Islam State (IS) wanataka nini Msumbiji?

Ni mambo ya ndani ya msumbiji.
Yanahusu wananchi wa Cal Delgado na Frelimo.
Jimbo hili lina waislam wengi wamakonde.
Ni eneo la kaskazini na linapakana na Tanzania.
Baada ya uhuru frelimo walilitupa na kubagua wa eneo hili.
Hawamo serikalini.
Hawamo jeshini
Mji wao hauna huduma zozote zile muhimu.
Ni eneo maskini zaidi msumbiji.
Jimbo hili sasa limepata Gas kwa wingi lakini frelimo haina sera ya angalau kuwadanganya kwa jimbo hilo kufaidika na rasilimali hio.
Kuna kitu kingine Kina Samora na Mondlane walipo anzisha mapambano ya kuwaondoa wareno basi harakati hizo zilianza Tanzania kupitia eneo hili lenye wamakonde na waislam wengi.
Jeshi la frelimo la ukombozi lilikua na hawa jamaa na tuliwafundisha sisi
Kusini ya msumbiji walikuwepo Ranamo.
Kwa ufupi baada ya uhuru Samora na kundi lao lilianza kuwatoa jeshini wamakonde hawa na eneo ziliko anza harakati ya uhuru likatupwa kwenye dimbwi la umasikini
Hivo hizi ni harakati za ndani kudai usawa na haki ya utajiri wa gas.
Huwezi kundoa Uislam wa asili jimbo hili na kuubandika Isis.
Ni kawaida kumbandika mpinzani wako jina baya ili uungwe mkono na dunia.
Na kwa sababu hizi msumbiji wanaungwa mkono na SA na hata sisi.
Lakini hii ni vita ya ndani. Ni vema wakapatanishwa na kufanya suluhu kwani wanaungwa mkono na watu wao.
Tusiwe na double standard mfano Juba Sudan Ilipo taka kujitenga na Khatoum kwasababu walionewa na wakiwatenga kwa sabaabu wao ni wakristo tukawaunga mkono . Na hatikuwaita magaidi hata johnn Garang alikuwepo UDSM
Lakini hawa wa msumbiji ni magaidi kwa sababu ni waislam hivo sawa kuonewa

Sent using Jamii Forums mobile app
umeishaingiza udini tayari,
kama huna hoja ya ngoswe waachie akina ngoswe.
sioni mantiki ya kuwa unadai haki ya watu wa eneo fulani,alafu
unawachinja watu hao hao.sasa hiyo haki inawatafutia wanyama au miti?
 
Qur'an 2:56
Hakuna kulazimishwa mtu kuingia katika dini. Uongofu umekwisha pambanuka na upotofu. Basi anayemkataa shetani na akamwamini Mwenyezi Mungu, bila shaka yeye ameshika kishiko chenye nguvu kisichovunjika. Na Mwenyezi Mungu ni mwenye kusikia mwenye kujua.
Kama ndivyo ilivyo,ni kwanini makundi yote ya kigaidi ya dunia ya sasa hakuna linalojipambanua
kupigania dini ya ukristo?
Ni muda muafaka kwa viongozi wa dini ya kiislam kujitokeza duniani kote kukemea tabia hii ya watu kuua
wenzao kwa kisingizio cha uislam na huku wakinukuu haya kama uliyoweka hapo juu,tofauti yao na wewe ni kwamba wanatumia maneno ya kiarabu wewe umetumia kiswahili.
 
umeishaingiza udini tayari,
kama huna hoja ya ngoswe waachie akina ngoswe.
sioni mantiki ya kuwa unadai haki ya watu wa eneo fulani,alafu
unawachinja watu hao hao.sasa hiyo haki inawatafutia wanyama au miti?
Inashangaza Sana hili, hao wahuni wanadai wanawatetea watu huku wanawaua na kuwafanya wakimbizi.
 
Kiufupi wewe sio muislam na kwa vile sio muislam, kuyachukulia maandiko ya kiislam juujuu bila ya kuyaelewa ni kawaida, nachoweza kukushauri acha kuongozwa na propaganda, punguza mihemko na fungua akili (kuwa na akili huru) ili uweze kuyaona mambo kwa uhalisia wake.
Mnaoelewa tuelewesheni tusioelewa ili tuelewe.
Ni kwanini magaidi wanakomaa na kusema wanaitetea dini ya mwenyezi mungu kwa kupitia uislam?
hivi mnaridhiki na kitendo hiki? kama hamridhiki mbona hamuandamani na kuchoma bendera zao
kama ilivyofanyika miaka ya nyuma yalipofanyika maandamano na kuchoma bendera ya marekani kwenye viwanja vya jangwani
kupinga marekani kuivamia iraq?
 
Ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya, na hii ndio sera itumikayo kwenye utekelezaji wa upuuzi wao huo.

Waislamu kwa mfano; hapa TZ wamekuwepo tangu kitambo lakini hatukuwahi kushuhudia huu uhuni unaofanywa sasa hivi na hawa jamaa.
Sisemi kuwa sio waislam bali hicho wanachokifanya si uislamu.

Viongozi wa kisiasa au wa dini nyingine zisizokuwa za kiislam nao huchochea haya mambo, kwa mfano; hujawahi kuiba hata kuku, hujawahi kumtukana mtu, na pengine hata watoto wako mwenyewe hujawahi kuwapiga lakini kwa vile tu una ndevu na unavaa kanzu basi jina la 'UGAIDI' litakuandama, hivi unaijua athari ya kupewa adhabu kwa kosa la kusingiziwa??? Ndipo hapo baadhi ya watu wakaamua kuwa magaidi kweli baada ya kusingiziwa na kutokana na kusingiziwa huko wakapata na manyanyaso pia.

Kwa mtu yeyote ambaye ana fikra huru na mawazo mtambuka, anaelewa fika kuwa huu ni uhuni wa baadhi ya watu kupitia dini lakini uislam has nothing to do with what they are doing.
 
Mozambique ni nchi ya kiislam . nchi ya kiislam ikiongozwa na asiye Muslim unategemea nini?

Nchi ilijiunga OIC zamani sana, tofautisha "NCHI" VZVZ" WANANCHI"

Hata lebanon pia inaongozwa na mkristo lakini ushawahi kusikio matukio kama ya msumbiji?
 
Uongo uliotukuka ,hapa unatetea dini..

Jibu Maswali haya:-

1.Kama wanachodai ni usawa, kwanini wanawakata vichwa wananchi wa eneo hilohilo ambalo wanalipigania.? (Yaani kwa mfano unapigania haki na usawa ya mkoa wa Dodoma, alafu unawaua wakazi wa Dodoma na kuwafukuza kwenye makazi yao[emoji2][emoji2]).

2.Kama wanachopigania ni haki na usawa ,kwanini kwenye video zao hawaongelei kupigania haki na usawa bali wanaongelea "WANAOAMINI na WASIOAMINI".??

Ndugu yangu, simaanishi waislamu ndio wanafanya haya, ILA MAREKANI NA NCHI ZA ULAYA ZINATUMIA DINI ILI KUIBA RASIMALI ZA MSUMBIJI, na wanapenda kuwatumia waislamu kwasababu ,mafundisho ya uislamu ni kueneza dini kwa lazima..

Kidomo chako kitakuponza wewe dada. Lete aya katika Qur'an inayosema "kueneza dini kwa lazima/kulazimisha mtu atoke kwenye imani yake!!!! Lete hapa iyo aya mdini wewe!!

Tatizo lenu mnaitafsiri Qur'an sivyo kabisa.
 
Jamani lazima tuwe makini Sana, watawala wetu Afrika wanazo mbinu nyingi sana wanapokusudia kuwatendea ubaya wananchi wao. Kuna watu wanaweza kukusanya majambia na kusema kuwa Ni ya waandamanaji. Kuna watu wanaoweza kutumwa kuandamana huku wamevaa kanzu na balagashia na kupigwa picha ili dunia iamini kuwa hao Ni alqaida
 
Sasa mbona wanaua raia wasio na hatia wa hayo maeneo.

Mpaka Sasa raia wasio na hatia 1000 wameshauawa, Sasa wanapigania Uhuru wa raia gani ?
Kwani kwenye mkoa mmoja si Kuna pro and against mfumo fulani kandamizi? Kuna watu wanaounga mkono Hali iliyo na wanaoipiga. Sasa Cha ajabu Ni Nini kuona watu wa sehemu moja wakiuana?
 
Ndugu zangu angalieni tofauti ya Ukristo na Uislamu..

UISLAMU..
AT-TAUBA 9:123 :- Enyi mlioamini Piganeni na wale makafiri walio karibu yenu, na wakute ugumu kwenu.

AT-TAUBA 9:73 :- Ewe Nabii pambana makafiri na wanaafiki, na wakazanie.

AT-TAUBA 9:5 :- Na miezi mitakatifu itakapopita, basi waueni washirikina popote mwakutapo.

AL-FURQAN 25:52 :- Basi usiwatii makafiri na pambana nao kwa Jihadi kubwa.

MUH’AMMAD 47: 35 :- Basi msiregee na kutaka suluhu, maana nyinyi ndio mtakao shinda.

MUH’AMMAD 47:4 :- Basi mnapo wakuta walio kufuru wapigeni shingoni mwao, mpaka mkiwadhoofisha wafungeni pingu.
i.e (MAKAFIRI = WATU WASIO WAISLAMU)

.............

