Adilinanduguze2 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 1,386 Reaction score 1,919 Sep 17, 2022 #1 Hi Wadau kuna anaejua hizi Bonds zinafanyaje kazi ? Faida yake ikoje ? Nimeona zinaendeshwa na jamaa wa Imaan Finance, na performance yake ni ya kuridhisha Jee wenzangu na mimi (low class investors) wanaweza wekeza ?
Hi Wadau kuna anaejua hizi Bonds zinafanyaje kazi ? Faida yake ikoje ? Nimeona zinaendeshwa na jamaa wa Imaan Finance, na performance yake ni ya kuridhisha Jee wenzangu na mimi (low class investors) wanaweza wekeza ?