mandate Territory seeking
independence from Britain.

Kleist's name to those who knew him is associated with the development of
Dar es Salaam then a municipality.

Kleist was the second African to sit in Dar es Salaam Municipal Council.

The colonial government used to reserve a place in the council for any
prominent African.

The first African to sit in the council was Juma Mwindadi a school teacher
and prominent member of the African Association.

Kleist actively participated in the social development of its people and its
religion – Islam forming Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika in 1933 to unite
all Muslims and building a school for Muslim children.

The Al Jamiatul School exists to the present day at the same place.

Kleist organised the building through self help of the African Association office where
TANU was formed in 1954. The building stands until now though not in its original form.

Kleist initiated African leadership in all matters in which Africans had an interest culminating
in the struggle of the people of Tanganyika against colonial oppression.

In 1929 Kleist was the founding secretary of the African Association which
in 1954 came to be transformed into an open political party.

The Association endured and remained unchallenged for two decades until
when it was transformed to Tanganyika African National Union (TANU) in 1954
under the leadership of Julius Nyerere as its
first President.

Kleist was also the founding secretary of the Railway African Civil Service Union.

Kleist had experience in labour politics and from 1939-1947 he had witnessed
three strikes.

In his capacity as a trade unionist and TAA secretary he was summoned to
appear before a tribunal appointed by the government to investigate industrial
unrest in the colony.

In 1942 Kleist resigned from employment in the Tanganyika Railway to concentrate
in business and he was very successful.

Kleist died on 23[SUP]rd[/SUP] May, 1949, and his funeral was well attended.
Kleist had left his mark on the history of Tanganyika.

During his lifetime Kleist tried unsuccessfully to trace his relatives in Laurenco
Marques and Inhambane in Mozambique.

Realising that there was no hope of finding any of his relatives, Kleist gave
up and put all his energy and thought in his three children and in the welfare
of his people.

He had founded the African Association which had thrust Africans into politics,
he founded Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika, the Muslim organisation which
not only stood up against the threat of Christian missionaries, but laid the
foundation for future organisation of Muslims as a political entity.

He successfully ventured into business which under colonial subjugation was
the monopoly and domain of Asians.

He joined the Chamber of Commerce dominated by Asians the first African to
do so.

The Chamber of Commerce was an important power lobby of the Asian business
class.

Kleist pioneered many ventures and did more than his fair share in the political
development of Africans of Tanganyika.

BIBLIOGRAPHY

Iliffe, John, "The Role of African Association in the Formation and Realisation
of Territorial Consciousness in Tanzania" in Mimeo, University of East Africa
Social Sciences Conference, 1968

Iliffe, John, [ed], Modern Tanzanians, Nairobi, East African Publishing House,
1973

Iliffe, John, A Modern History of Tanganyika, London, Cambridge University
Press, 1977

‘A History of Dockworkers of Dar es Salaam' TNR, Dar es salaam, 71, 1970
Kimambo, I. N. and Temu A. J.,A History of Tanzania, Nairobi, East African
Publishing House, 1969

Kirilo Japhet and Earle Seaton, The Meru Land Case, Nairobi, 1966

Said, Mohamed, The Life and Times of Abdulwahid Sykes The Untold
Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika,

Minerva, London 1998







[1]Harmine von Wissman was an explorer and soldier. He led the supression of
the resistance of 1888-1889 and was Governor of German East Africa in 1895-1896.

[2] But as fate would have it fifty years later after the death of Chief Mkwawa, in
1954 the grandson of Chief Mkwawa, Chief Adam Sapi Mkwawa and the grandson
of Sykes Mbuwane, Abdulwahid Kleist Sykes, were to meet at Kalenga. Kalenga was
once the fort of Chief Mkwawa. Abdulwahid Sykes secretly enrolled Chief Adam Sapi
Mkwawa as a member of Tanganyika African National Union (TANU) the party of
independence, which Abdulwahid, his young brother Ally, and Julius Nyerere and other
patriots had formed the same year to fight for independence of Tanganyika from the British.
 

Nguruvi,
Unachanganya mambo sijui kwa makusudi au kwa kuwa mzito wa kuelewa.

Sykes Mbuwane mwanae ni Kleist Sykes sasa kama ''dhalim'' ni Sykes Mbuwane
mamluki aliyeingia Tanganyika na Wissman.

Sykes Mbuwane hatuwezi kumpa mtaa kama vile tusivyompa mtaa Wissman.
Kleist kapewa mtaa kwa utumishi wake kwa nchi yake.

Kuna mahali imeandikwa Sykes Mbuwane apewe mtaa?
Hebu tuonyeshe.

Babu yangu mkuu Samitungo Mwekapopo kaingia na Wajerumani akiwa na yeye
askari kuja kupigana na wananchi.

Mtoto wake Salum Andallah aliongoza mgomo wa railway mwaka 1960 uliodumu
siku 82 dhidi ya dhulma za Waingereza.

Hii ni historia haijapata kuvunjwa Afrika ya Mashariki.
Makhan Singh aliongoza mgomo uliodumu siku 62 Kenya.

Mengine aliyofanya Salum Abdallah nishayaeleza.