UKRISTO..
MATHAYO 5:39 :- Lakini mimi nawaambia, msishindane na mtu mwovu, lakini mtu akupigaye shavu la kuume,mgeuzie na la pili..

Mathayo 11:29 :- Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu, kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo, nanyi mtapata raha nafsini mwenu..

WAEFESO 6:11-12 :- Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za Shetani, Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama, bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.

Wakorintho 11:4,19-20 :- Maana yeye ajaye akihubiri Yesu mwingine ambaye sisi hatukumhubiri, au mkipokea roho nyingine msiyoipokea, au injili nyingine msiyoikubali, mnatenda vema kuvumiliana naye.

......

Ukiangalia hayo maandiko utaona tofauti inayofanya Mabeberu waone ni vyema kuutumia uislamu kwenye kuiba rasilimali hapa duniani badala ya kutu ukristo..
Wacha uongo, Vita ya msalaba (crusade) ilikuwa Ni Vita iliyoje?
 
Wakuhurumiwa sana wewe, hujui unachokiongea, unadhani Qur'an ni kama vitabu vingine unatranslate tu utakavyo!!

Uislamu ni dini ambayo inahimiza amani, upendo na uvumilivu

SIFA zote njema anastahiki Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema na mwenye kurehemu.

Sala na salamu zimthibitikie Mtume wetu Muhammad Swallallahu Alayhi Wasallam, maswahaba wake watukufu na watangu wema hadi siku ya Kiyaamah.

Neno Uislamu linamaanisha amani kwa Kiarabu. Uislamu ni dini iliyoteremshwa ili kumwakilisha mtu pamoja na maisha yaliyojaa utulivu na amani ambayo yana huruma isiyo na mwisho ya Allah iko waziwazi. Allah anawaita watu kuja katika maadili ya Uisilamu kuwa ndio kigezo ambacho huruma, uvumilivu na amani vinaweza kufanyiwa kazi. Yafuatayo yanaelezwa katika aya 208 ya sura al-Baqara:

“Enyi mlio amini! Ingieni katika Uislamu kwa ukamilifu, wala msifuate nyayo za She’tani; hakika yeye kwenu ni adui aliye wazi.”

Kama inavyoonekana katika aya, Allah anaeleza kuwa usalama wa watu unaweza kuhakikishwa tu kupitia kuukubali Uisilamu na kutekeleza kwa vitendo maadili ya Quran.

Uisilamu unaulinda uhuru wa kutafakari na uvumilivu

Uislamu, ambayo ni dini inayoeleza na kuhakikisha waziwazi uhuru wa kutafakari na maisha, imetoa maamrisho yanayozuia na kukataza kuwekana roho juu, migogoro kati ya watu, kusemana na hata kuwadhania watu vibaya.

Sio tu kutishia na matumizi ya nguvu, Uisilamu unakataza kuweka hata shinikizo dogo kwenye fikra za watu.

“Hapana kulazimisha katika Dini. Kwani Uwongofu umekwisha pambanuka na upotofu.” (al-Baqara, 2/256)

“Wewe si mwenye kuwatawalia.” (al-Ghashiya, 88/22)

Ni kinyume na maumbile na uhalisia wa Uislamu kuwateza nguvu watu ili waamini katika dini au kufanya ibada. Kwa kuwa, Uislamu umeweka utashi huru na ridhaa makini kuwa ndio sharti la imani. Bila ya shaka, Waislamu wanaweza kuonya na kuhamasishana hivyo wanaweza kutekeleza kwa vitendo sifa za kimaadili zilizofafanuliwa ndani ya Quran. Hata hivyo, hawawezi kutezana nguvu kuhusiana na hilo. Sio sawa kupendekeza vipaumbele fulani vya kidunia ili kumfanya mtu fulani afanye ibada.

Fikiria kuhusu kigezo cha jumuia kilicho kinyume cha mtindo wa hilo. Mathalani, jaalia kuwa watu wanatezwa nguvu kuabudu. Jumuia ya namna hiyo iko kinyume kabisa na Uisilamu. Kwa kuwa, imani na ibada vinakuwa na thamani vinapotekelezwa kwa ajili ya Allah. Ikiwa mfumo wa utawala utawalazimisha watu kuamini na kuabudu, watu watakuwa ni washika dini kwa sababu ya kuuogopa mfumo-tawala.

Kilichokuwa na thamani kwa upande wa dini ni kutekeleza dini kwa vitendo kwa ajili ya Allah katika mazingira huru kabisa.

Allah ameharamisha kuua watu wasio na hatia Kwa mujibu wa Quran, kumuua mtu asiye na hatia ni moja ya madhambi makubwa mno:

“…aliye muuwa mtu bila ya yeye kuua, au kufanya uchafuzi katika nchi, basi ni kama amewauwa watu wote. Na mwenye kumuokoa mtu na mauti ni kama amewaokoa watu wote. Na hakika waliwajia Mitume wetu na hoja zilizo wazi. Kisha wengi katika wao baada ya haya wakawa waharibifu katika nchi.” (al-Maida, 5/32)

“Na wale wasio mwomba mungu mwengine pamoja na Mwenyezi Mungu, wala hawaui nafsi aliyoiharamisha Mwenyezi Mungu isipo kuwa kwa haki, wala hawazini – na atakaye fanya hayo atapata madhara,” (al-Furqan, 25/68)

Kama inavyoonekanwa katika aya hapo juu, wale wanaoua watu wasiokuwa na hatia wanaonywa na adhabu kali. Allah anaeleza kuwa kumuua mtu mmoja ni uhalifu mkubwa mno kama kuua watu wote. Haiwezekani kwa mtu anayetii mipaka iliyowekwa na Allah kumdhuru hata mmoja achilia mbali kuua maelfu ya watu wasio na hatia.

Kukwepa haki

Wale wanaodhani kwamba wanaweza kuikwepa haki na kunusurika nayo hawatoweza kukwepa kisasi mbele ya Allah.

Kwa hivyo, waumini wanaojua kwamba watalipiziwa mbele ya Allah baada ya kifo wanatenda mambo kwa uangalifu mno ili kutii mipaka iliyowekwa na Allah. Allah anawaamuru waumini kuwa na huruma.

Maadili ya Mwislamu yanafafanuliwa kama ifuatavyo katika aya:

“Tena awe miongoni mwa walioamini na wakausiana kusubiri na wakausiana kuhurumiana. Hao ndio watu wa kheri wa kuliani.” (al-Balad, 90/17-18)

Moja ya sifa muhimu mno za maadili yaliyoteremshwa na Allah kwa waja Wake ili wapate wokovu Siku ya Kiama, rehema Zake na Pepo ni “kuamrishana subira”. Uisilamu, unaoelezwa katika Quran, una muundo wa kisasa, wenye kuelimisha na wa kimaendeleo. Mwisilamu wa kweli anayo haiba ya amani, uvumilivu, kidemokrasia, kitamaduni, utambuzi/usomi, uaminifu, jicho la sanaa na sayansi na ustaarabu.

Mwisilamu aliyelelewa na maadili ya juu yaliyotajwa na Quran anatangamana na kila mtu kwa upendo unaotumainiwa na Uisilamu.
 
Kwani kwenye mkoa mmoja si Kuna pro and against mfumo fulani kandamizi? Kuna watu wanaounga mkono Hali iliyo na wanaoipiga. Sasa Cha ajabu Ni Nini kuona watu wa sehemu moja wakiuana?
Kuna maiti Hadi za watoto wao Wana Makosa gani ?
 
Kwahiyo ulitaka nilete quran yote, nmeisoma yote na naijua vilovyo ,kwahiyo sibahatishi..
Duh! Mkuu unaongozwa na hisia badala ya akili.

Ili kumuelewa mzungumzaji hutakiwi kuyakata maneno na ukayachukua yale tu unayoona yanafiti kwenye kuitetea hoja yako. Soma mwanzo mpaka mwisho kisha soma na sababu za kuteremshwa hizo aya kisha ndio uje kusema hayo uyasemayo.

Kiufupi wewe sio muislam na kwa vile sio muislam, kuyachukulia maandiko ya kiislam juujuu bila ya kuyaelewa ni kawaida, nachoweza kukushauri acha kuongozwa na propaganda, punguza mihemko na fungua akili (kuwa na akili huru) ili uweze kuyaona mambo kwa uhalisia wake.

TL alisema; "SIWEZI KUINGILIA FARAGHA ZA WATU" alipohojiwa kuhusu ushoga lakini watu wanasema anasapoti ushoga.
 
Samahani mkuu mimi sio dada..

Kwa mfano wewe umeweka avatar ya mugabe hapo ,nikuite Marehemu.???

Aya zimeshaletwa ..
Kidomo chako kitakuponza wewe dada. Lete aya katika Qur'an inayosema "kueneza dini kwa lazima/kulazimisha mtu atoke kwenye imani yake!!!! Lete hapa iyo aya mdini wewe!!

Tatizo lenu mnaitafsiri Qur'an sivyo kabisa.
 
Basi nakuomba unitafsrie hizo aya.. kama zina maana nyingine.. kama kuua kuna maana nyingine, kukata shingo kuna maana nyingine .. niletee tafsiri

Back
Top Bottom