Nakuuliza swali.
Kleist Sykes na Salum Abdallah ni madhalim?
 

Nguruvi,
Huyu hapa chini mzee wetu John Ketto kama nilivyomwandika katika kitabu changu:

Because of the peculiar election regulations, TANU had therefore to look outside its
own rank and file for qualified candidates to contest the election against UTP.

TANU elected Julius Nyerere, Chief Abdallah Said Fundikira, John Ketto,
Nesmo Eliufoo, John Mwakangale, Lawi Sijaona, Paul Bomani and George
Kahama to stand as TANU candidates.

Some of these were people who did not rise up with the political movement.

Sheikh Takadir feared that once in power these mission-educated Christians
and newcomers in the struggle would strive to maintain the colonial status
quo
having no obligation to lead the movement to its logical conclusion.

Sheikh Suleiman Takadir was the first leader in TANU to point out this danger
to Muslims.

 
Kauli zimebadilika tena teh teh teh...umerudi kule kule tena na stori za bulicheka za barabara, hivi nani kakwambia tunataka jina la barabara.

Mtu asiyesimamia chochote basi ataanguka kwa chochote.
 

Mohamed Said. A.K.A GOAT "the Greatest of all time."

Huu "Ulimbo" ulioweka lazima JF wakupe Award, lifetime achievement.
 
Last edited by a moderator:

Mohamed Said. How do you get close to John Ketto....teh teh teh.
 
Last edited by a moderator:
Ehee, mumemsikia Mohamed Said?
Kasema baada ya kummaliza Mkwawa, Mbuwane akasombwa na maji wakati anarudi. Hapo alikuwa mamluki wa Kijerumani aliyekuja kuvunjilia mbali harakati za Mtanganyika kujikomboa. Huyu ni Dhalim na kama ni shujaa asimame mtu aseme!

Sasa watu wanapopiga parapanda ili Dhalim apewe jina na heshima ni kuikosea haki historia. Dhalim atasimama katika historia kama dhalim, no more no less.
Kusema barbara zipewe jina la dhalim ni udhwalim mkubwa kuliko udhalim wenyewe.

Amesema John Keto mmmoja wa wazee wangu walikuwa katika harakati. Ingawa amemhusisha na dini yake tena kwa nia mbaya kwa kumkariri sheikh takdir,historia inasema Mwalim John Ketto hakupendelea kuendelea na siasa hata baada ya uhuru. Alipenda kazi yake ya kutoa elimu.

Sheikh Takadir alikuwa wrong kusema ''...colonial status
quo
having no obligation to lead the movement to its logical conclusion' ni kupitia hao anaowatuhumu tuliweza kufikia logical conclusion ambayo ni uhuru.

Sheikh Takadir alipingana na Abdul Sykes na K.Sykes kwa logic (nasubiri swali)
 
Kauli zimebadilika tena teh teh teh...umerudi kule kule tena na stori za bulicheka za barabara, hivi nani kakwambia tunataka jina la barabara. Mtu asiyesimamia chochote basi ataanguka kwa chochote.
Mohamed Said.
 

Al akhiy Ritz,
Kwanza nakupa pole kwa kushindana na huyo bwana mwenye kuisoma haki laki akapitiliza kuelewa.

Ulitegemea ajibu nini?! Nilisema mapema hapa katik mchango kwamba, zigo alilotoa Bingwa wa History Al-habeeb Mohammad Saeed, ni sawa na kumfukuza huyo mpingaji humu.
Yaani homework hiyo haijibiki kattu akhiy langu, labda kwa muujiza nao uanze sasa!! lakini twashukuru kwa upingaji wake faida kwetu na wadomaji walokuwa wamefichwa kuujua ukweli.
 
Last edited by a moderator:
Mujitahid Bara.

Huyo ni mtu muhimu sana tunapenda sana hawepo kwenye huu mnakasha tunamtumia kama ngazi kuwafikia wasomi kuifahamu historia yao ya Tanganyika.
 
Last edited by a moderator:
okey endeleeni hivyohivyo kufikiria.
unajua kipindi cha uhuru sikuwahi kusikia kama tulipata uhuru kwa kuwamwagia tindikali na kujilipua na mabomu ili kuwamaliza wazungu wala kusikia walitumia majambia la hasha!!. ofcozzzzz kule zenji nilisikia kitu kama hiki kilitokea. nilichofahamu ni kuwa tulichuka uhuru kwa amani na nijuavyo unapotaja amani ni katika kristo yesu pekee. na nyerere inasemwa kuwa alikuwa ni mkristo hivyo alitumia ukristo kuchukua ardhi.
basi ili msiendelee kutuchomea makanisa yetu, huku mkimwagiana tindikali na kujiua kwa mabomu mpaka kiama, huu hapa chini ni ushauri wangu.
ushauri: chapisheni kitabu chenu cha kihistoria cha waislamu waliogombania uhuru na mumtaje baba wenu wa taifa hili.manake mnazo data nyingi mnazoziita za ukweli mlizosimulia huko mitaani.kisha mkipeleke wizara ya elimu, wanafunzi wote nchini waanze kukisoma kwenye mitaala? wawajue waislamu wa leo na wale wa kipindi kile walivyotofautiana na wa leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…